Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

kweli hili shindano ni kali yaani umeamua kuweka na picha yako
ya utotoni ngoja nimwite jaji Bujibuji akufaniyie madese hapa
ila umepata kura 700 kati ya 1000 ambazo ziko hewani furahi basi :becky:
Mnataka na lyrics sijui?

'Loooovee, soo many things i gotta tell ya...." nisije nikamaliza utamu hapa!


220px-Musiq-Soulchild_2009-02-27.jpg


Mninyime kura tu!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
leo ni wewe ndiye unayemtaja mshindi wa siku ya leo
ambaye amekomment sana na ambaye ana mvuto wa sura
na ambaye ana kura nyingi hapa hivyo kazi kwako bestito
ukimtaja tushirikishe kwa kulike


usijali. Backstage tutakuwa na tray za mayai ya kutosha...........na chumvi!!!! Nakuaminia!
 
kweli hili shindano ni kali yaani umeamua kuweka na picha yako
ya utotoni ngoja nimwite jaji Bujibuji akufaniyie madese hapa
ila umepata kura 700 kati ya 1000 ambazo ziko hewani furahi basi :becky:

Hiyo picha ni wakati wa pafomansi bwana...!

Nina imani na shindano hili
 
usijali. backstage tutakuwa na tray za mayai ya kutosha...........na chumvi!!!! nakuaminia!

Binamu wala usiwe na wasiwasi na mimi na nishaweka wimbo wangu hapo
We fanya kazi yako binamu Paloma
 
Last edited by a moderator:
Naomba kujua nipo kundi gani mi mgeni hapa.. Heaven on earth nipe mwongozo
DEMBA popote ulipo nakutafuta
 
Last edited by a moderator:
ZIARANI MKOA WA SIASA
Kutokana namchujo wa nguvu na kukaa kwa siku 3 tumeweza kuwapata wasanii
watano ambao watakawakilisha mkoa wa SIASA , walijitokeza wengi sana na ndipo
majaji tutakaa na kuona kuwa hawa: EMT, Fundi Mchuno Njano5, chankaka
na Buchanan hao ndo bora zaidi kule siasani.
kulikuwa na vituko mbalimbali wako waliokuja kwa style ya kulia, wengine kucheka,
wengine kununa, ilimradi tu ni vituko na majanga, lakini kutokana na jaji Paloma kuchambua sana
ndipo tukaweza pata hao. KIFASTJET ZAIDI

Siku hizi kule hatufanyi siasa bali sihasa.

Hilo neno "Kifastjeti" zaidi nimelipenda.
 
Mamndenyi, usijali, mimi ni hakimu wa haki, na haki huinua taifa. chama amepata kama nilivyopata, naye pia ataachwa kama nilivyo achwa.
Bujibuji
dua la kuku hilo !!! utahangaika sana mwaka huu; usione vyaelea vimeundwa hivyo hakimu wewe kaendelea kuopoa vidagaa Coco beach kaka shombo la vidagaa wachekwa mtaani nivea imeshindwa kazi ogea na jiki labda itakusitiri!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom