Kadhi wa mkoa wa dsm, Sheikh hamid jongo, mwakilishi wa kundi la dini katika bunge la katiba ametoa machozi ya uchungu ya kutukanwa waasisi wa taifa hili mwalim j.k nyerere na sheikh abeid karume. Ameeleza kusikitishwa kwake kwa tabia hiyo ya kutoa matusi na kejeli kwa wazee hao yaliyofanywa na baadhi ya wajumbe wa bunge hilo akisema kuwa mtu akishakufa huachwa bila kusemwa vibaya kwa sababu tayari anakutana/amekutana na mungu ambaye ndio hakimu wa kweli.
amelia na kudondosha chozi na kuwaomba wabunge watumie lugha za staha na kistaarabu
Sheikh Ahmed amlilia nyerere kutukwanwa ila hatujapata kusikia kalia kwa kutukwanwa Mtume Muhammad (s.a.w)ivi huu ni uchamungu unafik ama posho ya laki tatu ivi Huyu ni kadhwi au kazi Wa kuvunja ndoa za watu tuweni makini Hawa yasije kutufika Yale ya wafuasi Wa Nabii Mussa walio Abudu ngombe namungu akwapa adhabu ya kuuwana wao kwa wao Leo kumezid nini na sikuzote tukiambiwa dini na siasa nitofauti na halihiyo ilifikia mashekh Wa Zanzibar kuwekwa ndani zaindi ya mwaka mmoja Leo sheikh anatetea serekali mbili jee?Leo dini imekua siasa maana tumewasikia viongozi Wa juu wakisema wanahofu ya Zanzibar kuunda dola ya kiislam abapo patakua na serekali tatu jee sheikh vip waislam pasipo dola ya kiislam weye kadhwi au kazi
Yaani kwa mwendo huu UKAWA mtakuwa na kazi ngumu kulazimisha agenda zenu.
Kama viongozi wa dini wanalia kwa uchungu namna hii vipi sisi mamilioni ya waumini?
Kadhi wa mkoa wa dsm, Sheikh hamid jongo, mwakilishi wa kundi la dini katika bunge la katiba ametoa machozi ya uchungu ya kutukanwa waasisi wa taifa hili mwalim j.k nyerere na sheikh abeid karume. Ameeleza kusikitishwa kwake kwa tabia hiyo ya kutoa matusi na kejeli kwa wazee hao yaliyofanywa na baadhi ya wajumbe wa bunge hilo akisema kuwa mtu akishakufa huachwa bila kusemwa vibaya kwa sababu tayari anakutana/amekutana na mungu ambaye ndio hakimu wa kweli.
amelia na kudondosha chozi na kuwaomba wabunge watumie lugha za staha na kistaarabu
viongozi wa dini waliopo ndani ya bunge la katiba wasaka tonge naombeni kuuliza muwakilishi wa wakatoliki ni nani mle ndani?
Amemuiga Pinda!
Anasema amekosa usingizi siku tatu kuwaza jinsi Waasisi walivyotukana.
Ameanza kulia na kutoa machozii!!
Anasema kumtukana Karume na Nyerere ni sawa na kumtukana baba ake mzazi.
Kadhi wa mkoa wa dsm, Sheikh hamid jongo, mwakilishi wa kundi la dini katika bunge la katiba ametoa machozi ya uchungu ya kutukanwa waasisi wa taifa hili mwalim j.k nyerere na sheikh abeid karume. Ameeleza kusikitishwa kwake kwa tabia hiyo ya kutoa matusi na kejeli kwa wazee hao yaliyofanywa na baadhi ya wajumbe wa bunge hilo akisema kuwa mtu akishakufa huachwa bila kusemwa vibaya kwa sababu tayari anakutana/amekutana na mungu ambaye ndio hakimu wa kweli.
amelia na kudondosha chozi na kuwaomba wabunge watumie lugha za staha na kistaarabu
Kweli njaa nouma. Hache njaa sheikh na unafki wake alishawahi kulia maskini wanavyokufa kwa kukosa chakulaKatika jambo lisilokuwa la kawaida shekhe hamidi jongo aliangua kilio kwa kukerwa na watu wanaowatukana viongozi na waasisi wa taifa yaani mwl nyerere na karume
source tbc1
Mimi mwenyewe nimesikitishwa sana na kitendo cha utovu wa nidhamu cha Tundu Lissu. Ni kitendo kiovu cha kulaaniwa kwa nguvu zote!!