MeruA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 1,390
- 2,170
- Thread starter
- #41
FactBasi alikuwa anatafuta sababu na inaonyesha hata sms alizochati na jamaa hakuzifuta makusidi na cm aliiacha kitandan ili uone akijua kabisa lazima utapanic ili apate kianzio
Sent using Jamii Forums mobile app