Baada ya miaka 15 ndiyo anajua kuwa mwalimu alikuwa na busara? Huu ni mzaha. Kura atakazopata Vunjo zitakuwa sawa na zile za uchaguzi mdogo Busanda!
mheshimiwa MU, mimi nimekiangalia kipindi na kwa kweli sikumwelewa Mzee Mrema!!! Ni kapata hisia sasa mzee mzima upstairs hamnazo!!! something is wrong with him somewhere!!!mimi sikusikiliza hicho kipindi, lakini kama haya ni ya kweli, basi mzee ajitahidi kukutana na mheshimiwa rais amuombe amuandikie ka-note aende kuonana na madaktari kule alikopimwa akili!!!!!!!!!
Mrema huyu huyu
Nadhani hata sisi wote tunaomjadili Mrema tuna upungufu fulani katika vichwa vyetu. Hivi tumekosa cha kujadili mpaka tufikie hapa!!
kweli nimeamini small minds discuss people. yaani badala kujadili aliyosema mrema mnamjadili mwenyewe, mbona gazeti la jana mtanzania lilisema ZITTO KABWE NAE ANATAKA KARUME AONGEZEWE MUDA, hilo wala hamkumuona kama zitto kashikishwa senti na ccm na maneno yake ya kipuuzi hivi karibuni ambayo yanaisumbua chadema.
wana JF wenzangu naombeni muwe mna discuss matters,ideas.
SMALL MINDS DISCUSS PEOPLE
MIDDLE MIND DISCUSS MATTERS
GREAT MINDS DISCUSS IDEAS
Katika kipindi cha tuongee cha Star TV asubuhi leo, Mhe Augustine Lyatonga Mrema amesema Rais Amani Karume anafaa kuendelea kuwa Rais wa zanzibar katika kipindi cha awamu ya tatu, licha ya ukomo wa kikatiba wa awamu mbili, akidai kwa kufanya hivyo atalinda maridhiano - yake na Seif Sharif Hamad Katibu mkuu wa CUF ambayo anaamini ni msingi mkubwa wa kurejea kwa amani na maelewano Zanzibar.
Anadai muda uliobaki kati ya sasa na oktoba kwenye uchaguzi mkuu hautoshi kutekeleza maridhiano kikamilifu na kama atakuja mwingine maridhiano yanaweza yasiendelee na zanzibar watareja kwenye mpasuko.
Pia anataka vyama vya siasa CCM na CUF vifutwe huko Zanzibar kwa kuwa hivyo ndivyo msingi wa machafuko zanzibar. Pia anataka Serikali ya Mseto iwepo Zanzibar kwa kuwa siasa ya wengi wape haiwezekaniki zanzibar.
Na anasema kugombea Urais ni Biashara kichaa kwake, na anasema Mwl Nyerere alimshauri kugombea ubunge, akapuuza na kugombea Urais, ikala kwake, na asiyesikia la mkuu, huvunjika mguu, na kwamba sasa anaamua kwenda kugombea Ubunge Vunjo, kwa kuwa Hayati Baba wa Taifa ni Muasisi wa CCM basi wana CCm wanapaswa kumuunga mkono.
Na anasema kugombea Urais ni Biashara kichaa kwake, na anasema Mwl Nyerere alimshauri kugombea ubunge, akapuuza na kugombea Urais, ikala kwake, na asiyesikia la mkuu, huvunjika mguu, na kwamba sasa anaamua kwenda kugombea Ubunge Vunjo, kwa kuwa Hayati Baba wa Taifa ni Muasisi wa CCM basi wana CCm wanapaswa kumuunga mkono.
kweli nimeamini small minds discuss people. yaani badala kujadili aliyosema mrema mnamjadili mwenyewe, mbona gazeti la jana mtanzania lilisema ZITTO KABWE NAE ANATAKA KARUME AONGEZEWE MUDA, hilo wala hamkumuona kama zitto kashikishwa senti na ccm na maneno yake ya kipuuzi hivi karibuni ambayo yanaisumbua chadema.
wana JF wenzangu naombeni muwe mna discuss matters,ideas.
Katika kipindi cha tuongee cha Star TV asubuhi leo, Mhe Augustine Lyatonga Mrema amesema Rais Amani Karume anafaa kuendelea kuwa Rais wa zanzibar katika kipindi cha awamu ya tatu.
Pia anataka vyama vya siasa CCM na CUF vifutwe huko Zanzibar kwa kuwa hivyo ndivyo msingi wa machafuko zanzibar.
Na anasema kugombea Urais ni Biashara kichaa kwake, na anasema Mwl Nyerere alimshauri kugombea ubunge, akapuuza na kugombea Urais, ikala kwake, na asiyesikia la mkuu, huvunjika mguu, na kwamba sasa anaamua kwenda kugombea Ubunge Vunjo, kwa kuwa Hayati Baba wa Taifa ni Muasisi wa CCM basi wana CCm wanapaswa kumuunga mkono.
kwamba sasa anaamua kwenda kugombea Ubunge Vunjo, kwa kuwa Hayati Baba wa Taifa ni Muasisi wa CCM basi wana CCm wanapaswa kumuunga mkono.