Shemeji/Wifi yenu kaondoka!

Shemeji/Wifi yenu kaondoka!

Achana naye, wewe toa taarifa kwa wazazi wake kuwa kaondoka nyumbani, na kwa wazazi wako na kituo jirani cha polisi baada ya saa 24 kupita tangu aondoke.

Sukari Yenu
Sawa mkuu nmeshafanya hvyo mpk sasa na mpk sasa hajafika kwao ila taarifa nmeshazisambaza vitengo husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta chombo chengine weka ndani.toa kitu weka kitu.simpo
 
I hope mko salama ndugu zangu

Nisiwachoshe nanyooka mazima
Yapata wiki ya tatu sasa kila nikishika simu ya mke wangu nakuta charts zake na mtu anayedai ni ndugu yake.

Nimehoji mara kadhaa na amekuwa akisisitiza ni ndugu yake,leo asubuhi ameamka akaenda kufanya usafi nje huku nikibakia kitandani ukizingatia leo ni weekend.

Mara simu yake ikapigiwa ile napokea jamaa akakata huku mpigaji akiwa ni yuleyule anayedaiwa kuwa ndugu.

Alipokata nikazama kwenye text nikakuta chating kama kawaida tena wife anajaribu kumlalamikia jamaa mbn anamdanganya kila siku anamtumia hela na hatumi.

Nikamsubiri wife alipokuja nikamuuliza huyu unayemwomba hela kila siku ni nani?hakujibu na mm nikamuacha nikampa simu yake na nikamwambia nmechoka na hii tabia sasa kama hutaki kunielewa subiri vitendo.

Wife akajibu"siwezi kusubiri vitendo bora nisepe tu"na nikamwambia kumbe nia yako ni kusepa basi umechelewa.Ile namaliza kuongea hivyo akachukua begi akaweka nguo zake baadhi akabeba ameondoka ameniacha ndani namuangalia huku akitokomea.

Sasa wadau nichukue hatua gani za awali?Naombeni ushauri najua humu wengi tu ambao wamo kwenye ndoa na kuna wali na uzoefu wa muda mrefu hata kama haupo kwenye ndoa lkn pengine umekumbana na changamoto za mahusiano kwa namna moja au nyingine.

I hope nitapata ushauri utakaonisaidia by any means.
df4add295c2030bd8e0978baafe3aa83.jpg

Kama kweli. Toa taarifa polisi. Kwa ajili ya usalama wako binafsi. Mana dunia nayo haieleweki.
 
Mwanamke akiondoka kwa sababu za kijinga
1=usimpigie simu wala kumtumia SMS.
2=kubaliana Na maamzi yake
3=anza kumsahau.....I mean ji keep busy
4=weka Nguo zake alizoacha sehemu Moja ....itakusaidia siku akija kumkabiddhi
5=Badili style ya kulala Na usivae Nguo alizozizoea wakat uko Nae
MBINU HIZO [emoji115] [emoji115] [emoji115] ZITAMFANYA ATAMANI KUJA ILA
HATAWEZA
Mb.....kama humpendi Na hutaki aje.
Una akili nyingi sana mkuu big up!!
 
Nami iliwahi nitokea hiyo kisa mdogo wake aliyekuwa anakaa kwangu nikimsomesha aliondoka siku tatu akaenda kwa jamaa yake..ile anarudi nikamtimua..wife akamaindi akasema kama inamfukuza mdogo wangu nami naondoka..akasepa kweli..nilichofanya:-
1.sikumtafuta wala kupiga sim kwao..
2alipopiga sikupokea simu wala kujibu jumbe
3.wazaz walipouliza nikasema hakuna shida kama ipo muulizen yy maana yuko huko
4.waliponiita sikwenda
5wakatuma watu kuja kwangu siku ya jpili nikawambia leo ni siku ya mapumziko nayoitumia kusoma vitabu hivyo sitawwza kuwasikiliza..
7.sikutuma pesa yyte ta matumizi kwake.
8.nikapata safar ya kikaz nikaondoka bila kumjulisha nikabadilisha vitasa vya milango na kuwwka mlinzi
..alituma sma zaid ya 2000akiomba msamaha na kusema nimsamehe ni shetan alimpitia..na kuwa mdogo wake ana mimba ya huyo jamaa yake na shule hawez tena..
..sikujibu kitu..
Baada ya miezi miwili..nikiwa nimerudi na majiran kumwambia ..siku ya jmos asubuhi nikiwa nafuaara nasikia hodi ..kucheki amekuja yeye,baba yake,mama,kaka,dada,na jamaa wawili tuliooa nao nyumba ile..nikawakaribisha..nikaendelea kufua wakaa ndani..nikamaliza kufua..wakanieleza sababu za ujio wao..wife analia tu mda wote nikasema ..baada ya maelezo ya baba mkwe ..nikamuuliza wife..kinachokuliza ni kipi?..akaeleza weee...akapiga magoti akaomba radhi..nikamwambia mbele ya wazaz wake..usirudie..huwa sijaribiwi..nilikuoa kwa taratibu..huyu niliekuwa namaomesha na leo ana mimba nimsogo wako sio wangu..kama ulikuwa aunafurahia aliyokuwa anafanya jitafakari upya..nimekusamehe..
Tangu siku hiyo mpaka leo miaka 14 ya ndoa wife hajawahi kuleta nyenyenye....
Huyo wa kwako na hivi ana mshono tumboni..mwache aende...akili ikimkaa atarudi na sia ajabu yupo hapo hapo mwanza..
 
