Shemeji/Wifi yenu kaondoka!

Shemeji/Wifi yenu kaondoka!

Me sitokuja kuowaa maisha yangu yote nitazaaa tu basi inatosha maana nilikuwa nataka niowe mwakani ila yaliyonikuta mungu anajuwa siowi hata iweje....wanawake sio watu kabisaa hata kidogo hawafai hawa watu.....
 
Mkuu lbd ukisema ni tabia ya mtu naweza tu kukuelewa,kwanza mahitaji natimiza ukizingatia ni familia changa mno haijafikia hatua ya kuwaza kushindwa kutimiza majukumu japo hata ikikomaa haina maana ntashindwa.
Pili ana taaluma ya ualimu na anafundisha English Medium nilimtafutia kazi ili kuitendea haki taaluma yake.Bado sijaona sababu za uhitaji wa hela namna hiyo zaidi ya tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
mmh pole sana sion hapo kama ana mapenzi maana anastahili kukuheshimu
 
Nami iliwahi nitokea hiyo kisa mdogo wake aliyekuwa anakaa kwangu nikimsomesha aliondoka siku tatu akaenda kwa jamaa yake..ile anarudi nikamtimua..wife akamaindi akasema kama inamfukuza mdogo wangu nami naondoka..akasepa kweli..nilichofanya:-
1.sikumtafuta wala kupiga sim kwao..
2alipopiga sikupokea simu wala kujibu jumbe
3.wazaz walipouliza nikasema hakuna shida kama ipo muulizen yy maana yuko huko
4.waliponiita sikwenda
5wakatuma watu kuja kwangu siku ya jpili nikawambia leo ni siku ya mapumziko nayoitumia kusoma vitabu hivyo sitawwza kuwasikiliza..
7.sikutuma pesa yyte ta matumizi kwake.
8.nikapata safar ya kikaz nikaondoka bila kumjulisha nikabadilisha vitasa vya milango na kuwwka mlinzi
..alituma sma zaid ya 2000akiomba msamaha na kusema nimsamehe ni shetan alimpitia..na kuwa mdogo wake ana mimba ya huyo jamaa yake na shule hawez tena..
..sikujibu kitu..
Baada ya miezi miwili..nikiwa nimerudi na majiran kumwambia ..siku ya jmos asubuhi nikiwa nafuaara nasikia hodi ..kucheki amekuja yeye,baba yake,mama,kaka,dada,na jamaa wawili tuliooa nao nyumba ile..nikawakaribisha..nikaendelea kufua wakaa ndani..nikamaliza kufua..wakanieleza sababu za ujio wao..wife analia tu mda wote nikasema ..baada ya maelezo ya baba mkwe ..nikamuuliza wife..kinachokuliza ni kipi?..akaeleza weee...akapiga magoti akaomba radhi..nikamwambia mbele ya wazaz wake..usirudie..huwa sijaribiwi..nilikuoa kwa taratibu..huyu niliekuwa namaomesha na leo ana mimba nimsogo wako sio wangu..kama ulikuwa aunafurahia aliyokuwa anafanya jitafakari upya..nimekusamehe..
Tangu siku hiyo mpaka leo miaka 14 ya ndoa wife hajawahi kuleta nyenyenye....
Huyo wa kwako na hivi ana mshono tumboni..mwache aende...akili ikimkaa atarudi na sia ajabu yupo hapo hapo mwanza..
Aisee kwanza asnte mkuu kwa kushare na mm tukio kama langu,leo yapata siku ya tano tangu aondoke,siku nashare uzi huu na wadau it was jumamosi siku hiyo nilitoa taarifa sehemu husika zote,baba ake alisema huwa halei tabiia za ajabu kama alizofanya wife na kwa mantiki hiyo sidhani kama ataenda nyumbani kwao mpk leo hajafika kwao na kuanzia jumapili mpk leo keshapiga simu kama mara 10000 hv na sms zisizo na idadi,sijawahi kumjibu wala kupokea simu yake,kuna muda anajaribu kutumia namba mpya lkn nikishagundua ni yeye huwa nakata mara moja,dada yake kamuombea msamaha mpk amechoka,nilivhomjibu ni kwamba nahitaji muda wa kukaa mwenyewe mpk pale atakapotambua thamani ya ndoa ndipo awafuate wazazi wake waje niwaeleze matatzo yote ya binti yao,na ni kweli huenda yupo hapa hapa Mwanza,na mpk sasa sijafikiria kama nnaweza kumhitaji mapema.Hata kama atakuja arudi nafiki atakuwa ameshapata elimu ya kutosha ni kwa namna gani ndoa zinatakiwa kuheshimiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajarudi bado??
Bado mkuu lkn anapiga simu na kutuma sms kama mwendawazimu na tangu aondoke sijawahi kupokea wala kijibu sms yake.Anatamani kurudi hata leo lkn nafikiri nahitaji kupumzika na kufanya mambo yng amewapigia ndg zang wakajaribu kunishauri niliwajibu kitu kimoja tu kama wanajua sababu ya yeye kuondoka basi wamuite waishi naye wao sio mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe kwa nini ulikua haumpi hela mkeo mpaka anaomba kwa mwanaume mwingine ila pole sana kaondoka mwenyewe akiamua kurudi atarudi mtu mzima huyo anajua anachofanya
 
Hongera sanaa tena sanaaa zidi kuwa na msimamo na kamwe haweI kufanya hivyo tenaaa maiaha yake yote wala usijali mkuu ndio wanawake wanavyokuwaga hivyo
 
Na wewe kwa nini ulikua haumpi hela mkeo mpaka anaomba kwa mwanaume mwingine ila pole sana kaondoka mwenyewe akiamua kurudi atarudi mtu mzima huyo anajua anachofanya
Kama ndoa huwa zinaendeshwa hivyo basi amefanya vyema kwenda kule ambako huwa pesa zinatokewa tu bila utaratibu na kwa kufanya hvyo wala hapaswi kujuta kama ambavyo mm sijuti kutompa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sanaa tena sanaaa zidi kuwa na msimamo na kamwe haweI kufanya hivyo tenaaa maiaha yake yote wala usijali mkuu ndio wanawake wanavyokuwaga hivyo
Of coz ndg maana hii ndiyo mara yake ya kwanza nafikiri alikuwa ana shake before use amehisi kulipukiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe kwa nini ulikua haumpi hela mkeo mpaka anaomba kwa mwanaume mwingine ila pole sana kaondoka mwenyewe akiamua kurudi atarudi mtu mzima huyo anajua anachofanya
Hata serikali ina utaratibu wake wa utoaji hela kama unafikiri ndoa zimedumu na kupata mafanikio kwa sababu wanaune wanamwaga pesa kama njugu basi ni upotofu wa kiwango cha lami.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata serikali ina utaratibu wake wa utoaji hela kama unafikiri ndoa zimedumu na kupata mafanikio kwa sababu wanaune wanamwaga pesa kama njugu basi ni upotofu wa kiwango cha lami.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi mkuu umemjibu vyema,hawa wanawake so called wa kileo kwa kuyasoma maandishi yao unagundua kabisa wanapungukiwa madini ya muhimu kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom