Shibuda apania kugombea dhidi ya JK CCM, ajitoa ghafla

Sijaielewa dhamira ya Shibuda ,Kama Alikuwa akijua kuwa ''prezidaa ametukuka!" why aoneshe nia ya kogombea nakukataa mwishoni? au ilikuwa kutafuta umarufu? sababu tulishaanza kumsahau
 
Janius, utaratibu huo wa kuachiana ndio utaratibu wa CCM tena Dr. Bilal ana bahati alifika hadi NEC, Huyu Mhe. Shibuda hata wilayani havuki nadhani hata ubunge ndio bye bye, "huyu ni boya tuu kwenye maji linaelea, au ubua, unapulizwa tuu na upepo unaanguka, au kama ni mti, basi ni mpapai, tena mpapai dume, haufai kwa kivuli, kwa kuni na tena wala hauzai matunda".

Leo nilikuwa namsikiliza huyu Mhe, nikakumbuka haya mane niliyomuita!, kiukweli huyu jamaa sio mzima!, ila sio mpaka aokote ..

Pasco
 
Leo nilikuwa namsikiliza huyu Mhe, nikakumbuka haya mane niliyomuita!, kiukweli huyu jamaa sio mzima!, ila sio mpaka aokote ..

Pasco
One million dollar question, nani aliye kichaa zaid kati ya Shibuda na wale wa Maswa mgharibi walio mchagua?
Yumkini wabongo tunapenda mtu anayejua kusema sana, hata kama ni muimba mashairi kama mzee Yusufu.
Nashangaa sana inakuwaje mtu anaacha kuwaza kwa kina anataka kiongozi wa aina gani, lkn akaburudishwa na mashairi ya mtu, na kama vile mzee Yusufu akimwongopea bi mdogo.
 
Huyu Mhe. Shibuda hata wilayani havuki nadhani hata ubunge ndio bye bye, "huyu ni boya tuu kwenye maji linaelea, au ubua, unapulizwa tuu na upepo unaanguka, au kama ni mti, basi ni mpapai, tena mpapai dume, haufai kwa kivuli, kwa kuni na tena wala hauzai matunda".
Haya ni maneno niliyoyazungumza mwezi May, 2010, nimeyakumbuka baada ya kuusoma uzi huu
[h=1]Swali: CHADEMA Ifanye Nini Kuwadhibiti kina Shibuda Wapya? wa Mkuu Mzee Mwanakijiji
[/h] ambao is as if Chadema inajuta kuwakaribisha watu kama Mhe. Shibuda as if walipomkaribisha, hawakujua wanakaribisha nini!.

Pasco
 
Huyu Mhe. Shibuda hata wilayani havuki nadhani hata ubunge ndio bye bye, "huyu ni boya tuu kwenye maji linaelea, au ubua, unapulizwa tuu na upepo unaanguka, au kama ni mti, basi ni mpapai, tena mpapai dume, haufai kwa kivuli, kwa kuni na tena wala hauzai matunda"
Nimesoma mahali eti Chadema Wanafanya mazungumzo na huyu mtu! Tetesi: - John Shibuda mgombea Urais Chadema 2025

Kiukweli kama hii ni kweli, then kuna watu sio tuu ni too blind to see bali ni vipofu kabisa!. Yaani dude ni boya kabisa linaelea juu ya maji, wao wanalichukua na kutaka kulifanya nanga!.
P
 
Janius, utaratibu huo wa kuachiana ndio utaratibu wa CCM tena Dr. Bilal ana bahati alifika hadi NEC, Huyu Mhe. Shibuda hata wilayani havuki nadhani hata ubunge ndio bye bye, "huyu ni boya tuu kwenye maji linaelea, au ubua, unapulizwa tuu na upepo unaanguka, au kama ni mti, basi ni mpapai, tena mpapai dume, haufai kwa kivuli, kwa kuni na tena wala hauzai matunda"

Nikija kuhusu 'Kibaraka', ni afadhali ya kibaraka mleta heri, kuliko mwana Sultani mleta shari!, atakayewarudisha Wanzanzibari utumwani kwa Waarabu na kurejesha usultanini. Sio siri, 'Dr. Bilal is the best President Zanzibar can have as a nation', ila kwa vile Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ni JMT ndio inadetermine nani aiongoze ZnZ kwa maslahi ya Muungano ndio maana siku zote, Maalim anapokwa tonge mdomoni, Dr. Bilal mhafidhina, Nahodha haaminiki sana, Khatib yuko too ambitious, hivyo the next ZnZ pres ni Dr.Shein, hana makuu au Dr. Mwinyi, mtake msitake. .

Back
Top Bottom