MeruA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 1,390
- 2,170
- Thread starter
- #21
Mpk sasa sijafanya hvyo mkuuKama bado unampenda kaa kimya wala usiwaambie wazazi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpk sasa sijafanya hvyo mkuuKama bado unampenda kaa kimya wala usiwaambie wazazi wake.
Mna haki ya kulichukulia kivyovyote swala hili maana kila mtu ana mitazamo yake katika kile anachoona na kusikia.Lkn ukweli ni huo huo niliouweka hapoTehe tehe....mhenga umeona mbali sana. Mke hawezi kuondoka hivyo kama anafuata mdundiko.
[emoji23][emoji23]dhihaka hyoMtumie pesa anazo omba kwa jamaa sw
Basi alikuwa anatafuta sababu na inaonyesha hata sms alizochati na jamaa hakuzifuta makusidi na cm aliiacha kitandan ili uone akijua kabisa lazima utapanic ili apate kianzioSijamkosea chochote ndg japo mikwaruzano kwenye ndoa jambo la kawaida lkn hatukuwa na ugomvi wowote mpk tunaamka leo asbh
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza ni mmasai na wenzatu kidogo wana misimamo yao katika maswala haya ndy maana sijataka kuwapa taarifa mpk muda huu na nmejaribu kumpigia simu akanijibu NIACHE kisha akakata simu na akanitumia sms akidai anaondoka kwa kuwa nmesema nimechoka na tabia zake.Sikumjibu chochoteShost aliondoka kwa mume kwa style hii lakini hakukuwa na issue ua cheating. Mume alivyokuwa jeuri hakupiga simu wala kuuliza yuko wapi. Baada ya siku tatu baba mkwe amepiga simu anamwambia baba mwenzako yuko Huku akasema sawa.
Kaa kimya kwanza kama umejua yuko salamaKwanza ni mmasai na wenzatu kidogo wana misimamo yao katika maswala haya ndy maana sijataka kuwapa taarifa mpk muda huu na nmejaribu kumpigia simu akanijibu NIACHE kisha akakata simu na akanitumia sms akidai anaondoka kwa kuwa nmesema nimechoka na tabia zake.Sikumjibu chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana tuna mwaka mmoja na miezi kadhaaa na ana miezi mitatu amefanyiwa operation baada ya mtoto kufia tumboni akiwa na 8 months
Unamaanisha ndoa mkuu??Nyerere Alisema Matatizo Makuu Ma3 Kuwa Ni Umaskini, Ujinga Na Maladhi La 4 Ni HILI
Sijakuelewa mkuuNimekuwa kuwa mwezi mbaya August umeondoka tumeanza September, unaakili sn mkuu.
Mimi nimelichukulia kiuhalisia kwa sababu niko kwenye ndoa muda mrefu sasa. Na mwanamke aliyekomaa kwenye ndoa hawezi kuondoka kwa style hiyo. Otherwise kuna matatizo ya muda mrefu ambayo hujaweka bayana hapa. Siko hapa kukukejeli wala kukudhihaki tafadhali.Mna haki ya kulichukulia kivyovyote swala hili maana kila mtu ana mitazamo yake katika kile anachoona na kusikia.Lkn ukweli ni huo huo niliouweka hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uwezekano kweli mimi ni mbulula lkn ana miezi 3 tangu afanyiwe operation baada ya mtoto kufia tumboni sasa sijui ndiyo umburura wanguKama hukumzalisha wewe ni mbulula kweli ndio maana ameondoka kama alivyoingia (na begi tu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuMuache aende mkuu, atarudi mwenyewe tu japo kama alikua anakupenda kweli.
Yesu Anaponya.
Haha alafu ana mshono ambao haujapona kiivyoDaaah!!!.....hizi ndoa hizi!!......ameenda kuliwa!