Masasaa
JF-Expert Member
- Oct 23, 2015
- 586
- 631
Msunguko wa pesa wa Urambo na Kaliua ni wa msimu, wanapouza tumbaku ndio hayo maeneo yanakuwa na pesa. Lakini Igunga na Nzega mzungukonwake ni mwaka mzima na mind you Igunga ni centre ya baishara ya mpunga kwa sasa, pamoja na dengu, pia uwepo wa machimbo ya dhahabu pale shelui unapainua sana igunga.
Wafabyabiashara wengi wadogo na wa kati wa Shinyanga wanakimbilia igunga, hii ni baada ya kahama kuwa mkoa wa kikodi hivyo shinyanga kujikuta ikihaha kukusanya mapato na kuwatoza wafanyabiashara kodi kubwa, kwa hiyo mzunguko wa pesa wa Igunga ni mkubwa sana, pengine kuliko hata wa Nzega, and in few yrs to come Igunga itaiovertake Nzega.
Ukiwa Igunga usiku huwezi kuamini kama pale ni igunga, pana starehe zote unazozijua, si vibaya kama huwa unapita hiyo njia ulabreak your journey pale, you ll never regret
Sent using Jamii Forums mobile app

Rudi kwenye kudesa upya mkuu,Wilaya zenye mzunguko mkubwa wa Pesa Tabora ni Urambo na Kaliua hizo nyingine zinafuatia,pitia tu takwimu za halmashauri husika uone makusanyo ya Ndani
Sent using Jamii Forums mobile app