Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

Acha uongo.
Gregory ambaye alikuwa papa wa kanisa katoliki alisukumwa na Ukristo ndio maana alianza kuhesabia mwaka kuanzia kuzaliwa kwa Yesu Kristo.

Huu ni mwaka 2023 AC (After Christ)
Alimtumia yesu kristo Kama tukio kubwa la kihistoria ndiyo akaanza kuhesabia pale,ni sawa Leo uanzishe kalenda tangu Tanganyika kupata uhuru au gsm kuidhamini yanga, ukiristo na kalenda haviusiani,uwe unaelewa
 
Unamshukuru Alah kwa Mwaka uliopita upi?

Huu wa Kanisa ulioanzishwa na Wakristo chini ya Papa Gregory au upi?

Wewe usiwe na itikadi za siasa kali na kishabiki, kwani huyo papa akifanya jambo zuri tusimsifie kwakuwa yeye sio Muisilamu??!, Papa akisema uzinzi ni haramu nikatae kwakuwa yeye sio mtu wa dini yangu??, halikadhalika papa akigundua jambo lenye faida kwa binadamu kama hiyo kalenda tumbeze kwakuwa yeye sio muisilamu??, Sisi Waisilamu hatupo hivyo labda nyinyi msiokuwa na mafundisho ya hulka njema na uadilifu ndio mnaweza kupinga jambo jema kwakuwa tu jambo hilo kafanya au kalianzisha mtu msiyempenda au kutoka dini nyingine (mfumo kristo).

Mtume wetu mtukufu alipata kusema; Jambo lolote jema mkiliona ni mali (Hazina) iliyopotea ya muislamu, hiyo kalenda inayo manufaa kwetu sasa Kwanini tuibeze kwakuwa aliyeianzisha ni papa??, tena kiongozi mkuu wa kidinii duniani !!, acha akili za kitoto.
 
Watu ambao wamefilisika akili za maisha ndio huja na hizi hoja ili wapate uhalali katika jamii wanayoishi waonekane nao wana malengo au shughuli fulani.

Sasa nikikuuliza hapo unachokitafuta ni nini unaweza kunambia?!

So hiyo kalenda inakuzuia nini kufanya maisha yako au inakubugudhi nini hadi ushindwe kuishi kama wanadamu wengine?!

Ni dhahiri kichwa chako kimejazwa na hofu ya maisha na pengine kuna mambo hayakuendei sawa sasa unajaribu kutafuta sehemu ya kutolea hasira zako za maisha.

Sikiliza Dogo (nakuita dogo kwa makusudi iwe una umri mdogo au upo na miaka 50 wewe bado unaonekana haujakua kiakili kuongea vitu kama hivi), kwenye haya maisha usipokuwa na mfumo na mipangilio mizuri ya kuishi utabakia kuwa kama mwendawazimu.

Tuliza kichwa chako, tafakari njia zako, elewa vema mafunzo ya imani yako, tafuta pesa kwa uhalali, heshimu watu wengine ikiwamo imani kama vile wao ambavyo wanakuheshimu kisha uishi kwa utulivu sio ukorofi.

Achana na huo ujinga ujinga wa kalenda. Ingekuwa ni tatizo basi maisha yasingeenda kama vile unavyoyaona leo hii.
Umemaliza yote# tuachane mpumbavu mmoja na asituchanganye.
 
Wewe usiwe na itikadi za siasa kali na kishabiki, kwani huyo papa akifanya jambo zuri tusimsifie kwakuwa yeye sio Muisilamu??!, Papa akisema uzinzi ni haramu nikatae kwakuwa yeye sio mtu wa dini yangu??, halikadhalika papa akigundua jambo lenye faida kwa binadamu kama hiyo kalenda tumbeze kwakuwa yeye sio muisilamu??, Sisi Waisilamu hatupo hivyo labda nyinyi msiokuwa na mafundisho ya hulka njema na uadilifu ndio mnaweza kupinga jambo jema kwakuwa tu jambo hilo kafanya au kalianzisha mtu msiyempenda au kutoka dini nyingine (mfumo kristo).

Mtume wetu mtukufu alipata kusema; Jambo lolote jema mkiliona ni mali (Hazina) iliyopotea ya muislamu, hiyo kalenda inayo manufaa kwetu sasa Kwanini tuibeze kwakuwa aliyeianzisha ni papa??, tena kiongozi mkuu wa kidinii duniani !!, acha akili za kitoto.

Maana hiyo waislamu wanaabudu na wako chini ya papa na ukristo

Hakika kila goti kwa Yesu kristo na ukristo litapigwa

Proud kuwa kwenye dini ya Giants wanao imiliki dunia kila kona
 
Hiyo ni mipangilio tu ya siku. Weka utaratibu binafsi kuhusiana na uonavo wewe wala haitokuuma mkali. Mf mimi sijui mwaka mpya, X-mass, Idd, Ramadhani nk kwangu naamini ni siku jamii imekubaliana kufurahi pamoja tofauti ni kwamva Christians wako favoured sana kwa hapa E. A
 
Back
Top Bottom