shikamoni wote

shikamoni wote

sharifaa

Senior Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
117
Reaction score
93
nami nitakuwepo hapa kwa kuibia ibia muda kwa muda huu napenda nisiishi kama orphans i should to have mama na baba watakao nilea vyema hapa chit-chat pia
aunt na uncle watakao kuwa wananipeleka shule.
 
Haya mtoto wangu sharifaa usijali mie baba yako nakupenda sana

Last edited by a moderator:
Haya mtoto wangu sharifaa usijali mie baba yako nakupenda sana

thanx daddy manoah.jpg asante baba najua unanipenda sana love you daddy mmwaaa !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom