Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,998
- 103,387
hata kuzindua sijui kupuyanga U.S Waziri wake wa utaliii na nyanja husika plus board zingemaliza tu huo mchezo. unajua tabu mkishauriwa vema mnaona kama ni attacks! Yaani unaona sherehe ama maadhimisho ya Muungano is nothing? sovereign ya Nchi inatokana na nini?
Yaani mimi aende yeye, aende waziri wake kwangu yote sawa. Sherehe za muungano zifanyike ama zisifanyike, rais awepo nchini au asiwepo kwenye hiyo sherehe, kwangu ni sawa tu. Kwakuwa ww uko serekalini na kwa namna moja au nyingine unafaidika na hiyo sherehe ni lazima uone tatizo. Ila kimsingi ni sherehe ya kawaida mno boss.