Sherehe za kumuaga Samweli Sitta zavurugika Dodoma

Sherehe za kumuaga Samweli Sitta zavurugika Dodoma

hivi katika zawadi ya kumpa sitta ndo iwe tv?
akili za kichen pati zinaimaliza ccm
 
Wakati Pinda anakaribishwa alianza kwa kusema CCM hoyeee......mara kajishitukia akasema ila kwani hata nikisema hivyo kuna nini si ni salamu zetu? .........hiii ni dalili za wazi jinsi walivyo na chuki za ndani na watu ambao sio CCM .....

Wale wa vyama vingine walisubiri nini? Kwa nini hawakuondoka ukumbini? Kama hawajitambui waache waendelee kudharauliwa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Yani hakuna nyimbi ninayoizimia kama hii kila ipigwapo moyo wangu huzizima ujumbe wake unanigusa mapigo ya moyo
 
Sijaelewa mambo mawili. Hivi si alishindwa sasa unamuaga wa nini. Halafu mbona imechukua muda mrefu hivi? Ipo siku tutaambiwa walisahau kumuaga mama Maria Nyerere walimuga Jk Nyerere tu.
 
hivi katika zawadi ya kumpa sitta ndo iwe tv?
akili za kichen pati zinaimaliza ccm

In fact alipaswa apewe kinyago cha tembo mzee akakiweke kama kumbukumbu hivyo vyote anavyo wanadhani anaenda kuanza maisha? Halafu kitchen party ya uswahilini fungua tuone kilichomo.... sie tunaofanya gazi LG tumekasirika
 
Wadau sipati picha au taswira gani siku atakayoagwa spika wa sasa, maana alivyommwagia sifa huyo aliyepita. Alafu mamvi sijamuona kwenye hiyo hafla

"To know the enemy is half the victory"
 
Ishu inayoongelewa hapa ni kuvurugika kwa sherehe baada ya watu wa ccm kunyea kambi.
Wewe unaleta habari zingine za kulialia hapa.

Halafu jamaa anayeitwa Kangol kule anamlaumu Sugu kwa kumwita Pinda MPUMBAVU!
Ni ustaarabu huo sasa?

ukiangalia kichwa cha habari, kinahusu sherehe kuvurugika. kilicho ivuruga na wabunge wa cuf kutoka ukumbini. nimeunganisha hapohapo kusisistiza kuwa huo ni ushahidi kuwa cuf siyo ccm b kama wanavyodai wengi kutokana na serikali ya pamoja znz.
 
Mtu anaagwaje baada ya miaka mitatu? Na si alishindwa uchaguzi sasa anaagwa vipi?
 
Hao ndo viongozi wetu ambao wanadhani kwamba ni watawala! au walikusudia kuwafukuza wapinzani ili wakandamize wenyewe na kupiga umbea wao?
 
Mi hapo sijaona tatizo lolote sababu wapinzani (CDM) hawakuwepo. Hao wengine hawana haja ya kukasirika wakipigiwa hizo nyimbo
 
Jana kulikuwa na sherehe za kumuaga Samweli Sitta ,Spika za zamani wa Bunge zilivurigika baada ya Spika wa Bunge na Pinda kuamuru zipigwe nyimbo za Komba na mmojawapo uliopigwa ni ule wa ....wapinzani wakija tuwachanechane tuwatupe... Wimbo huu uliamsha hasira za wabunge wa CUF ambao waliamua kuondoka kwenye sherehe hizo bila kula chakula kilichokuwa kimeandaliwa.

Mbatia naye alitaka kuondoka ila akashikwa mkono na wabunge wa CCM naye bila aibu alirejea kwenye sherehe hizo , ila wabunge wa CUF waliamua kuondoka moja kwa moja pamoja na zawadi waliyokuwa wamemwandalia Sitta.

wabunge wa Chadema ,hawakuwepo hata mmoja.

----------------------------

IMG_0080.JPG

...CUF bado ni wapinzani!!!???
 
Tanzania yetu hii jamani hatuna viongoz wenye kuthubutu kufanya mambo yenye tija kwa taifa letu hasa hawa gambazi!!
 
Bora waliberali kama walitambua fitina wanazofanyiwa na washirika wenzao.
 
hivi msekwa aliagwa lini?

kwani sita alikuwa ameenda wapi asiagwe siku zote hizo mpaka leo ambapo mrithi wake ameshatumikia nusu ya kipindi alichotumikia yeye sita.

hili litakuwa chezo la kisiasa tu.

shame on you all
 
Sitta amemaliza uspika wake 2010 inakuwaje sherehe ya kuagwa ifanywe 2013? Nyambafuuuu
 
In fact alipaswa apewe kinyago cha tembo mzee akakiweke kama kumbukumbu hivyo vyote anavyo wanadhani anaenda kuanza maisha? Halafu kitchen party ya uswahilini fungua tuone kilichomo.... sie tunaofanya gazi LG tumekasirika
ni aibu,
ex-spika kumpa tv...!!!?
Wangetafuta hata msanii akachora picha nzuri Sitta kakaa na joho lake kwenye kiti chake cha uspika... kind of
option nyingi.
 
Back
Top Bottom