Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,146
Baregu siyo material ya uraisi. Aendelee kufanya wanayofanya maprofessa wenzake akina Wole Soyinka, Mazrui, Ngungi, ..
teh teh ..nimeipenda hii mkuu..sio material ya urais
Baregu siyo material ya uraisi. Aendelee kufanya wanayofanya maprofessa wenzake akina Wole Soyinka, Mazrui, Ngungi, ..
Prof. Baregu can why not! he is better than JK academically, akiwekwa kuongea na marais duniani hutaogopa kwamba atachemsha kama JK
I will personally support him, as I said I will not support Slaa padre aliyeasi.
All these are certainly a good points, japo kuna zingine hatujaprove bado. Vipi kuhusu kuondolewa chuo kikuu ni failure ya nani? Baregu, viongozi wa chuo au serikali? na je alijua kuwa kuna siku atasimamishwa? kama alijua alifanya nini? kama hakujua je hakuona sign yoyote ya kumwonyesha kuwa hilo jambo litatokea?
Mimi nafikiri kuondolewa Chuo Kikuu ni kutokana na hofu ya Serikali as jamaa alianza kuwashika pabaya. Inaweza ikawa alijua kabisa kuwa serikali yetu ilivyo na hofu za kichama, haikawii kumnyima mkataba au alihisi na yeye ataachiwa ajinafasi kama kina Mvungi, Mukandala na wengineo wengi. Pia napenda kuwachallenge serikali huku nikiwauliza swali ambalo hata Baregu kawauliza; ni wahadhiri wangapi ambao ni wanasiasa and hata hawaguswi? Tunamfahamu Dr. Mvungi ambaye hata uraisi aliugombea, tunamfahamu Prof. Mukandala ambaye alikuwa mshauri wa karibu wa JK and kila siku JK alikuwa akienda nyumbani kwake kupata lecture before uchaguzi wa 2005 huku akiwa ni mwanachama hai wa CCM na ndio maana akalipwa fadhila kwa kupewa u-VC. Kuna Dr. mmoja hivi aliwahi kuwa Head wa Department ya Economics (mchaga mmoja hivi mweusi - anavuta sana sigara), jina lake limenitoka kidogo, huyu ndio alikuwa msajili wa wanafunzi katika chama cha mapinduzi. Sasa hawa jamaa wanapoleta longo longo juu ya uhusikaji wa Baregu kwenye siasa, I doubt it.
JK na mtandao wake wamekuwa na wasiwasi sana kwa watu ambao ni threat kwa serikali yake. Na nahisi kuwa, kama kina Chachage na Haroub Othman wangekuwepo, no wonder siku moja na wao ungesikia wakipigwa pini. Manake kwa pale mlimani hawa jamaa ni kati ya wachache ambao wana confidence ya kuiponda serikali live, hawapaki rangi kama kina Mukandala ili wapewe u-VC na vyeo vingine vinavyofanana na hivyo.
Semeni wee, nataka sababu ya Baregu kuwa rais
Nenda baregu jaribu, tuko pamoja...as long as siyo huyo padre wao.
Kuna wengine, wenye ushawishi katika jamii, walishaapa. Nshomile never on earth! Sifagilii ukabila, ila duh!
All these are certainly a good points, japo kuna zingine hatujaprove bado. Vipi kuhusu kuondolewa chuo kikuu ni failure ya nani? Baregu, viongozi wa chuo au serikali? na je alijua kuwa kuna siku atasimamishwa? kama alijua alifanya nini? kama hakujua je hakuona sign yoyote ya kumwonyesha kuwa hilo jambo litatokea?
Baregu baregu baregu....................why? Kwanini sio slaa aliyefunua mengi ambayo watz tulikuwa hatujui na tusingeweza kujua? Nchi inataka mtu anayejua jinsi serikali inavyofanya madudu kwa muda na jasili..........kwangu mimi slaa pekee ndio naweza kufaa kuwa rais kwani hana utani kwenye maslahi ya taifa...............huyo baregu mnamrusha bure sijui kayfanya nini cha ajbu mnasema tu anafaa................angalieni facts sio self interests
Nenda baregu jaribu, tuko pamoja...as long as siyo huyo padre wao.
Kwi kwi kwi kwi kwi! Tumain, Lipumba naye atagombea au atagomea?
Anaweza kufanya maamuzi magumu, kama vile kuwaadabisha mafisadi hata kama ni rafiki zake!! Ni mtu jasiri anaeweza kuthubutu!
Tunamtaka Rais wa umri wa Obama, aliyezaliwa na MKULIMA wa jembe la mkono. Atoke mikoa ya Lindi, Rukwa, Morogoro, Tanga,... na mingine inayofanana na hiyo.