Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

alikua mwanajeshi au?

Hakuwa mwanajeshi ila marehemu ni ndugu ya Amiri jeshi wetu na anahaki ya kuhifadhiwa hapo Lugalo (Not Joke), Lakini pia tuendelee kujiuliza hivi kwanini hakuwahishwa Muhimbili na badala yake wakampeleka kwenye ka-Dispensary kadogo ambako nafikiri hata madaktari wake (Para medics) sio wazuri kwa emergency conditions? au walijaribu kukwepa foleni ya hapa bonde la Msimbazi? Why not Magomeni Hospital ambayo ipo karibu na nyumbani kwake? wengine wanasema atazikwa kesho... je uislam unasemaje kuhusu mazishi kwani tuliona wa Marekani wakimzika Osama Bin Laden haraka bila kusubiri nduguze kwani walikuwa wanafuata sheria za dini ya kiislam (sijui kama kweli makafiri waliandaa mashehe wakumswalia ndani ya meli na ndani ya kaburi baharini)

RIP Shehe wetu na poleni wafiwa wooote mlioguswa
 
kwani alikua anaumwa? Vp aliwah kujitabiria? Au ndo kimya kimya?

Tanzania tumepata uhuru toka nguvu za giza leo!
Naamini waliomtegemea wakaacha kumtumainia Mungu ni wakati wao mzuri wa kucheki ramani upya!
Hakika kama binadamu inatia uchungu kufiwa ila kwa mustakabali wa Taifa tumetua mzigo wa kuongozwa na nguvu za giza! Namwomba Mungu viongozi wetu walioshiriki ushirikina naye waanze kudondoka mmoja mmoja tubaki na wacha Mungu tu،
Masharobaro na Washirikina mtanichukia na kunipinga maana huwa hamtaki habari za Mungu, mnapenda ushirikina zaidi ndiyo maana nchi inalaaniwa.
Subiri uone!
 
Mpaka 2011 iishe tutaona mengi sana, sio tu Tanzania...bali dunia nzima. Unexpected huge changes everywhere, lets keep watching...I guess God himself is currently taking care of some sensitive issues worldwide. RIP Sheikh Yahya Hussein, inaeleweka wazi kwamba huu ni msiba mkubwa kwa JK na wengine wengi wanaotegemea ndumba wakati mwingi kuendesha shughuli zao. Hata hivyo mafundi bado wapo wengi Tanzania, nadhani kilichotokea tu ni kwamba Sheikh Yahya alikubalika zaidi kwasababu alikubaliana zaidi na mafisadi waliopo katika nchi hii...!
 
pOLENI WAFIWA!
Sheikh Hussein alikuwa mganga-Njaa tu kama walivyo wasanii wengine!
Tusimlaumu jamani, angekulka wapi?
 
:A S 103::dance::dance::dance::dance::dance::dance::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::dance::dance::dance:

This is my Best weekend ever!

kwa Wa-Tz wote alichelewa sana
 
RIP Shehe, Pole sana JK kwa kuondokewa na mhimili wako(Mtabiri wako)naamini taarifa umeshazipata maliza kikao uje umzike swahiba wako
 
Hii itakuwa ni mipango ya kisiasa..lazima uchunguzi ufanyike mapema iwezekanavyo.
 
Imeandikwa ole wao wamtegemeao mwanadamu!!! Waliomfanya Shekhe kama kinga yao imekula kwao!!

otherwise!! Nawapa pole wafiwa na wasomanyota wanafunzi wote kwa ujumla.
 
RIP Sheikh Yahya Hussein.....poleni sana wafiwa. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu!
 
Maskini! Kweli mganga hajigangi. Katika uhai wake, Sheikh Yahya Hussein, aliwaombea kifo washindani wa kisiasa dhidi ya utawala aliouunga mkono. Na, katika huduma zake kwa serikali hiyo kama mtoa habari (informer) alisaliti wanaharakati ambao baadhi yao hadi leo hii haijulikani walipo. Kifo chake hakitatanzua hili la mwisho, hakika. Lakini inatosha kusema kwamba kwa sasa ukurasa wa Sheikh Hussein umefungwa. Ni salama kuhisi kwamba wateja wake katika ngazi za juu za kisiasa watatazama kwingineko; au, hata kufikiria kuacha kabisa kuzitegemea nguvu za giza. Kama hili lingelifanyika, ungelikuwa ujenzi wa maadili mapya katika uongozi wetu. Siyo jambo baya. Vinginevyo, nimatumaini yangu kwamba roho yake itapumzishwa inapostahili.
He died this morning at his magomeni home, acording to one of his sons. More to come
 
dunian 2napita mbinguni ndio makazi 2po nyuma yako.RIP.

Wewe ndiye uko nyuma yake! Mimi hapana! Siwezi kumfuata mchawi nyuma maana wachawi na washirikina sehemu yao ni kwenye ziwa liwakalo moto! Jehanam, je na wewe waenda jehanam?
 
Tanzania tumepata uhuru toka nguvu za giza leo!
Naamini waliomtegemea wakaacha kumtumainia Mungu ni wakati wao mzuri wa kucheki ramani upya!
Hakika kama binadamu inatia uchungu kufiwa ila kwa mustakabali wa Taifa tumetua mzigo wa kuongozwa na nguvu za giza! Namwomba Mungu viongozi wetu walioshiriki ushirikina naye waanze kudondoka mmoja mmoja tubaki na wacha Mungu tu،
Masharobaro na Washirikina mtanichukia na kunipinga maana huwa hamtaki habari za Mungu, mnapenda ushirikina zaidi ndiyo maana nchi inalaaniwa.
Subiri uone!

Nawapa pole wote walioguswa na masiba huu. Mzee huyu tulimfahamu toka siku nyingi hata hivyo muda wake wakuishi hapa duniani umefika tamat. Nawapa pole wale waliokuwa wanamtegemea kwa mambo yao ya nyota, nawapa pole wale viongozi ambao mara kadhaa shehe Yahaya aliwahakikishia kuwa atawalinda, nawapa pole wale ambao walikuwa hawawezi kufanya kitu chochote cha kibiashara au mapenzi au uongozi n.k mpaka wamuulize ushauri juu ya nini wavae, lini waende na kipi wale kwa maana ya nyota zao. Nawapa pole wale aliokuwa anawafundisha elimu ya unajimu na mambo yahusuyo elimu ya uganga n.k. nawapa pole wale wanafunzi wake ambao alikuwa anawafundisha mambo ya dini, ni imani yangu kuwa wamemkosa mwalimu mahiri na mjuzi wa ilimu ya dini. Yote ni yote nawapa pole sana wafiwa wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom