Shekhe Jongo analia bungeni sasa!!

Shekhe Jongo analia bungeni sasa!!

Status
Not open for further replies.
Naomba nikuulize ww mleta maada ni nn maana ya siasa? Naomba nijibu hilo tu mkuu na unieleweshe nn maana ya siasa?

Siasa ni uongo unaokubalika mbele ya jamii we dot com.
 
Amemuiga Pinda!
Anasema amekosa usingizi siku tatu kuwaza jinsi Waasisi walivyotukana.

Ameanza kulia na kutoa machozii!!

Anasema kumtukana Karume na Nyerere ni sawa na kumtukana baba ake mzazi.

Mbona akitukanwa mtume halii
 
Huyo Ni Shehena jamani sio sheikh, asiwasumbue
 
Mkuu mbele ya mshiko hakuna msomi, wala kiongozi wa dini, ni walewale tu! Ni unafiki kwa kwenda mbele!
 
Yaani kwa mwendo huu UKAWA mtakuwa na kazi ngumu kulazimisha agenda zenu.
Kama viongozi wa dini wanalia kwa uchungu namna hii vipi sisi mamilioni ya waumini?
 
Asilete uchuroo hapa

Au analilia pilau??

Aje lamu tumpakue huku lipo jingi tuuh
 
Wakati nikiangalia na kusikiliza Mjadala wa Bunge la katiba Yenu , Zamu ya Kadhi wa Mkoa wa Dar es salaam ya kuchangia aliangua kilio kisichozidi sekunde 3 bila kutoa Machozi akidai kusikitishwa na watu wanaomtukana Mwl.Nyerere, Jambo la kushangaza ni Mashekhe hawa hawa BAADHI kwenye mihadhara yao Umdhihaki Baba wa taifa kuwa ndiye aliyeleta mfumo kristo na kurudisha maendeleo yao Nyuma, Je hilo chozi Shekhe ni kwa sababu umewezeshwa au ? Tuache unafiki, kweli Jehanamu tutakwenda wengi. NAWASILISHA
BAKWATA ni kigango cha kanisa katoliki alilolianzisha JKN...waumini wa kweli wa kiislam Tanzania huwezi kuwakuta hata siku moja wanawasikiliza hao masheikh ubwabwa! EAMWS ndiyo iliyokuwa jumuiya ya kweli ya Waislam Tanzania. Kwataarifa yako huyo Jongo alikuwa anajiliza baada ya kuona kuwa posho itapunguzwa kutokana na kufupishwa muda wa Bunge mara baada ya UKAWA kusepa!...
 
...dalili za mnafiq ni 3...Jongo anazo zote...hakuna haja ya kumjadili hapa...
 
Yaani kwa mwendo huu UKAWA mtakuwa na kazi ngumu kulazimisha agenda zenu.
Kama viongozi wa dini wanalia kwa uchungu namna hii vipi sisi mamilioni ya waumini?
mkuu hao viongozi hawawalii waasisi, bali wanalilia siku za kupata mshiko ziongezeke! Siku hizi hatuna viongozi wa dini wenye maadili, wengi ni wasanii tu! UKAWA wasonge mbele!
 
Kama mod wangeruhusu nimtukane huyu kibaraka ningejaza server za jf kwa kila aina ya tusi kuanzia yeye hadi vibaraka wenzie wanaolamba miguu ya mabwana zao. Itoshe tu kusema nimepuuza igizo lake la kimbulumundu kama ninavyompuuza yeye mwenyewe.
 
Njaa mbaya sana watu kama Sheikh Jongo wapo tayari hata kuuza utu na heshima yke.
 
tatizo anautaka umufti wa bakwata-ccm sio uongozi wa dini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom