dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,171
- 3,087
Tatizo lenu makaririshwa kama kasuku jinsi mlivyokua vichwa tupu toa mfano wa machafuko walofanyaKwani wewe baada ya kukamatwa wao mbona machafuko hakuna tena??? Hatia wanayo na hawawezi kuachiwa maana itakuwa Balaa zaidiii... Yani wale mashekheee watafiaa Jelaaaa...!
B kama unajua wamefanya machafuko kwa nini HUPELEKI USHAHIDI MAHAKAMANI WAKANYONGWA??
Unabaki kupayuka JF tuu???