Kwani Waislam hamumtambui Kristo?Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Ila haujakatazwa kuifuata ifuate tu hata kwenye vitambulisho andika Maana 1444 na sio 2023 sawa kaka!!Tupo huruKalenda ya kiislam ipo ila haizingatiwi sana
Kwa hiyo jua ni la wapgani wasabato hizo lesson zinawafanya muwe vichaa sababu hii calendar inafuata jua
mungu Alie kuumba wewe hapo na wanaadam wote.Mungu yupi sasa????Wakristo Mungu wao YESU na Wahindu Mungu wao ni KRISHINA na Wabudha Mungu wao JANGZU na Wayahudi Mungu wao JEHOVAH na Wabantu Sana Mungu yao!!!!!Na dini zote hizo zilitangulia kabla ya uislamu
wee hio imani yamarasta umeitoa wapi nchi hii? acha uchokHata sisi marasta tunakuona wewe punguani sababu Kuu ni moja kuacha imani za babu zako na kufuata imani iliyoletwa huku kwetu na wakoloni wa kiarabu😂😂🤣🤣
Kila mmoja anaamimi Mungu wake ndio alieumba wanadamu kutokana na mapokeo ya dini yake!!!Ndio maana nikamuuliza Mungu yupi amtaje jina???mungu Alie kuumba wewe hapo na wanaadam wote.
Sawa kaka mimi choko umefurahii kunitukana😂🤣🤣!!!Na wewe imani ya waarabu umeitoa wapi nchi hii ya wabantuwee hio imani yamarasta umeitoa wapi nchi hii? acha uchok
wee umeumbwa na mungu yupi.?Kila mmoja anaamimi Mungu wake ndio alieumba wanadamu kutokana na mapokeo ya dini yake!!!Ndio maana nikamuuliza Mungu yupi amtaje jina???
Ushaniita choko mdogo wangu siwezi kujadiliana na wewe tena!!!Nadhani unapenda matusi kuliko majadiliano mdogo wangu!!!Sasa sisi wasomi hatupo hivyowee umeumbwa na mungu yupi.?
FactsKiuhalisia hakuna mwafrika anayehusika na dini yoyote kati ya hizi mbili, wahusika wenyewe ni watu weupe (wazungu na waarabu)
Kama wewe ni mweusi na una midomo mipana na unajiita Muislamu au Mkristo basi tambua hauna akili sababu wewe ni follower tu wa hizo dini na sio mlengwa wala muhusika.
Sema Waafrika weusi wote wanafuata Calendar ya Mzungu, huu ndio uhalisia.
Yes, sio kalenda ya Kikristo bali ni specific ya Kikatoliki. Kalenda ya Mungu ilivurugwa na Kaisari Julius na baadaye Papa Gregori. Kwa kalenda ya Kiyahudi huu ni mwaka 5783, inatumia jua na mwezi, Uislamu unatumia mwezi tu, gregorian inatumia jua tu.Mfumo wa calenda na tarehe zenyewe unazotumia kila siku ni za Catholic, Haikwepeki.
Unawezaje kuliongelea jambo isipokuwa na elimu nalo. Maisha yako yote umetawaliwa na mfumo wa imani hata kama utajidai huamini. Imani ni mfumo wa maisha uliokubalika na wote, wanaopenda na wasiopenda. Msingi wa sheria za nchi na taasisi za kimataifa inafuata mfumo wa dini, sasa sijui unajiona vipi wewe una akili kuliko wanaoamini? Ukichunguza vema kumbe wewe usiyeamini ni mtumwa na mjinga mkubwa.Kiuhalisia hakuna mwafrika anayehusika na dini yoyote kati ya hizi mbili, wahusika wenyewe ni watu weupe (wazungu na waarabu)
Kama wewe ni mweusi na una midomo mipana na unajiita Muislamu au Mkristo basi tambua hauna akili sababu wewe ni follower tu wa hizo dini na sio mlengwa wala muhusika.
Sema Waafrika weusi wote wanafuata Calendar ya Mzungu, huu ndio uhalisia.
Uko sahihi nadhani dini ya kiyahudi na wasabato wako mwaka 5783Yes, sio kalenda ya Kikristo bali ni specific ya Kikatoliki. Kalenda ya Mungu ilivurugwa na Kaisari Julius na baadaye Papa Gregori. Kwa kalenda ya Kiyahudi huu ni mwaka 5783, inatumia jua na mwezi, Uislamu unatumia mwezi tu, gregorian inatumia jua tu.
Yes christianity ndio dini giant duniani hilo halina ubishi
Nchi zote duniani zinaishi katika mifumo ya kikristo kwa namna moja ama nyingine pia tamaduni za kikristo zimetawala maeneo mengi duniani kuanzia hiyo kalenda iliyo asisiwa na papa
Wanasayansi wengi wavumbuzi waliishi katika ukristo
Kama kuteka na kuchukua watu utumwani hata waarabu walifanya sana hiyo biashara wakiwa master slaves pia madalali wa watumwa
Kiufupi ukristo na tamaduni zake ndio unatawala dunia na zaidi unazidi kuenea kwa kasi sana mana hii ndio dini halisi ya Mungu vidini vingine uchwara vinazidi kumezwa na kupotezwa kadri miaka inavyosonga mbele
Dubai karuhusu kunywa pombe jana mkuu. Na wazungu ndio walimleta sultan said kutawala Zanzibar na kuuza watumwa
Basi we ndo mjinga usoweza kufundisha wenzakoHuwa hamfundishiki isipokuwa ugaidi na ubaguzi tu
Sas Yesu Kristo si ndio Bwana wa Wakristo!!Alimtumia yesu kristo Kama tukio kubwa la kihistoria ndiyo akaanza kuhesabia pale,ni sawa Leo uanzishe kalenda tangu Tanganyika kupata uhuru au gsm kuidhamini yanga, ukiristo na kalenda haviusiani,uwe unaelewa
Yesu ni historical figure,kalenda haihusiani chochote na Imani ya kikristo