habari ni jema kabisa rafiki vp wewe??
Mume alienda shambani akamuacha mkewe na ndugu yake nyumbani,aliporudi hakuwakuta nyumbani, mara akackia sauti kutoka chumbani "SHEMEJI LAMBA HARAKA TUMALIZE NATAKA NIKAOGE, Mume kuckia vile aliufungua mlango kwa hasira akawakuta wanacheza KARATA.. mume hoii.....!