Shost aliondoka kwa mume kwa style hii lakini hakukuwa na issue ya cheating. Mume alivyokuwa jeuri hakupiga simu wala kuuliza yuko wapi. Baada ya siku tatu baba mkwe amepiga simu anamwambia baba mwenzako yuko huku akasema sawa.
Wanaume hatujaribiwi
 
Kwanza ni mmasai na wenzatu kidogo wana misimamo yao katika maswala haya ndy maana sijataka kuwapa taarifa mpk muda huu na nmejaribu kumpigia simu akanijibu NIACHE kisha akakata simu na akanitumia sms akidai anaondoka kwa kuwa nmesema nimechoka na tabia zake.Sikumjibu chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache aende mkuu kwanza magu kabana maisha magum
 
subiri kuombwa msamaha na akija msamehe maana anaendaa kwa jamaa ampendae then arudi kwa boya
 
Pole sana mkuu,mm sjaoa lkn naomba ukae kimya kwa mda huku ukifatilia kuhusu usalama wake,kupitia kwa rafk zake wa karibu ukishajua alipo unaweza piga hatua ya kimaamz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami iliwahi nitokea hiyo kisa mdogo wake aliyekuwa anakaa kwangu nikimsomesha aliondoka siku tatu akaenda kwa jamaa yake..ile anarudi nikamtimua..wife akamaindi akasema kama inamfukuza mdogo wangu nami naondoka..akasepa kweli..nilichofanya:-
1.sikumtafuta wala kupiga sim kwao..
2alipopiga sikupokea simu wala kujibu jumbe
3.wazaz walipouliza nikasema hakuna shida kama ipo muulizen yy maana yuko huko
4.waliponiita sikwenda
5wakatuma watu kuja kwangu siku ya jpili nikawambia leo ni siku ya mapumziko nayoitumia kusoma vitabu hivyo sitawwza kuwasikiliza..
7.sikutuma pesa yyte ta matumizi kwake.
8.nikapata safar ya kikaz nikaondoka bila kumjulisha nikabadilisha vitasa vya milango na kuwwka mlinzi
..alituma sma zaid ya 2000akiomba msamaha na kusema nimsamehe ni shetan alimpitia..na kuwa mdogo wake ana mimba ya huyo jamaa yake na shule hawez tena..
..sikujibu kitu..
Baada ya miezi miwili..nikiwa nimerudi na majiran kumwambia ..siku ya jmos asubuhi nikiwa nafuaara nasikia hodi ..kucheki amekuja yeye,baba yake,mama,kaka,dada,na jamaa wawili tuliooa nao nyumba ile..nikawakaribisha..nikaendelea kufua wakaa ndani..nikamaliza kufua..wakanieleza sababu za ujio wao..wife analia tu mda wote nikasema ..baada ya maelezo ya baba mkwe ..nikamuuliza wife..kinachokuliza ni kipi?..akaeleza weee...akapiga magoti akaomba radhi..nikamwambia mbele ya wazaz wake..usirudie..huwa sijaribiwi..nilikuoa kwa taratibu..huyu niliekuwa namaomesha na leo ana mimba nimsogo wako sio wangu..kama ulikuwa aunafurahia aliyokuwa anafanya jitafakari upya..nimekusamehe..
Tangu siku hiyo mpaka leo miaka 14 ya ndoa wife hajawahi kuleta nyenyenye....
Huyo wa kwako na hivi ana mshono tumboni..mwache aende...akili ikimkaa atarudi na sia ajabu yupo hapo hapo mwanza..

Ningependa sanaa kuwa na rafiki kama wewe aiseee maanaa umefanya kitu ambacho mwanamke hawezi kuja kujaribu kamwe maisha yake yote....na siku zote atakuwa anakuheshimu sanaaa hongera sanaaa mkuu
 
Back
Top Bottom