Hivi mnakamuaje hayo mavi?do u guys do some kind of surgical operation or what?Manake kuyafikia hayo mavi na kuyaondoa yote kwenye utumbo siyo kazi rahisi yakhe
ningependa uje jukwaa la dini-nawe upate ufahamu-Unanchekesha, sasa alie namna hiyo na huyo mungu baba yake asimsaidie? bado amuache tu anateseka? Kwa ajili ya nini? eti abebe dhambi zako? ama kweli punguani.
faiza foxy, alaaah kumbe, kwani kinachoenda kwenye judgement day ni mwili, mavi au roho???
1) Ivi mavi pekee ndio uchafu?
Hapana.
2) Wanakua na uhakika gani mavi yote yameisha?
Hawana.
3)Yale mavi yanafanyiwa nini?
Yanaliwa kama tulivyoamrishwa kwenye biblia:
Ezekiel 4:12
And thou shalt eat it as barley cakes, and thou shalt bake it with dung that cometh out of man, in their sight.
Isaiah 36:12
Hath my master sent me to thy master and to thee to speak these words? hath he not sent me to the men that sit upon the wall, that they may eat their own dung, and drink their own piss with you?
4) Akiwa na govi anatairiwa na kuondoa utoko wote?
Bahati nzuri waislaam hukatwa govi wakiwa watoto, sijui nyie mnaobaki na magovi mpaka kufa, huwa mnatolewa utoko wote wakati wa kuzikwa?
5) Akiwa na ukurutu, nywele chafu nk nazo hukwanguliwa?
Hapana. Sijui nyinyi wenzetu maana naona huwa mnapakwa make up, sasa sijui ukurutu na m.a.v.u.z.i hutolewa vile vile?
6) Vp kuhusu wanawake? nani huwaosha? kuhusu hedhi? inatolewa yote?
Wanawake huoshwa na wanawake wenzao. Husafishwa kila kitu, na akiendelea kutokwa hedhi huyo hajafa, bado anadai.
7) Makamasi, je nao sio uchafu?
Ndio uchafu. Ukiwa hai au maiti ni uchafu, au wewe mwenzetu unayala?
8) Kama mtu alikua mshirikina na anamachale mwili mzima,,usafi wa kumtoa mavi unasaidia nini?
Sisi hupeleka maiti zetu zikiwa safiii. Ushirikina wake, ni yeye na mungu wake, akisha kufa sisi hatumuhukumu. Jee nyie mnaoshirikisha 3 in 1, inakuwaje?
9) Ivi mavi mbele ya Mungu ni machukizo?
Biblia inatufundisha unaweza kuyala (soma juu hapo), ustaarabu unatufundisha kuwa hata tukinya tunawe (sijui kwa nini). Sasa amuwa wewe, ustaarabu au biblia kuhusu mavi?
10)Wale wanaokufa na kuungua moto na mavi yao huenda mbinguni/Peponi?
Ikiwa wao wameungua moto, jee hayo mavi yao yatabaki?
Ukitaka mfano hai tutakuonesha, jee uko tayari?
Haswa ulijuwaje wewe? Ni hodari kwelikweli! Ulitaka akazikwe na m.a.v.i tumboni kama nyinyi (suti kubwa kwa maiti huku mavi yanachafuwa mazingira)! Si uliona nanihii pale uwanja wa taifa man nzi yalivyo mzunguka? Au umesahau? Maiti ya kiislaam hupelekwa kuzikwa sharti inanukia ma-al'udi na manukato ya misk na ambar. Huko aendako atajuana yeye na muumba wake, sisi twampeleka msaaafi, ananukia.
hana umaarufu wa kumfanya atupwe baharini
Bibiye jaribu kujibu maswali kistaarab kama yanavyoulizwa,usijifanye unajua saana lugha za mtaani na matusi,manake yatakushinda hayo.Nauliza;Hivi mnatumia utaalam gani kuyakamua hayo mavi ili mengine yasibaki na maiti awe msafi kama unavyodai?
Mans are very creative. waoooooooooooooooohhhh hh hh hhh hh h h h h h h h ?Shogaangu kakajambazi, si uliahidi utaendelea, mbona umeingia mitini?
Wewe mkuu mbopo unaonekana una ushabiki wa kitoto sna na you pretend to be analytical.kweli mtu aliyekuwa anataka kuchangia kudumaza demokrasia kwa kutishia watu wasigombee urais nakupata support ya ikulu unamuona shujaa wako? This is pathetic! Waliokuwa wanatishwa hapa ni wagombea wote wa nafasi ya urais na Dr.Slaa included.That is your own naive assessment of events. Kama unadhani opposition ni CDM pekee, huo ni ubutu wa mawazo ambao wengi wenu mnao. Kwa hiyo jinsi mlivyo superstitious, mkaamini maneno ya kinajimu?
Njia rahisi ni tukuoneshe live shogaangu. Nambie tuu, kama wee ni mwanamme ntakuletea mwanamme kwenzio akuoneshe na kama wewe ni mwanammke natkuja mie mwenyewe nikuoneshe. Kuna zaidi ya ustaarabu kama huo. Wauliza twataka tukuoneshe mfano hai, unanini wewe?
dah! barabara ya morogoro ili fungwa kwa saa zima leo majira ya saa nane hadi saa tisa ili kuruhusu waandamanaji walio kuwa wameubeba mwili wa Sheikh Yahya kupita ukitokea msikitini kuelekea makaburini maeneo ya karibu na hospital ya Muhimbili.
Hakika safari yake imefana sana hasa kutokana na wasindikizaji wengi walio msindikiza kwenye safari yake ya mwisho, wengi wa wasindikizaji walikuwa wamevaa vibarakashia, sijui ndio kusema hawa watu ndio walikuwa wafuasi wake au kutokana na imani yake?
R.I.P Sheikh Yahya