shikamoni wote

shikamoni wote

Bila baraka zake yule ni batili...., tena ukilazimisha kitoto kinaweza zaliwa kimeshika msokoto wa ganja mkononi

hahaaaaaa sasa si Baba V amekuachia mikoba yake kwanini usitie baraka ili nimtie adhabu huyu bamkwe anaelinda bintiye
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaaa sasa si Baba V amekuachia mikoba yake kwanini usitie baraka ili nimtie adhabu huyu bamkwe anaelinda bintiye

Alipelekwa lupango bila kuaga, angenikabidhi hayo majukumu mbona ingekuwa mwake balaa
 
Last edited by a moderator:
Jikonii! Anaandaa ubwabwa na nyama ya ng'ombe,kitimoto,samaki,nyama ya mbuzi,viazi,viazi vya kukaanga,mchemsho,juice ya machungwa,juice ya maembe,juice ya mananasi,matunda ni tikiti maji,maembe,maparachichi,apples,also kwa vinywaji vilivyo ktk pack ni juice aina zote za azam na grandmalta na dr.ndodi yupo jikoni kwa ushauri namna ya kuandaa chakula cha usiku


 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom