Shinyanga Mjini Vs Tabora Mjini

IsaacMG

Member
Dec 6, 2019
63
51
Habari wanaJf
Natumai mu wazima wa afya

Lengo la uzi huu ni kupeana mazuri ya na mapungufu ya mikoa hiyo miwili niliyoutaja katika nyanja zifuatazo.
- Mzunguko wa pesa
- Gharama za maisha
- Huduma muhimu za kijamii
- Mtindo wa maisha wa wakazi wa maeneo hayo

Je ni mkoa gani mzuri na wenye fursa pamoja unafuu wa maisha ikiwa pamoja tabia za wakazi wa mikoa hiyo miwili Tabora Mjini na Shinyanga Mjini.

Kumbuka nimelenga Mjini tu na si katika Wilaya zake.

Huu uzi utawapa mwanga wote wanaotaka kujilipua katika mikoa hiyo hususani katika swala zima la kusaka fursa.

Michango yenu ni muhimu sana kwa wenyeji wa mikoa hiyo au mliowahi kufika mikoa hiyo miwili

Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shinyanga mjini hovyo sana.

Hata ukitaka breakfast hakuna sehemu insyoeleweka ukanywa chai uka enjoy.

Chakula cha uhakika ni mchana tu tena sehemu moja tu ambayo wakati mwingine pia wanapika vibaya tu.

Ni sehemu ambayo bara bara ni chafu zimejaa udongo ijapokuwa ni za lami.

Usafiri wa tax ni wa shida,wafanya biashara hii wana nyodo na waongo.Unakubaliana nae unaamka mapema kuwahi basi,ikinyesha mvua tu anazima simu.

Biashara ni ngumu sana shinyanga,nadhani ni sehemu mojawapo ngumu Tanzania.

Maji ya ziwa yapo ila wanachanganya na maji ya bwawa chafu sana la ning"hwa na kuyafanya yawe ya chumvi na mabaya sana.

Bora Tabora sana utapata hata bookshop ya kueleweka,library nzuri,taasisi za mafunzo zinazoeleweka,na bara bara safi zisizo na mchanga

Acha uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa mchango wako mdau.

Kumbe pabaya iv

From Timbuktu
 
Vichaa wengi Tabora si hasa kutokana na ulozi, bali uvutaji wa bangi. Bangi hulimwa aghalab katikati ya zao la tumbaKu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hao vichaa sio bangi ni ulozi
Nimekaa hapo Tabora miaka minne nimeuliza sana hilo wamenimbia hao ni wezi wakiiba wanarogwa ndio maana unaona vichaa wengi

Makokora
Ipuli
Isevya
Tabora Town

Watu watabora wanyamwezi waswahili sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabora hali ya hewa safi, tatizo ni Uswahili mwiiingi na Uchawi, pia mauaji ni kitu cha kawaida hasa kwa maeneo ya pembeni, mzunguko wa pessa kawaida sana.
Shinyanga pakame mnooo, ushamba mwiiiingi na biashara hazitoki pia na kama zinatoka Wanaukabira
Shinyanga na Tabora pote ni semi desert climate iwaje unasema Shinyanga pakame

Je Tabora na Shinyanya wapi pako karibu na Ziwa Vickitoria Hujui maeneo ya karibu na water bodies yanapata mvua nyingi zaidi through out the year

Tabora na Shinyanga pote pamekaa kizee kizee kabisa Tena Shinyanga ianazidiwa na baadhi ya wilaya zaka
Tabora na penyewe ipamekaa kimagumashi tu Mzunguko wa pesa pote huko Tabora na Shinyanga Mdogo

Labda ungeuliza wilaya zake Kahama Na Nzega ndio zina future mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shinyanga mjini hovyo sana.

Hata ukitaka breakfast hakuna sehemu insyoeleweka ukanywa chai uka enjoy.

Chakula cha uhakika ni mchana tu tena sehemu moja tu ambayo wakati mwingine pia wanapika vibaya tu.

Ni sehemu ambayo bara bara ni chafu zimejaa udongo ijapokuwa ni za lami.

Usafiri wa tax ni wa shida,wafanya biashara hii wana nyodo na waongo.Unakubaliana nae unaamka mapema kuwahi basi,ikinyesha mvua tu anazima simu.

Biashara ni ngumu sana shinyanga,nadhani ni sehemu mojawapo ngumu Tanzania.

Maji ya ziwa yapo ila wanachanganya na maji ya bwawa chafu sana la ning"hwa na kuyafanya yawe ya chumvi na mabaya sana.

Bora Tabora sana utapata hata bookshop ya kueleweka,library nzuri,taasisi za mafunzo zinazoeleweka,na bara bara safi zisizo na mchanga

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kufananisha shinyanga na tabora,,,ukiachilia mbali shy mjini,,kwa kahama tu hafui dafu tabora yako sembuse shy mjin!

Tabora mzunguko wa pesa ni mdogo,,watu wake hawana pesa, hutangatanga miji mingine kutafuta maisha,, bora hata ya singida pamechangamka alakini co unyamwezn

Niriwahi kutembelea shinyanga nikajionea, kwakweri uwezi fananisha na tabora japo muzunguko wake co mkubwa saana.

Shinyanga
Alimasi
Zahabu
Taa za barabarani
Rami kila kona
Viwanda vya pamba
Kiwanda cha juice, soda na maji
Kwanda cha pastik
Kiwanda cha gesi/Mihan
Kiwanda cha nyuzi
Hospitali ya mkoa na rufaa imejengwa virevire
Mashule, madispensary kibao jombaa.

Tabora,
Mkaa
Asali
Maembe
Maneno maneno sanaa,, fitina,,kwendeana kwa waganga kwa waco na imani.
 
Tabora kuzuri, shida ya Tabora ni mzunguko wa pesa kama walivyosema wadau

Mgogoro wa serikali na makampuni ya tumbaku umewaathiri sana wakazi wa tabora

swala la ukame ni kwa baadhi ya wilaya kama igunga na nzega na hili limechangiwa na jirani zetu wasukuma, hawa jamaa ni wavamizi wa maeneo na wakiingia sehemu wanahakikisha wamemaliza miti yote halafu wanahama kwenda kuharibu kwingine

Nafikili Agrey Mwanri atawadhibiti.
 
Umasikini bana ni shida sana nenda sa hivi Shy kamwambie Jambo,Fresho,Gaki etc hio Shy ni mbaya sijui haina mzunguko wa hela kama atakuelewa then ukitoka hapo nenda Tabora kaulize ma don wa Tabora kama mji huo ni mbaya kama watakuelewa.

Cha msingi we jiangalie wapi mishe zako zitafanikishwa then zama mazima.

Mtu atakwambia mji fulani hauna Shopping malls,sijui mahotel yenye swimming pools,hauna maghorofa yenye lift then wewe binafsi jiulize hivyo vitu vilivyotajwa vinakusaidia nini binafsi?

Je uwepo au kutokuwepo kwake kuna athari zozote na mishe zako

Fanya maamuzi chap.
 
Back
Top Bottom