Sherehe za kumuaga Samweli Sitta zavurugika Dodoma

Sherehe za kumuaga Samweli Sitta zavurugika Dodoma

Ukizingatia matukio ya hivi karibuni na maudhui ya huo wimbo haviendani.
Tatizo sio wimbo wa nani ila ni maudhui ya wimbo na hadhira kusudiwa, hivi unaendaje kuweka wimbo wa wapinzani wakija tuwachanechane tuwatupe , kwenye sherehe za kuaga spika aliyekuwa na wabunge wa upinzani na hao wa Ccm? Huu ni ujinga uliopindukia , sasa waliachiwa chakula chao walifurahia kula chote wenyewe?
 
Nyimbo za Komba tena! Komba yupi kwanza, wa Lulu au kuna Komba mpya? Kama ni huyo wa Lulu hata mimi japokuwa sio mwanasiasa ningeondoka.
 
Nyimbo za Komba tena! Komba yupi kwanza, wa Lulu au kuna Komba mpya? Kama ni huyo wa Lulu hata mimi japokuwa sio mwanasiasa ningeondoka.
Hahahaha Komba wa LULU..........
 
Kuna mtu anaweza kusema ni kwanini CCM wanamuaga Spika (waliyemnyima' kuendelea kukalia kiti cha uspika - kwa sababu za kijinsia) miaka takribani mitatu?

Tangu mwaka 2011 walikuwa wapi? Na kama waliona anafanya kazi nzuri, kwanini walioundoa?
 
mimi bado naamini cuf ni chama imara cha upinzani. ieleweke kuwa kuunda serikali ya pamoja znz kulitokana na mpasuko mkubwa wa kisiasa na umoja uliyokua umeitawala znz. kutoshirikiana na chdm vizuri kumetokana na chdm kuwabagua ktk serikali ya upinzani. wamejikuta kwenye makutano lkn ni watu wenye hoja. kama chdm inahitaji kufanya vizuri na kuiarisha upinzani, lazima ishirikiane na cuf
 
Huwezi kupata jibu la swali hili. Unafiki mwingi tu.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
nataka kujua na EL anaagwa lini kwani wanaccm tunamwita mstaafu
 
mimi bado naamini cuf ni chama imara cha upinzani. ieleweke kuwa kuunda serikali ya pamoja znz kulitokana na mpasuko mkubwa wa kisiasa na umoja uliyokua umeitawala znz. kutoshirikiana na chdm vizuri kumetokana na chdm kuwabagua ktk serikali ya upinzani. wamejikuta kwenye makutano lkn ni watu wenye hoja. kama chdm inahitaji kufanya vizuri na kuiarisha upinzani, lazima ishirikiane na cuf
Ishu inayoongelewa hapa ni kuvurugika kwa sherehe baada ya watu wa ccm kunyea kambi.
Wewe unaleta habari zingine za kulialia hapa.

Halafu jamaa anayeitwa Kangol kule anamlaumu Sugu kwa kumwita Pinda MPUMBAVU!
Ni ustaarabu huo sasa?
 
Last edited by a moderator:
Jana kulikuwa na sherehe za kumuaga Samweli Sitta ,Spika za zamani wa Bunge zilivurigika baada ya Spika wa Bunge na Pinda kuamuru zipigwe nyimbo za Komba na mmojawapo uliopigwa ni ule wa ....wapinzani wakija tuwachanechane tuwatupe... Wimbo huu uliamsha hasira za wabunge wa CUF ambao waliamua kuondoka kwenye sherehe hizo bila kula chakula kilichokuwa kimeandaliwa.

Mbatia naye alitaka kuondoka ila akashikwa mkono na wabunge wa CCM naye bila aibu alirejea kwenye sherehe hizo , ila wabunge wa CUF waliamua kuondoka moja kwa moja pamoja na zawadi waliyokuwa wamemwandalia Sitta.

wabunge wa Chadema ,hawakuwepo hata mmoja .

Yaani bunge limepita nusu ya muhula ndio wanakumbuka kumuaga mzee saba toa moja!
 
Sasa si wangemfanyia sherehe ya chama? Alikua anaagwa na bunge au chama? Huyu pinda kalogwa..hakyamungu
 
Tatizo la nchi yetu na kitu ambacho kinatufanya tusiwe na maendeleo ni kutanguliza siasa kwa kila jambo, imekuwa ada hata kwenye jambo muhimu la kitaifa kufanywa kisiasa na mbaya zaidi kiitikadi, mfano mbio za mwenge.

Kwenye sherehe kama hii kulikuwa hakuna haja ya Pinda kusalimia CCM Oyee...au kuimba wapinzani tuwachanechane alhali wakijua kabisa wageni ni wa itikadi tofauti, hii yote inasababishwa na type ya viongozi tulionao hawaoni mbele wanaangalia reaction ya muda huo wapigiwe makofi basi hawaangalii impact ya mbele yake, mbaya zaidi kiongozi mkuu 'rais' hajali wala kukanya kwa yanayotokea.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha...Kweli hizo ni sherehe mufilisi, yani nyimbo za Komba ndio zinapigwa.
 
Now the politics of our country is in its new course...it's all bout em against us
 
Jana kulikuwa na sherehe za kumuaga Samweli Sitta ,Spika za zamani wa Bunge zilivurigika baada ya Spika wa Bunge na Pinda kuamuru zipigwe nyimbo za Komba na mmojawapo uliopigwa ni ule wa ....wapinzani wakija tuwachanechane tuwatupe... Wimbo huu uliamsha hasira za wabunge wa CUF ambao waliamua kuondoka kwenye sherehe hizo bila kula chakula kilichokuwa kimeandaliwa.

Mbatia naye alitaka kuondoka ila akashikwa mkono na wabunge wa CCM naye bila aibu alirejea kwenye sherehe hizo , ila wabunge wa CUF waliamua kuondoka moja kwa moja pamoja na zawadi waliyokuwa wamemwandalia Sitta.

wabunge wa Chadema ,hawakuwepo hata mmoja .
Kama sijakosea nakumbuka mwaka 2005 pale Lumumba Mangula alitaka huo wimbo upigwe lakkini JMK alikataa na kusema sio sahihi kuuimba kwa kuwa kachaguliwa na wote pro and against CCM. Sasa leo wanaupiga wimbo huo kwenye sherehe ja Mbatia anabaki ukumbini?. Shame on him.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom