shikamoni wote

shikamoni wote

Weeee chezea kila kitu changu, usichezee my daughter sharifaa nitakutawanya matumbo yako
sasa daddy ataenda na wewe shule? halafu mie najua sana hesabu uwe unakuja nikufundishe sawa? halafu (hii usimwambie manoah) ule muda wa mapumziko tutacheza kibaba-baba?
 
Last edited by a moderator:
Weeee chezea kila kitu changu, usichezee my daughter sharifaa nitakutawanya matumbo yako

samahani baba, hii ni michezo tu ya watoto wala usinune, tena huwa tunasoma kweli mimi na yeye, ukiniruhusu niwe karibu na mwanao na mie ntakuita baba pia, deal?
 
Last edited by a moderator:
Mchezo kwa mtoto wangu si utaki. Tena ukitaka kuja hapa nyumbani uje mchana tu sawa?
samahani baba, hii ni michezo tu ya watoto wala usinune, tena huwa tunasoma kweli mimi na yeye, ukiniruhusu niwe karibu na mwanao na mie ntakuita baba pia, deal?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom