Shinyanga Mjini Vs Tabora Mjini

Shinyanga Mjini Vs Tabora Mjini

Tabora haiwezi kuifikia kahama mkuu.
Ndo maana sikutaka kuizungumzia japo iko ndani ya shinyanga.
Maana kwa Tanzania nzima ni mikoa michache sana inayoweza kuifikia kahama kwa mzunguko wa pesa. Huduma zote za kijamii kumbuka kuwa kahama ndo wilaya pekee yenye matawi ya bank zote kubwa hapa Tz pamoja na mabasi ya kwenda kila mkoa na nchi jirani pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu KINONDONI SIO WILAYA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabora kuzuri, shida ya Tabora ni mzunguko wa pesa kama walivyosema wadau

Mgogoro wa serikali na makampuni ya tumbaku umewaathiri sana wakazi wa tabora

swala la ukame ni kwa baadhi ya wilaya kama igunga na nzega na hili limechangiwa na jirani zetu wasukuma, hawa jamaa ni wavamizi wa maeneo na wakiingia sehemu wanahakikisha wamemaliza miti yote halafu wanahama kwenda kuharibu kwingine

Nafikili Agrey Mwanri atawadhibiti.

Tatizo la wasukuma ndio hillo. Waharibifu sana,,awa jamaa ni adui wa misitu/miti. Ndiomana mvua zinagoma.
 
1 Tabora fursa ni nyingi sana kuliko Shinyanga.

2 Tabora is one of the cheapest town to live in tanzania

3 Weather kwa Tabora ni moderate haina joto sana wala baridi sana so ni ideal place for residence.

4 Maji Tabora siyo shida cause unaweza kuchimba kisima chako na maji ukapata ya kunywa bila shida.

5 Ardhi Tabora ni cheap kuliko Shinyanga na ipo ya kutosha sana.

6 biashara ni rahisi zaidi kutoka Tabora cause competition ni ndogo so any business you are likely to succeed.

7 Tabora ina mwingiliano wa watu mbali mbali ukilinganisha na Shinyanga ambayo 98% ya wakazi ni wasukuma tu who are so rigid kubadilika.

8 Tabora ni sehemu ambayo gharama za ujenzi ziko chini sana ukilinganisha na Shinyanga.

Etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
80% ya Tabora ni Forests with exception ya Igunga tu unapata wapi ujasiri wa kusema Tabora ni semi desert ?
Shinyanga na Tabora pote ni semi desert climate iwaje unasema Shinyanga pakame

Je Tabora na Shinyanya wapi pako karibu na Ziwa Vickitoria Hujui maeneo ya karibu na water bodies yanapata mvua nyingi zaidi through out the year

Tabora na Shinyanga pote pamekaa kizee kizee kabisa Tena Shinyanga ianazidiwa na baadhi ya wilaya zaka
Tabora na penyewe ipamekaa kimagumashi tu Mzunguko wa pesa pote huko Tabora na Shinyanga Mdogo

Labda ungeuliza wilaya zake Kahama Na Nzega ndio zina future mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchango mzuri na umefafanua kwa kina sana.
Barikiwa.
1 Tabora fursa ni nyingi sana kuliko Shinyanga.

2 Tabora is one of the cheapest town to live in tanzania

3 Weather kwa Tabora ni moderate haina joto sana wala baridi sana so ni ideal place for residence.

4 Maji Tabora siyo shida cause unaweza kuchimba kisima chako na maji ukapata ya kunywa bila shida.

5 Ardhi Tabora ni cheap kuliko Shinyanga na ipo ya kutosha sana.

6 biashara ni rahisi zaidi kutoka Tabora cause competition ni ndogo so any business you are likely to succeed.

7 Tabora ina mwingiliano wa watu mbali mbali ukilinganisha na Shinyanga ambayo 98% ya wakazi ni wasukuma tu who are so rigid kubadilika.

8 Tabora ni sehemu ambayo gharama za ujenzi ziko chini sana ukilinganisha na Shinyanga.

Etc.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu KINONDONI SIO WILAYA?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanin kinondon icwe juu more than kahama! Sabab yote ile ni dar moja pua na mdomo yani imo ndani ya jij la dar,,ukilinganisha na kahama ilioko mbari na mkoani shinyanga takribani 2hrs.,,,mfano jij la mwanza natambua ndilo jij la pili kwa ukubwa Tanzania na la pili kwa mzunguko wa pesa,,ndan ya jij la mwanza kuna wilaya mbiri za, nyamagana na ilemela ivyo uwezi sema nyamagana mzunguko wake ni mkubwa kuliko kahama wakati lile lote ni jiji.
 
Nimezunguka bar maarufu shinyanga zote hakuna kitu, nimeamua kuja Level One pia pamepoaaa hatari, tupo wateja watatu.! Acheni Dar ibaki kuwa Dar kwa japo watu wa mikoani mnaiponda ila Dar ni kila kitu.! Pale Gwanzuu Tegeta ukienda hata siku za kawaida lazima uta-enjoy, sasa hapa duun hata wahudumu ndo hvyo tena. Anyway nitapita Tabora pia kupaangalia.
 
Back
Top Bottom