Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Kwa wapuuzi kama wewe. Sherehe ya mamillioni inawasaidia vipi Wafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara ambao wananyanyaswa na kudhulumiwa na serikali hii dhalimu!?

Upuuzi unazidi KUSHAMIRI Nchini.
Chukueni nchi basi BAWACHA tuone na nyie mtakachofanya
 
Hivi hao ndege wana nini unique?
Uniqueness yake ni kwa vile walikua Ikulu tu. Ila sasa watakosa maana. Nimemsikia Kikwete anasema wakiwa wengi na yeye atagawa kwa wengine.

Ni vile yale madume na kuchanua ile mikia inaleta raha kwa senses. Ni kama wapo kwa Decoration zaidi.
 
Ndiyo akili yako ilipoishia hapo kushangilia kila upuuzi wa hii Serikali ambao hauna tija kwa Watanzania. Hakuna Nchi yeyote duniani inaweza kufanya huu upuuzi wa kuunguza pesa za walipa kodi eti kwa sherehe ya kuwa na ikulu kubwa duniani.

Chukueni nchi basi BAWACHA tuone na nyie mtakachofanya
 
Uniqueness yake ni kwa vile walikua Ikulu tu. Ila sasa watakosa maana. Nimemsikia Kikwete anasema wakiwa wengi na yeye atagawa kwa wengine.
Ni vile yale madume na kuchanua ile mikia inaleta raha kwa senses. Ni kama wapo kwa Decoration zaidi.

Hivi kulikuwa/kuna ‘katazo’ kuwafuga Tausi kiraia.?
 
Hivi wanazindua ujenzi wa Ikulu au jengo jipya la Ikulu!

Swali zuri sana.

Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri alifanya kikao Ikulu hiyo hiyo miezi kadhaa iliyopita kabla hajapotelea huko alikokuwa. Nakumbuka akiwaambia Mawaziri kuwa Dodoma ni kuzuri....
 
Jamani mbona mmechoka Ku comment wanajamvi.
Keep em comments coming. Uzi umedorora sana.
Tukio muhim sana. Tumsifie Raisi kwa mafanikio haya.
 
Usukuma umezidi sasa kila kitu watani wagogo na ngoma za kisukuma kwenye hafla za taifa nilitegemea basi angalau ngoma ya kigogo, kinyeramba, kinyaturu.
 
Back
Top Bottom