Sherehe za kumuaga Samweli Sitta zavurugika Dodoma

Sherehe za kumuaga Samweli Sitta zavurugika Dodoma

Tatizo sio wimbo wa nani ila ni maudhui ya wimbo na hadhira kusudiwa, hivi unaendaje kuweka wimbo wa wapinzani wakija tuwachanechane tuwatupe , kwenye sherehe za kuaga spika aliyekuwa na wabunge wa upinzani na hao wa Ccm? Huu ni ujinga uliopindukia , sasa waliachiwa chakula chao walifurahia kula chote wenyewe?
Wote walioshangilia kupigwa hawana akili ya kujuwa nini kifanyike wapi...
 
watu wengine kichwa maji kwenye sherehe ina jumuisha watu wengi unapiga nyimbo za kuegemea upande moja
 
Wonders shall never cease! Sitta na yeye kafanyiwa Send off? Kitchen party ilikuwa lini? Kodi zetu wallah! Wanafanyiana send off kwan uspika kaacha juzi?
 
walimwaga kama nani?
anaenda kufa au?
kwa pesa za nani kumwaga?
 
ONLY IN TANZANIA.
Spika mstaafu wa bunge liloisha mwaka 2010 aagwa leo 2013 miaka mitatu toka amalize utumishi wake na miaka miwili kabla ya kupata spika mwingine. Haaaa haaa Tanzania ina maajabu yake mengi bana kila uchwao wanaibuka na yao

IMG_0080.JPG
 
Du ama kweli nchi ya Nyerere na Sokoine sasa imebaki historia, Mzee Sitta na wewe ukakubali kabisaaaaaaaaa. Ama kweli safari ya mbinguni wewe utaiweza.

Kuchakachua wakakuchakachua na sasa wanakuaga ama walikosa kazi siku hiyo. Bora hiyo pesa wangenunua vitanda na magodoro ya wagonjwa kwenye hospitali ya hapo jirani na mjengoni.

SAHABAAAAASHIIIIIIIIII
 
Walimchagua Makinda kwa bifu walokuwa na Sitta wakasahau hata kumuaga kwanza walijua watamuua mapema lakini mzee kakwepa viunzi vyote. Sasa wameona yule bibi anakaribia kumaliza kipindi chake sasa wakimuaga yeye na Sitta hawakumuaga watu watapata mtaji wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom