Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.

Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Kristo mtawala wa dunia.
Elewa hivyo.
Hata umri wako ukiulizwa utataja kwa kuzingatia kalenda ya Kikristo, ukishajua hilo basi ujue unaishi kwa neema ya Kristo Yesu
 
Kwetu sisi Waislamu tuna sikukuu tatu tu, Iddi Al Fritr, Iddi Al Ad'ha na Iddi ya Jumaa, yaani kila siku ya Ijumaa.

Kusherehekea kupinduka mwaka kwetu sisi Waislamu haifai na ni jambo ambalo walio tutangulia hawakufanya na sisi Waislamu hatufanyi hivyo.

Ibaki ya kuwa Sikukuu ya Mwaka mpya wa Miladiya ni yenu nyinyi Wakristo na so yetu sisi. Na Sasa naona Waislamu mdogo mdogo wameanza kuelewa isipokuwa baadhi Yao ambayo wako mbali na dini yao, ila wataelewa tu kwa idhini ya Allah.
Umesahau Maulidi.
 
Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.

Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Kwani ulikuwa hujui hili? Pole sana. Ukristo hasa Katoliki ndiyo kila kitu.
 
Waislamu mmeshindwa kabisa kuweka miezi yenu humu ili tuijue na sisi

Muḥarram, = January.
Ṣafar,
Rabīʿ al-Awwal,
Rabīʿ al-Thānī,
Jumādā al-Awwal,
Jumādā al-Thānī,
Rajab,
Shaʿbān,
Ramaḍān (the month of fasting), Shawwāl,
Dhū al-Qaʿdah,
Dhū al-Ḥijjah.
 
Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.

Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Udini huu unaonuka utakusaidia nini? Nenda shule kajielimishe. Tunajua ni lini tuligeuzwa wakristo au waislam lakini hatujui ni lini tulikuwa waswahili. Mijitu mingine hovyo na mikumbaff. Unatetea kalenda ya kiarabu kwani wewe ni mwarabu kumbaff we
 
Sasa kama umetukuta tunashehereka miaka 800 ya mwaka mpya kuna ubaya gani ukituunga mkono...

Mbona Eid El Fitr tunakula ubwabwa pamoja???

Sisi ni ndugu hizi dini tumeletewa tu. Vinginevyo unataka hata tarehe za mishahara zifuate imani za kidini...

Heri ya mwaka mpya mkuu ndugu yangu
Kwahiyo waislam wawe wanapokea tarehe?
 
Wanyama wanaishi vipi?
Mnajipa uwehu na hizo theoery zenu kuwa dini zilibuniwa.nikuambie tu short cut.hakuna dini ilibuniwa.kila generation ilikuwa na muonyaj wake aliyewakemea wale walio anza kuishi kama wanyama.na kila aliyewaonya aliwaambia mcheni mungu nafsi kukuongoza kufanya wema.kujisalimisha kwa mola.
 
Watu ambao wamefilisika akili za maisha ndio huja na hizi hoja ili wapate uhalali katika jamii wanayoishi waonekane nao wana malengo au shughuli fulani.

Sasa nikikuuliza hapo unachokitafuta ni nini unaweza kunambia?!

So hiyo kalenda inakuzuia nini kufanya maisha yako au inakubugudhi nini hadi ushindwe kuishi kama wanadamu wengine?!

Ni dhahiri kichwa chako kimejazwa na hofu ya maisha na pengine kuna mambo hayakuendei sawa sasa unajaribu kutafuta sehemu ya kutolea hasira zako za maisha.

Sikiliza Dogo (nakuita dogo kwa makusudi iwe una umri mdogo au upo na miaka 50 wewe bado unaonekana haujakua kiakili kuongea vitu kama hivi), kwenye haya maisha usipokuwa na mfumo na mipangilio mizuri ya kuishi utabakia kuwa kama mwendawazimu.

Tuliza kichwa chako, tafakari njia zako, elewa vema mafunzo ya imani yako, tafuta pesa kwa uhalali, heshimu watu wengine ikiwamo imani kama vile wao ambavyo wanakuheshimu kisha uishi kwa utulivu sio ukorofi.

Achana na huo ujinga ujinga wa kalenda. Ingekuwa ni tatizo basi maisha yasingeenda kama vile unavyoyaona leo hii.
nakibaliana na wewe
 
Back
Top Bottom