Shemeji/Wifi yenu kaondoka!

Shemeji/Wifi yenu kaondoka!

Ndio maisha..kupendwa na kuachwa,lakini jichunguze umekosea au una mapungufu gani. Unatoa ela??
Ela
Ela
Ela.
Kama mkono wa birika basi we utakuwa wa kukimbiwa tu
 
Huo umri unachangia kwa kiasi kikubwa sana katika maamuzi aliyofanya. Cha msingi kwa upande wako usikurupuke. Tuliza kichwa tafakari. Inaonekana huyo binti alikuwa anafanya hayo mambo kwa muda mrefu na hakuwa tayari kwa ndoa na kuitwa mke. Kuna watu wengi sana siku hizi wanaingia kwenye ndoa kwa sababu zisizo sahihi. Hakika alichokifanya tunakiita "calculated moves" ni wewe tu ndio ulikuwa gizani kwa muda wote bila kujua dhamira ya kweli moyoni mwake.
Pole sana ndugu.
Asnte mkuu kwa ushauri i hope mpk muda huu sijachukua hatua yeyote zaidi ya kuzungumza tu na ndg yake mmoja ambaye amekuwa akitusuluhisha pale tunapotofautiana na amesema tutulie kwanza tusiwashirikishe nyumbni kwao wala tusimtafte kwa kuwa kaondoka yeye hajafukuzwa na tukianza kumsumbua atavimba kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana 3 months ndiyo katoka kufanyiwa operation ya kutoa kiumbe kilichofia tumboni kikiwa na miezi 8,kama ningeshusha kipondo huenda ningezua mengine na nilichomwambia kama anatabia ya hivyo hatakaa aache kamwe lkn kama kuna ushawish aache kwa dhamira ya kunusuru ndoa na nmekuwa nikijitahidi kumuonya juu ya huyo mtu kama awamu tatu hv.

Sent using Jamii Forums mobile app
basi itabidi uitishe kikao na wazazi wake mkuu mkae chini mzungumze na imani kubwa suluhisho itapatikana kila la kheri mkuu
 
Ndio maisha..kupendwa na kuachwa,lakini jichunguze umekosea au una mapungufu gani. Unatoa ela??
Ela
Ela
Ela.
Kama mkono wa birika basi we utakuwa wa kukimbiwa tu
Kwanza hela inaendesha maisha ya siku zote bila kuitafta hamtaishi kama umezungumzia kutimiza majukumu yangu kama mume najisifu kwa hilo ila kama unamaanisha hela kama ushawishi basi acha aende tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nae wewe mwanaume....kaaa chini potezea kama week hivi uone reaction yake hapo ukienda kichwa kichwa atakuweka mkononi na atakupelekesha....kaa kimya na wewe....
 
Shost aliondoka kwa mume kwa style hii lakini hakukuwa na issue ya cheating. Mume alivyokuwa jeuri hakupiga simu wala kuuliza yuko wapi. Baada ya siku tatu baba mkwe amepiga simu anamwambia baba mwenzako yuko huku akasema sawa.
This is me (sijaoa) ila yaan umeamka tu ukajisikia zako kusepa au hata kwa tofaut yeyote ile, yaan ukabeba tu begi ukaenda... hata text tu hutoona.. yaan kimyaaa kama hakijatokea kitu, vitu vingne naonaga utoto tu na hv sina wivu hata kidogo
 
Shost aliondoka kwa mume kwa style hii lakini hakukuwa na issue ya cheating. Mume alivyokuwa jeuri hakupiga simu wala kuuliza yuko wapi. Baada ya siku tatu baba mkwe amepiga simu anamwambia baba mwenzako yuko huku akasema sawa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Jamaa kauzu kweli, eti sawa.[emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana...

Kutokomea kwake ndiyo mwanya wa kwenda kumpa mzigo huyo jamaa...

Alafu atajirudisha kwa unyooonge na kujuta sana...

Utamsamehe na maisha yataendelea... Hizo ndiyo changamoto...

Cc: mahondaw
 
Ameenda kwa jamaa kumpa mzigo ula atarudi na umemuonyesha kumpenda sanaa yaani nikute message za mwanaume kwenye simu ya mke wangu nashusha kipondo cha hali ya juu....wewe mara tatu nzimaa unazikuta alafu unamuangalia tu??
 
