shikamoni wote

shikamoni wote

Ha ha ha haendi mtu jela hapa. An adult mimi please. Mungi inaelekea Lily Flower yuko mbali sana na wewe, afu nani kakufundisha majungu?

Huyu kajifunza majungu ili malengo yake ya u Mswati yatimie, hivi hawa vijana wa Rchuga walivyokuja tanga mliwapikia mboga za majani ya mkuyati!??? mbona wote tangu wametoka huko ni balaa kwa mabinti, sio Arushaone, PakaJimmy wala Mungi, Filipo ndo hata sisemi, afadhali kidogo Mzee wa Rula
 
Last edited by a moderator:
Huyu Slave anamiliki mitumbwi miwili ya kuvulia samaki kigamboni, ukimpa binti yako mambo ya balansid dayati itakuwa poa aisee

umenena Dr.zero japo hujamalizia kumwambia kuwa na kule kongowe ya mbagala namiliki bustani ya matunda na mboga mboga hapo lazima dayati iwe balansid
 
Last edited by a moderator:
sharifaa karibu. Walezi utapata tu tena wapo kibao.

nami nitakuwepo hapa kwa kuibia ibia muda kwa muda huu napenda nisiishi kama orphans i should to have mama na baba watakao nilea vyema hapa chit-chat pia
aunt na uncle watakao kuwa wananipeleka shule.
 
Last edited by a moderator:
24 hrs nipo humu . House boy sitaki
ndio maana unaitwa mnoko. Wewe kuanzia asubuhi mpaka jioni upo na kitoto chako,si kwenye kahawa si kazini wala bar wewe na mwanao. Nipe kazi ya u hausi boy basi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom