Shemeji/Wifi yenu kaondoka!

Shemeji/Wifi yenu kaondoka!

MeruA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Posts
1,390
Reaction score
2,170
I hope mko salama ndugu zangu

Nisiwachoshe nanyooka mazima
Yapata wiki ya tatu sasa kila nikishika simu ya mke wangu nakuta charts zake na mtu anayedai ni ndugu yake.

Nimehoji mara kadhaa na amekuwa akisisitiza ni ndugu yake,leo asubuhi ameamka akaenda kufanya usafi nje huku nikibakia kitandani ukizingatia leo ni weekend.

Mara simu yake ikapigiwa ile napokea jamaa akakata huku mpigaji akiwa ni yuleyule anayedaiwa kuwa ndugu.

Alipokata nikazama kwenye text nikakuta chating kama kawaida tena wife anajaribu kumlalamikia jamaa mbn anamdanganya kila siku anamtumia hela na hatumi.

Nikamsubiri wife alipokuja nikamuuliza huyu unayemwomba hela kila siku ni nani?hakujibu na mm nikamuacha nikampa simu yake na nikamwambia nmechoka na hii tabia sasa kama hutaki kunielewa subiri vitendo.

Wife akajibu"siwezi kusubiri vitendo bora nisepe tu"na nikamwambia kumbe nia yako ni kusepa basi umechelewa.Ile namaliza kuongea hivyo akachukua begi akaweka nguo zake baadhi akabeba ameondoka ameniacha ndani namuangalia huku akitokomea.

Sasa wadau nichukue hatua gani za awali?Naombeni ushauri najua humu wengi tu ambao wamo kwenye ndoa na kuna wali na uzoefu wa muda mrefu hata kama haupo kwenye ndoa lkn pengine umekumbana na changamoto za mahusiano kwa namna moja au nyingine.

I hope nitapata ushauri utakaonisaidia by any means.
df4add295c2030bd8e0978baafe3aa83.jpg
 
aseee mkuu fanya mawasiliano na wazazi wake u comfirm kwamba amefika then upange siku ya kwenda huko kuzungumzia swala hilo

ila kwa upande mwengine mkeo atakua kaanza kuruka marede kanga kufunua take care

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
aseee mkuu fanya mawasiliano na wazazi wake u comfirm kwamba amefika then upange siku ya kwenda huko kuzungumzia swala hilo

ila kwa upande mwengine mkeo atakua kaanza kuruka marede kanga kufunua take care

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
Asante mkuu lkn kwa sasa atakuwa hajafika maana kutoka kanda ya ziwa to kasikazini huwa ni kama 10 hadi 11 hours na ameondoka by saa sita hv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere Alisema Matatizo Makuu Ma3 Kuwa Ni Umaskini, Ujinga Na Maladhi La 4 Ni HILI
 
Aafu mbona ameeondoka kirahisi namna hiyo, katika hilo picha lako huyo muhusika ameendoka kama demu na sio mke. Kuna uwezekano mkubwa we ndo umekosea somewhere..
Sijamkosea chochote ndg japo mikwaruzano kwenye ndoa jambo la kawaida lkn hatukuwa na ugomvi wowote mpk tunaamka leo asbh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom