Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

Unamdharauje YESU wakati hata mtume wako anamsubiri ili aje kujua hatma yake!

Hujui duniani hakuna kaburi la YESU ila la mtume lipo kule Saudia.

Heshimu dini za watu..hakuna hata binadamu mmoja awe mkristo mwislamu wala mpagani mwenye tiketi ya kwenda mbinguni kwa sababu ya dini yake tu!

Matendo ndg ndiyo njia pekee ya kukufikisha peponi..
kama hiyo ndio imani yako kwamba matendo yako ndio yatakufikisha mbinguni sasa yesu wa nini kwako?
 
Kodi za watanzania zinapotea bila sababu nguvu nyingi kwa swala la Ponda!!!
 
Lete hoja acha matusi...shetani anatawala maisha yako?
wewe imani yako siinasema kwamba yesu alichukua dhabi zetu pale msalabani sasa shetani anatoka wapi tena acha kujichanganya ina maana baada ya yesu kuchukua dhambi zetu mungu alimtuma tena shetani?
 
Duh! halafu ndio mwasema amerudishwa Dar?
 
hakuna kesi hapo, uchochezi upi? alafu mkumbuke waislam kusema yesu sio mungu ni haki yao ni kwa mujibu wa qur-an.

Je, dini nyingine nao wakipaza sauti kwamba Muhammad sio mtume na kueleza kwa ufasaha "sifa zote" na "matendo yote" ya Muhammad nao itakuwa ni haki yao? Ndugu yangu hizi imani ni kuvumiliana tu na kuenenda kwa busara na hekima ambavyo inaonekana Ponda amevikosa.
 
hili la pili eti kasema YESU SIO MUNGU. MAHAKAMA SI ISHASEMA KWAMBA KWA WAISLAM KUSEMA YESU SIO MUNGU SI KOSA KABISA KWA MUJIBU WA QURAN.

Tutafute forum sahihi ya kujadili haya. Huku tuacheni tuangalie siasa
 
Likiwemo la uchochezi alilolitoa Kwenye Mkutano wa Hadhara Tarehe 10 mwezi huu Ambapo Inadaiwa alisema kwamba ''Ndugu waislamu Msikubali uundwaji wa kamati za ulinzi na usalama za Misikiti kwani kamati hizo zimeundwa na Bakwata ambao ni vibaraka wa Serikali ''
Kama huu ni uchochezi basi ni wengi watakaofungwa safari hii! majela yatajaa.
 
Hamna kesi hapo wanapoteza muda na pesa za umma
 
Unamdharauje YESU wakati hata mtume wako anamsubiri ili aje kujua hatma yake!

Hujui duniani hakuna kaburi la YESU ila la mtume lipo kule Saudia.

Heshimu dini za watu..hakuna hata binadamu mmoja awe mkristo mwislamu wala mpagani mwenye tiketi ya kwenda mbinguni kwa sababu ya dini yake tu!

Matendo ndg ndiyo njia pekee ya kukufikisha peponi..

Tuongoze katika njia iliyonyooka(Uislam). Njia ya wale walioneemeshwa(manabii na mitume). Na sio njia ya wale walioghabikiwa(kwa kuuwa mitume)(....................). wala ya wale waliopotea( 1 + 1+1 =1) (............................)
 
Je, dini nyingine nao wakipaza sauti kwamba Muhammad sio mtume na kueleza kwa ufasaha "sifa zote" na "matendo yote" ya Muhammad nao itakuwa ni haki yao? Ndugu yangu hizi imani ni kuvumiliana tu na kuenenda kwa busara na hekima ambavyo inaonekana Ponda amevikosa.
Maneno ya busara sana haya!
 
Sheikh Ponda
akiondoka
Mahakamani Mpaka
Feb 28 2013

mkuu nngu007 naomba ufanyemarekebisho kidogo hapo kwenye tarehe ya kurudishwa mahakamani sheikh Ponda,najua utakuwa umeteleza kidogo lakini ahsante kwa taarifa...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom