Mwira Mwayo
Senior Member
- Mar 23, 2013
- 142
- 15
Wazee wa watu wanaota ndoto wakifikiri hawajazaliwa. Kumbe makaburi yako midomo wazi.
Kama Spika, japo tukio limechukua muda mrefu sana mpaka ameshasahau kuwa alikuwa Spika,
Sipati picha na mtumbo wake kwa kajukuu kake teh teh teh teh halafu ati anawakilisha jimbo lake puuu!Hahahaha Komba wa LULU..........
Haya majina yana tafsirika. Makinda ni watoto wa ndegeukistaajabu ya pinda
utashangaa ya makinda