Kwanza hela inaendesha maisha ya siku zote bila kuitafta hamtaishi kama umezungumzia kutimiza majukumu yangu kama mume najisifu kwa hilo ila kama unamaanisha hela kama ushawishi basi acha aende tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama kila siku unampa ela kwanini aombe kwa watu wengine nje?
As I said jichunguze ujue Nini tatizo
 
I hope mko salama ndugu zangu

Nisiwachoshe nanyooka mazima
Yapata wiki ya tatu sasa kila nikishika simu ya mke wangu nakuta charts zake na mtu anayedai ni ndugu yake,nimehoji mara kadhaa na amekuwa akisisitiza ni ndugu yake,leo asubuhi ameamka akaenda kufanya usafi nje huku nikibakia kitandani ukizingatia leo ni weekend,mara simu yake ikapigiwa ile napokea jamaa akakata huku mpigaji akiwa ni yuleyule anayedaiwa kuwa ndugu,alipokata nikazama kwenye text nikakuta chating kama kawaida tena wife anajaribu kumlalamikia jamaa mbn anamdanganya kila siku anamtumia hela na hatumi,nikamsubiri wife alipokuja nikamuuliza huyu unayemwomba hela kila siku ni nani?hakujibu na mm nikamuacha nikampa simu yake na nikamwambia nmechoka na hii tabia sasa kama hutaki kunielewa subiri vitendo wife akajibu"siwezi kusubiri vitendo bora nisepe tu"na nikamwambia kumbe nia yako ni kusepa basi umechelewa.Ile namaliza kuongea hivyo akachukua begi akaweka nguo zake baadhi akabeba ameondoka ameniacha ndani namuangalia huku akitokomea.Sasa wadau nichukue hatua gani za awali?Naombeni ushauri najua humu wengi tu ambao wamo kwenye ndoa na kuna wadhoefu wa muda mrefu hata kama haupo kwenye ndoa lkn pengine umekumbana na changamoto za mahusiano kwa namna moja au nyingine.I hope nitapata ushauri utakaonisaidia by any means.
df4add295c2030bd8e0978baafe3aa83.jpg
YANAZUNGUMZIKA. !?!?!!!
 
Mwanamke akiondoka kwa sababu za kijinga
1=usimpigie simu wala kumtumia SMS.
2=kubaliana Na maamzi yake
3=anza kumsahau.....I mean ji keep busy
4=weka Nguo zake alizoacha sehemu Moja ....itakusaidia siku akija kumkabiddhi
5=Badili style ya kulala Na usivae Nguo alizozizoea wakat uko Nae
MBINU HIZO [emoji115] [emoji115] [emoji115] ZITAMFANYA ATAMANI KUJA ILA
HATAWEZA
Mb.....kama humpendi Na hutaki aje.
 
Mwanamke kama hataki mwache aende zake, usimbak. Kulazimisha penzi ni hatari, sawa na kulazimisha fani, mwishowe unaleta utanii.......dunia ina mamboo
 
I hope mko salama ndugu zangu

Nisiwachoshe nanyooka mazima
Yapata wiki ya tatu sasa kila nikishika simu ya mke wangu nakuta charts zake na mtu anayedai ni ndugu yake,nimehoji mara kadhaa na amekuwa akisisitiza ni ndugu yake,leo asubuhi ameamka akaenda kufanya usafi nje huku nikibakia kitandani ukizingatia leo ni weekend,mara simu yake ikapigiwa ile napokea jamaa akakata huku mpigaji akiwa ni yuleyule anayedaiwa kuwa ndugu,alipokata nikazama kwenye text nikakuta chating kama kawaida tena wife anajaribu kumlalamikia jamaa mbn anamdanganya kila siku anamtumia hela na hatumi,nikamsubiri wife alipokuja nikamuuliza huyu unayemwomba hela kila siku ni nani?hakujibu na mm nikamuacha nikampa simu yake na nikamwambia nmechoka na hii tabia sasa kama hutaki kunielewa subiri vitendo wife akajibu"siwezi kusubiri vitendo bora nisepe tu"na nikamwambia kumbe nia yako ni kusepa basi umechelewa.Ile namaliza kuongea hivyo akachukua begi akaweka nguo zake baadhi akabeba ameondoka ameniacha ndani namuangalia huku akitokomea.Sasa wadau nichukue hatua gani za awali?Naombeni ushauri najua humu wengi tu ambao wamo kwenye ndoa na kuna wadhoefu wa muda mrefu hata kama haupo kwenye ndoa lkn pengine umekumbana na changamoto za mahusiano kwa namna moja au nyingine.I hope nitapata ushauri utakaonisaidia by any means.
df4add295c2030bd8e0978baafe3aa83.jpg
Huyo sio mke, cha maana hapo kama ulikuwa na mchepuko mkaribishe home utamsikilizia mziki wake akijua huyo mtoro wako, issue ndogo tu hiyo anasepa hajui maana ya mkr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom