Simba mnyama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 348
- 129
Kweli ukiipenda CCM lazima uwe chizi! Mzee mtu mzima kulia bungeni ili uonekane una uchungu na chama ni uchizi! Mie sijapenda huo uchuro
ali act nilikuwa namcheki kama Bongo movie vile poor qualityWakati nikiangalia na kusikiliza Mjadala wa Bunge la katiba Yenu , Zamu ya Kadhi wa Mkoa wa Dar es salaam ya kuchangia aliangua kilio kisichozidi sekunde 3 bila kutoa Machozi akidai kusikitishwa na watu wanaomtukana Mwl.Nyerere, Jambo la kushangaza ni Mashekhe hawa hawa BAADHI kwenye mihadhara yao Umdhihaki Baba wa taifa kuwa ndiye aliyeleta mfumo kristo na kurudisha maendeleo yao Nyuma, Je hilo chozi Shekhe ni kwa sababu umewezeshwa au ? Tuache unafiki, kweli Jehanamu tutakwenda wengi. NAWASILISHA
Amelia, achukuliwe bongo movie anaweza kufaa Sana kule kuliko bungeni na msikitini.
Mkuu hawa viongozi wa dini uko jehanamu watakuwa kuni,wanafki sijapata kuona,wakirudi uraiani utawasikia wakitoa mahubiri "Ndugu zangu msiseme uwongo Mola anachukizwa na waongo",wakati wanaongoza kwa uwongo na unafki..Hivi ni tusi gani alitukanwa Nyerere? Ni tusi gani alitukanwa Sheikh Karume?
Inaumiza sana ukichaa wa Tundu Lissu
Katika jambo lisilokuwa la kawaida shekhe hamidi jongo aliangua kilio kwa kukerwa na watu wanaowatukana viongozi na waasisi wa taifa yaani mwl nyerere na karume
source tbc1
Shehe analia kusemwa vibaya Nyerere badala ya Kulia zile kauli za Lukuvi alizozitoa kanisani na kuwabagua Waislam kuwa Serikali 3 zikipita Zanzibar itakuwa na Serikali ya Kiislam, ni vema sasa kwa karne hii tukasoma vyote elimu Dunia na hiyo ya dini ili tuwe na upeo wa kuelewa mambo sio kama hawa wenzetu walioishia na elimu ya aina moja.
Amemuiga Pinda!
Anasema amekosa usingizi siku tatu kuwaza jinsi Waasisi walivyotukana.
Ameanza kulia na kutoa machozii!!
Anasema kumtukana Karume na Nyerere ni sawa na kumtukana baba ake mzazi.