Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Pinda ana akili finyu sana ukichanganya na ugonjwa anaoumwa basi ndo anakuwa kama msukule kabisaaa
samahan wadau nambien PINDA ANAUMWA NINI????
Pinda ana akili finyu sana ukichanganya na ugonjwa anaoumwa basi ndo anakuwa kama msukule kabisaaa
Kwani anaumwa nini?
Amelazwa hospitali gani?samahan wadau nambien PINDA ANAUMWA NINI????
Kiswahili KITUKUZWEYani Nyumba Ndogo wanakimbia wanogopa Kuchanywachanywa?
Hii nyimbo ingekuwa ni ya CUF au NCCR au TLP, DP, UDP ingekuwaje?
kiswahili kitukuzweMkuu wewe ulikuwepo? Au chanzo chako cha hanari ni nini.
Wakuu naomba tujuzwe chanzo chake cha habari mbona watu waliokuwepo kwenye hiyo sherehe wamesema siyo kweli.
Chanzo ni mimi nilikuwepo, aliyemvuta Mbatia na kumzuia asitoke getini ni Nyambari Nyangwine, Idd Azzan na wengine , wewe umeongea na nani ili nikujuze kama alikuwepo ama laa.........Wakuu naomba tujuzwe chanzo chake cha habari mbona watu waliokuwepo kwenye hiyo sherehe wamesema siyo kweli.
Amelazwa hospitali gani?
Aliagwa rasmi kama Spika mstaafu.....Kwanini Sitta anaagwa?Kwani anachia madara au anakwenda kufanya majukumu mengine?naomna nifaamishwe jamani
ONLY IN TANZANIA.
Spika mstaafu wa bunge liloisha mwaka 2010 aagwa leo 2013 miaka mitatu toka amalize utumishi wake na miaka miwili kabla ya kupata spika mwingine. Haaaa haaa Tanzania ina maajabu yake mengi bana kila uchwao wanaibuka na yao
![]()