Dr.zero
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 964
- 434
Huyu nita mfunga tu hawezi muoa binti yangu kipenzi
Kwa hiyo unataka huyo binti yako umfuge kama mpapai!?? au wa mbegu
Huyu nita mfunga tu hawezi muoa binti yangu kipenzi
Kwa hiyo unataka huyo binti yako umfuge kama mpapai!?? au wa mbegu
hahaaaaaaaaaaaaa hivi hujaona maiti inatembea barabarani hahaaaaaaaa
Huyu keisha haribu mtoto wangu aisee, nikimfungisha ndoa ya lazima itakuaje hapa?
hi hi hi! Mtafungwa nyie mnauliza mpaka uzito.
mie nakuahidi nitakuwa mwema kwa bintiyo sharifaa
sasa utanifungishaje ndoa wakati nina mke wangu Lily Flower?
Huyu nita mfunga tu hawezi muoa binti yangu kipenzi
Wanaingia leo wanajua hadi ku attach photo