Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,381
- 1,256
Kumbe anaumwa?Pinda ana akili finyu sana ukichanganya na ugonjwa anaoumwa basi ndo anakuwa kama msukule kabisaaa
Kumbe anaumwa?Pinda ana akili finyu sana ukichanganya na ugonjwa anaoumwa basi ndo anakuwa kama msukule kabisaaa
Aliagwa rasmi kama Spika mstaafu.....
Anaumwa ugonjwa gani?Pinda ana akili finyu sana ukichanganya na ugonjwa anaoumwa basi ndo anakuwa kama msukule kabisaaa
Pinda ana akili finyu sana ukichanganya na ugonjwa anaoumwa basi ndo anakuwa kama msukule kabisaaa
Jana kulikuwa na sherehe za kumuaga Samweli Sitta ,Spika za zamani wa Bunge zilivurigika baada ya Spika wa Bunge na Pinda kuamuru zipigwe nyimbo za Komba na mmojawapo uliopigwa ni ule wa ....wapinzani wakija tuwachanechane tuwatupe... Wimbo huu uliamsha hasira za wabunge wa CUF ambao waliamua kuondoka kwenye sherehe hizo bila kula chakula kilichokuwa kimeandaliwa.
Mbatia naye alitaka kuondoka ila akashikwa mkono na wabunge wa CCM naye bila aibu alirejea kwenye sherehe hizo , ila wabunge wa CUF waliamua kuondoka moja kwa moja pamoja na zawadi waliyokuwa wamemwandalia Sitta.
wabunge wa Chadema ,hawakuwepo hata mmoja .
Nasikia samweli sitta alikuwa anaagwa,sherehe ya kuagwa kwenda wapi? Maada zilizopo hazijajadili sitta alikuwa anaagwa kwa safari ya wapi au kuagwa kwa lipi,ila kilichosemwa ni tukio lililoingilia sherehe hiyo! Atujuze anayejua sherehe ilikuwa ya nini,na ilijumuisha wabunge gani?
Hii nyimbo ingekuwa ni ya CUF au NCCR au TLP, DP, UDP ingekuwaje?
Hii nyimbo ingekuwa ni ya CUF au NCCR au TLP, DP, UDP ingekuwaje?