Shemeji/Wifi yenu kaondoka!

Shemeji/Wifi yenu kaondoka!

aseee mkuu fanya mawasiliano na wazazi wake u comfirm kwamba amefika then upange siku ya kwenda huko kuzungumzia swala hilo

ila kwa upande mwengine mkeo atakua kaanza kuruka marede kanga kufunua take care

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
Nimecheka sana, akifa...!
 
I hope mko salama ndugu zangu

Nisiwachoshe nanyooka mazima
Yapata wiki ya tatu sasa kila nikishika simu ya mke wangu nakuta charts zake na mtu anayedai ni ndugu yake.

Nimehoji mara kadhaa na amekuwa akisisitiza ni ndugu yake,leo asubuhi ameamka akaenda kufanya usafi nje huku nikibakia kitandani ukizingatia leo ni weekend.

Mara simu yake ikapigiwa ile napokea jamaa akakata huku mpigaji akiwa ni yuleyule anayedaiwa kuwa ndugu.

Alipokata nikazama kwenye text nikakuta chating kama kawaida tena wife anajaribu kumlalamikia jamaa mbn anamdanganya kila siku anamtumia hela na hatumi.

Nikamsubiri wife alipokuja nikamuuliza huyu unayemwomba hela kila siku ni nani?hakujibu na mm nikamuacha nikampa simu yake na nikamwambia nmechoka na hii tabia sasa kama hutaki kunielewa subiri vitendo.

Wife akajibu"siwezi kusubiri vitendo bora nisepe tu"na nikamwambia kumbe nia yako ni kusepa basi umechelewa.Ile namaliza kuongea hivyo akachukua begi akaweka nguo zake baadhi akabeba ameondoka ameniacha ndani namuangalia huku akitokomea.

Sasa wadau nichukue hatua gani za awali?Naombeni ushauri najua humu wengi tu ambao wamo kwenye ndoa na kuna wali na uzoefu wa muda mrefu hata kama haupo kwenye ndoa lkn pengine umekumbana na changamoto za mahusiano kwa namna moja au nyingine.

I hope nitapata ushauri utakaonisaidia by any means.
df4add295c2030bd8e0978baafe3aa83.jpg
Dah mkuu labda kunavitu humtimizii. ndo maana anakuwa omba omba kwawanaume wengine .wakezawatu wengi wanajirahisi sana nawanapenda sana hela .mkamilishie mahitaji yake yote huenda akakaacha kugegedwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulizia kama amefika nyumbani kwao then kama kafika mtakie maisha mapya tafuta mwanamke mwingine oa maisha yasonge. Unamnynyekea ke mpaka akupande kichwani sasa uanaume wako upo wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona hapo juu umemwambia mtoamada .kama anampa hela mkewake kwanini anaombaomba ???ndo nakwambia nyie hata mpewe kilakitu mtaenda kuombatu tunawajua natunakutana nanyie mnatia aibu ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na tabia,mie nimekujibu hivo kutokana na ulilolitoa. Sijamaanisha lile la juu hilo lingine ni tabia ya mtu kuto kuridhika
 
Back
Top Bottom