Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,957
Ni Laana hiyo inawatafunaKwahiyo wewe ulidhani mwenge ni kwa ajiri ya kutolea giza!!!
Ni Laana hiyo inawatafunaKwahiyo wewe ulidhani mwenge ni kwa ajiri ya kutolea giza!!!
Mbona machafuko yalifanywa na vyombo vya dola , pamoja na kupigwa watu na kuripuliwa mabomu, ushahidi tunao na tumepeleka ICC , siku itafika ya Raha sanaKwani wewe baada ya kukamatwa wao mbona machafuko hakuna tena??? Hatia wanayo na hawawezi kuachiwa maana itakuwa Balaa zaidiii... Yani wale mashekheee watafiaa Jelaaaa...!
Ha...ha...ha...unaitathmini vipi amani ya Zanzibar baada ya hao wanaitwa Mashehe kuwekwa kizuizini, tena na Mwislam mwezao.Unaufagilia Uvamizi, Laana ya uvamizi inawatafuna, mnabangua korosho na kuozea maghalani, Laanatullahi
Hivi wewe unaona kuna amani Tz?Ha...ha...ha...unaitathmini vipi amani ya Zanzibar baada ya hao wanaitwa Mashehe kuwekwa kizuizini, tena na Mwislam mwezao.
Kwani Wanzanzibari wote mnapenda hizo vurugu za umwagaji damu zilizokuwa zikihanikizwa na hao Mashehe ?Jengeni Gereza maalum kwa ajili ya Wazanzibar wote lkn tutaendelea kuusema huu UKOLONI WA MTU MWEUSI na tutahakikisha tunajikwamua hamna hata aibu vichwa maji
WIVU TUU!!!
Amani IPO ndugu.Hivi wewe unaona kuna amani Tz?
Kupigwa risasi tundu lisu , kupotea watu na kuwekwa watu magerezani bure Kwa kisingizio cha Ugaidi unaona ni Amani?? Kweli laana inawatafunaaaa
Jielimishe kwanza kabla ya kuongea au angalau google uone wanashitakiwa na nini ,kifupi badala serikali kuja na majibu inachonganisha na wakristo lakini ukweli haufichikiWale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya
Kuchoma makanisa
Kuua mapadre
Kumwagia watalii acid
Soma historia zanzibar ipo miaka zaidi ya mia 5Kwani Wanzanzibari wote mnapenda hizo vurugu za umwagaji damu zilizokuwa zikihanikizwa na hao Mashehe ?
Kama wa kulaumiwa alaumiwe Raisi Karume aliye mfuata Raisi Nyerere kutaka Muungano na Nchi ya Tanganyika, ili kuilinda Zanzibar dhidi ya Uvamizi wa Sultani.
Na wakasaini mkataba wa kudumu ambao haukuwa na kipengele cha kuuvunja huo Muungano.
Tena Karume alitaka Sekalikari moja na Raisi mmoja.
Kumbuka ndugu kuwa.
Hata hiyo Zanzibar huko awali haikuwa nchi.
Hadi miaka ya 1884 hivi ambapo Wazungu wa Ulaya walikutana Beirin Ujerumani ndio wakaweka mipaka ya ya kuzigawa nchi pamoja na Zanzibar.
Na mkataba wa Beirin unaheshimika kama mkataba wa Karume na Nyerere.
Kama ni hivyo basi inatupasa tuiheshimu hiyo mikataba na kama inatukera tuijadili kwa njia ya amani.
Sio kwa njia waliyo itumia hao Magaidi kwa mgongo wa uamsho.
Kama kuna ushahidi ni miaka 7 si wautoeWale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya
Kuchoma makanisa
Kuua mapadre
Kumwagia watalii acid
Hao wakenya na wasomali wamekuja kwa utaratibu gani na kuishi hapa tz wewe???
Mliwasilisha taarifa sawa wote, je ni watanzania hao.
Baba yangu hayuko kunyea debe mkuu..Baba yako si mmoja wao??
Wacha kujipakazia , Hawa wanajeshi na Tiss mliowaleta Zanzibar kuvamia ni wengi kuliko wazanzibari wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia shehee...!!Tatizo lenu makaririshwa kama kasuku jinsi mlivyokua vichwa tupu toa mfano wa machafuko walofanya
B kama unajua wamefanya machafuko kwa nini HUPELEKI USHAHIDI MAHAKAMANI WAKANYONGWA??
Unabaki kupayuka JF tuu???
Tokea mlipoanza kutembeza mwenge mchana huku mkiimba eti umulike mchana
😛😛
Wewe una hati ya Nchi ya Zanzibar ?Soma historia zanzibar ipo miaka zaidi ya mia 5
Amani IPO ndugu.
Wewe Mbona hubugudhiwi kabisa ?
Kama vitendo vya watu kupigwa risasi na kuuliwa hiyo IPO toka enzi za mtume Muhammadi.
Watu walichinjwa na majambia na kuuliwa tena bila hatia.
Na Mara nyingi Huyo mtume alishiriki kuchinja watu na kuwaua kwa mkono wake mwenyewa na kuwatwaa wake zao.
Wewe unayeishi bila kubugudhi wengine mbona hujapigwa risasi ?
Unatanua tu mtaani
Baba yangu hayuko kunyea debe mkuu..
Magaidi waendelee kunyea debe tu..
Kwani Wanzanzibari wote mnapenda hizo vurugu za umwagaji damu zilizokuwa zikihanikizwa na hao Mashehe ?
Kama wa kulaumiwa alaumiwe Raisi Karume aliye mfuata Raisi Nyerere kutaka Muungano na Nchi ya Tanganyika, ili kuilinda Zanzibar dhidi ya Uvamizi wa Sultani.
Na wakasaini mkataba wa kudumu ambao haukuwa na kipengele cha kuuvunja huo Muungano.
Tena Karume alitaka Sekalikari moja na Raisi mmoja.
Kumbuka ndugu kuwa.
Hata hiyo Zanzibar huko awali haikuwa nchi.
Hadi miaka ya 1884 hivi ambapo Wazungu wa Ulaya walikutana Beirin Ujerumani ndio wakaweka mipaka ya ya kuzigawa nchi pamoja na Zanzibar.
Na mkataba wa Beirin unaheshimika kama mkataba wa Karume na Nyerere.
Kama ni hivyo basi inatupasa tuiheshimu hiyo mikataba na kama inatukera tuijadili kwa njia ya amani.
Sio kwa njia waliyo itumia hao Magaidi kwa mgongo wa uamsho.
Kwani kanisa lako limepatiwa na mtumishi wao Laanatullahi Nyerere??Wewe una hati ya Nchi ya Zanzibar ?
Tuanzie hapo.