kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
shimyanga pakishamba hamna hata PlayStation tabora tupo tunagusa hadi playstation 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli baba kuna mijengo hatariiiii.Shinyanga ni kijiji ukilinganisha na wapi?
Na Tabora ni mtaa ukilinganisha na wapi? Kuna mtaa unaitwa Freemason Ipuli bhabha ni balaa zitooo
Wewe nawe unaotaHao vichaa wanapanda treni bure!? Mbona huko unakosema wanatoka (mwanza n.k) idadi ya vichaa ni wachache kuliko hapo tabora?
Punguzeni bangi na uchawi. Leo hii mnazidiwa kwa kila kitu na mkoa wa Kigoma (manispaa) kuanzia hotels kali, barabara, kumbi za starehe na huduma nyinginezo...amkeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahama siyo shai mkuu sema shai wapi taa za barabarani?Mzee sasa huu ni ubishani wa kwenye Gahawa, kama tatizo ni traffic lights hata Kahama zipo tena ni wilaya tu.
Let's argue kuhusu vitu vya maana, kama mademu wa bila kutongoza Ipuli na madem wa kuhonga wanaume wa Ngokolo A na B
Yaani wewe mkuu ni msosi tu... Hadi kwenye uzi wa mbeya vilevile... Hadi kwenye avatar misosi tu... Haya,ila upo kama dadangu... Sijui ndo ww
Kwasababu ipo karibu na Mwanza.Na unavyosema shinyanga bei ya ardhi ipo juu kuliko tabora sababu shy pop ipo juu unamaanisha nn?
Mazao ya chakula wananunua wapi?Shy inategemea kahama siyo tbr acha uwongo
Rudi kwenye kudesa upya mkuu,Wilaya zenye mzunguko mkubwa wa Pesa Tabora ni Urambo na Kaliua hizo nyingine zinafuatia,pitia tu takwimu za halmashauri husika uone makusanyo ya Ndani
Na unavyosema shinyanga bei ya ardhi ipo juu kuliko tabora sababu shy pop ipo juu unamaanisha nn?
Shy inategemea kahama siyo tbr acha uwongo
KASSU GAMING CENTRE kiukweli tabora pamekua pakijanja sanashimyanga pakishamba hamna hata PlayStation tabora tupo tunagusa hadi playstation 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nimeshafanya kazi mikoa yote hiyo miwili kwa nyakati tofauti ndani ya miaka hii miwili, nasema ni bora Shinyanga kuliko Tabora. Tabora ni kijiji fulani kikubwa na ushamba mwingi




Saivi upo wapi wa nyumbani.Kwa ujumla yote ni miji mibaya sana nimekaa kote panawafaa wafanyakazi zaidi sio wafanyabiashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kuharibu uzi wa mwenzio,,,hapo tiari ushaingizi udini. Inamaana waislamu ndio tatizo?? Natamani nikutukane but namuogopa Allah
Wanaidharau sana shinyanga kwakuwa wanaoishi ni wasukuma,,,,Shinyanga + wilaya zake zimeenderea kuliko tabora yenyewe na wilaya zake,,,,pengine ata mikoa mingine ndani ya tz na wilaya zake.
Tabora kazidiwa na kahama
Sikonge labda 2ipe wilaya ya kishapu wataendana sawa
Nzega 2ipe maswa
Igunga 2ipe Meatu
Kwanza utambue kuwa Tabora ni mji mkubwa sana kuulinganisha na Shinyanga tu hivyo population ya mjini ni automatically itakuwa kubwa kulinganisha na Shinyanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufananisha shinyanga na tabora,,,ukiachilia mbali shy mjini,,kwa kahama tu hafui dafu tabora yako sembuse shy mjin!
Tabora mzunguko wa pesa ni mdogo,,watu wake hawana pesa, hutangatanga miji mingine kutafuta maisha,, bora hata ya singida pamechangamka alakini co unyamwezn
Niriwahi kutembelea shinyanga nikajionea, kwakweri uwezi fananisha na tabora japo muzunguko wake co mkubwa saana.
Shinyanga
Alimasi
Zahabu
Taa za barabarani
Rami kila kona
Viwanda vya pamba
Kiwanda cha juice, soda na maji
Kwanda cha pastik
Kiwanda cha gesi/Mihan
Kiwanda cha nyuzi
Hospitali ya mkoa na rufaa imejengwa virevire
Mashule, madispensary kibao jombaa.
Tabora,
Mkaa
Asali
Maembe
Maneno maneno sanaa,, fitina,,kwendeana kwa waganga kwa waco na imani.