Shekhe Jongo analia bungeni sasa!!

Shekhe Jongo analia bungeni sasa!!

Status
Not open for further replies.
Wakati mwingine akili za waislamu zina matatizo jana watu wameitwa mashetani huyo sheikh hakunyanyua domo leo analia nini ukimuuliza Nyerere katukanwa hajui.
 
Hata sikuelewa kilichomliza huyu Shekh....

Ila kwa sababu ya njaa na tabia ya Watanzania wengi ya kupenda ku-boot lick....siwezi kushangaa!

Inawezakana hesabu zake ziko mbali zaidi pale ukumbi wa Bunge!
 
Yaani huyu jamaa jiongo kama jina lake mm akisalisha ijumaa manyema hua sisali nyuma cuz ni mnafik mhuni na ni dhalim nilishatukanana nae mbele za waumini
 
Mwashangaa,nin?Bakwata,na,ccm,shilingi,moja,yenye,pande,mbil,huyo,shekh,hawakilishi,waislam,anawakilisha.)ccm,.
 
Ama kweli yaani comments nyingi za hii thread zinaonesha jinsi kizazi hiki kilivyo mbumbu. Kwa taarifa yenu mnaomkandia sheikh wote ni hamnazo kichwani. Uelewa wa JF member wengi ni -ve. Poleni sana!
 
mbona mzee joseph warioba,anatukanwa hawa semi?? au nyerere na karume,ndio watu?
wanasema ukifa ndio hutakiwi kutukanwa, ukiwa hai unayasikia matusi sio mbaya sana kwa sababu unaweza kujibiza matusi, marehemu hawezi
 
Mimi mwenyewe nimesikitishwa sana na kitendo cha utovu wa nidhamu cha Tundu Lissu. Ni kitendo kiovu cha kulaaniwa kwa nguvu zote!!

........kwani na wewe ni mjumbe wa bunge hili!!???
Sheikh asiyeyushe watu, alikuwa anaigiza tu pale kupata macho ya ccm. Kulia gani kule hata kwikwi haisikiki!!!?
Eti TL alaaniwe...., kwa lipi!!? Kwa kusema kile mnachojua ni kweli n hamtaki kisikike !!!
 
Kadhi wa mkoa wa dsm, Sheikh hamid jongo, mwakilishi wa kundi la dini katika bunge la katiba ametoa machozi ya uchungu ya kutukanwa waasisi wa taifa hili mwalim j.k nyerere na sheikh abeid karume. Ameeleza kusikitishwa kwake kwa tabia hiyo ya kutoa matusi na kejeli kwa wazee hao yaliyofanywa na baadhi ya wajumbe wa bunge hilo akisema kuwa mtu akishakufa huachwa bila kusemwa vibaya kwa sababu tayari anakutana/amekutana na mungu ambaye ndio hakimu wa kweli.

amelia na kudondosha chozi na kuwaomba wabunge watumie lugha za staha na kistaarabu



Mali za waislm ambazo zinaweza kumuingiza peponi zimeporwa ameshindwa kuzitolea machozi leo ana kuja kutolea machozi mambo ya kumuingiza motoni ana sikitisha!
Anatamani nayeye atukanwe
Laaana tullah
 
........kwani na wewe ni mjumbe wa bunge hili!!???
Sheikh asiyeyushe watu, alikuwa anaigiza tu pale kupata macho ya ccm. Kulia gani kule hata kwikwi haisikiki!!!?
Eti TL alaaniwe...., kwa lipi!!? Kwa kusema kile mnachojua ni kweli n hamtaki kisikike !!!

Shekhe gani yule laaana tullah mali ngapi za waislam zimeibiwa haja lia kwa akili ya kawaida tu huyu ni mchumia tumbo !
Inshaa allah ata muhukumu kwa kuuzamaili za waislam
Na unafiki anaotuonyesha kuwa yeye ameshiriki kuuza mali za waislama
 
Ama kweli yaani comments nyingi za hii thread zinaonesha jinsi kizazi hiki kilivyo mbumbu. Kwa taarifa yenu mnaomkandia sheikh wote ni hamnazo kichwani. Uelewa wa JF member wengi ni -ve. Poleni sana!


Mali za waislam ambazo alipaswa kuzi simamia zimeuzwa je alisha wahi kulia juu ya hilo ?
Kama hapana basi hukum ya Allah inamsubiri kwa kuuza viwanja vya waislam changombe na sehmu nyinginezo !
Laaaaana za Allah ndi zinazo muumbua!
Alafu kwa tarifa yako familia wewe ndio mbumbumbu na moja kwa mujibu wa kura za kwenye hii mada maana wengi ndio washindi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom