PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,178
Kadhi wa mkoa wa dsm, Sheikh hamid jongo, mwakilishi wa kundi la dini katika bunge la katiba ametoa machozi ya uchungu ya kutukanwa waasisi wa taifa hili mwalim j.k nyerere na sheikh abeid karume. Ameeleza kusikitishwa kwake kwa tabia hiyo ya kutoa matusi na kejeli kwa wazee hao yaliyofanywa na baadhi ya wajumbe wa bunge hilo akisema kuwa mtu akishakufa huachwa bila kusemwa vibaya kwa sababu tayari anakutana/amekutana na mungu ambaye ndio hakimu wa kweli.
amelia na kudondosha chozi na kuwaomba wabunge watumie lugha za staha na kistaarabu
jamani tuache unafiki,mbona mzee joseph warioba,anatukanwa hawa semi?? au nyerere na karume,ndio watu?