Njoo basi ujifunze aliyoyafundisha Issa Bin Mariam, Uislaam ni katika mafundisho ya Mtume Issa. Hebu jaribu kufunguwa Qur'an uone kuanzia alivyozaliwa, alivyofanya miujiza, mama yake, Nnakuhakikishia katika Qur'an utayakuta mengi ya mema ya Yesu na mama yake Bi Mariam Tazama:
I'sa (Yesu) a.s., alitabiri atakuja Ah'mad s.a.w.,
61:6;
anaomba Meza ya vyakula,
5:114;
hakufunza ibada potovu,
5:116-118;
hakusulubiwa,
4:157; kapewa Injili,
5:46;
kunyanyuliwa,
3:55-58;
4:157-159;
kuwa ni Ishara,
23:50;
43:61;
kuzaliwa kwake,
3:45-47;
19:22-33;
mfano wa Adam,
3:59;
Mtume kwa Waisraili,
3:49-51;
Nabii mwema,
6:85;
si Mungu;
5:17,
5:75;
si mwana wa Mungu,
9:30;
si zaidi kuliko Mtume,
4:171;
5:75;
43:59;
63:64;
Ujumbe na miujiza,
5:110;
19:30-33;
ujumbe wake una mipaka yake,
13:38;
wafwasi wake wana huruma na rehema,
57:27;
wanafunzi,
3:52-53;
5:111-115;
wanafunzi wake kuwa ni Wasaidizi wa Mwenyezi Mungu,
61:14;
wanafunzi wake wanajitangaza kuwa ni Waislamu,
5:111;
Mariamu, (mama wa Nabii Isa a.s.), kalinda uke wake,
21:91;
66:12;
kamleta mtoto kwa watu wake,
19:27-33;
katika kujifungua kwa uzazi,
19:23-26;
kuzaliwa kwake,
3:35-37;
Malaika kumwambia atamzaa Nabii Isa a.s.,
3:42-51;
4:156;
19:16-21;