Sheikh Ponda amezitoa wapi hizi takwimu?

Sheikh Ponda amezitoa wapi hizi takwimu?

Mimi sioni tatizo kujua idadi ya dini na waumini wake hapa nchini mbona nchi zingine takwimu kama hizi zipo wazi kuna nini Tanzania?

Nenda ukaishi kwenye hizo Nchi zinazowahesabu watu wake kwa DINI zao. Tuondelee ujinga wa kila mara kutaka kuiga mambo yanayofanywa na Nchi zingine. Mbona Nchini Syria Majeshi ya Serikali yanawatwanga Wananchi wake. Je na sisi tuige hilo? Nchi za Magharibi zinaruhusu ndoa za jinsia moja, je na sisi turuhusu hilo? Acha kuangalia wengine wanafanyaje kwao angalia wewe unataka kufanya nini.
 
wanataka idadi yao ili takwimu hizo hizo wazitumie kuwauwa wakristo. kwasababu sensa si itaonesha wakristo ni akina nani? mt ni mtz ya nini kujua dini yake inasaidiaje maendeleo ya nchi? hebu mashehe mtuambie mna malengo gani ya kujua waislamu wako wangapi?
 
Mfano wako wa Israel na Palestina sio sahihi, Israeli wangeachwa peke yao wangeshatandikwa siku nyingi na Wapiganaji wa Kipalestina, ila kwa vile Israel inasimamishwa na mataifa ya Magharibi, USA, UK nk

mkuu israel ni taifa teule la Mungu na hakuna awaye yeyote wa kulishinda taifa hili kwani Mungu alisema taifa lelote litakarolibariki taifa la israel basi nalo litabarikiwa na taifa lolote litakaloilaani israel basi nalo litalaaniwa ndio maana wenzetu wa mataifa ya magharibi walishalitambua hilo mapema ndio maana wamebarikiwa, ila sasa mmebakia nyie wenzangu na mie mnaoiponda israel na kuishabikia oman, iraq, afghanstan, somalia ndio maana laana na matatizo yamewajaa na sasa mnabakia kulumbana ninyi kwa ninyi.
 
Ni darasa gani huyu Sheikh Ponda? Ni kiazi wa kupindukia, siwaelewi hao wanaomsikiliza.
 
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu imepanga kwenda mahakamani kuzuia zoezi la sensa na kupinga kauli iliyotolewa na Sheikh Mkuu wa Baraza la Waislamu (Bakwata), Mufti Issa Shaban Simba, kwamba Waislamu wamekubali kuhesabiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa jumuiya hizo, Sheikh Ponda Issa Ponda, alisema kauli ya Mufti Simba, inaashiria kwamba Bakwata limekiuka makubaliano yaliyofikiwa mjini Dodoma na jumuiya zote za waumini wa dini hiyo.

Alisema kauli hiyo haitakuwa na athari kubwa kwa msimamo wa Waislamu wengi ambao hawatashiriki zoezi la sensa.

"Waislamu tumepanga tarehe hiyo ya sensa kufanya maandamano ya amani nchi nzima kwani sensa inayokusudiwa haitakuwa na matokeo sahihi kwakuwa asilimia 80 ya Waislamu ambao ni zaidi ya nusu ya Watanzania hawatahesabiwa," alisema Shekh Ponda.

Hivi karibuni Mufti Simba, alitoa msimamo wa Bakwata, akiwataka Waislamu wote nchini kushiriki Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 26, mwaka huu.

Chanzo: Nipashe

Huyu Sheikh amezipata wapi hizo takwimu kwamba 80% ya Waislamu TZ ni zaidi ya nusu ya Watanzania wote? Halafu baada ya Sensa ya dini ikajulikana waumini wa dini fulani ndio majority italisaidiaje Taifa? Ninaamini kuwa wapo waislamu wengi Tanzania wasioyumbishwa na kauli na misimamo ya viongozi wao, lakini viongozi wa aina hii wana mchango gani kwenye ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla?

Masheikh uchwara hawa, hawana hata upeo wa kufikiri. Waislam msikubali kuyumbishwa na viongozi wenye mitazamo isiyokuwa ya kujenga bali ni kutafuta supiriority tu.
 
kazitoa kwenye kijiwe cha kahawa.....

Kusikiliza watu wa namna ya Ponda ni upuuzi na ukimsikiliza na kumkubali asemacho utakuwa kama yeye, ndiyo maana wanaomsikiliza na kumkubali wamefanana naye, hata wakiwa 1000 watasema wako 100,000,000/= kwa takwimu za kwao
 
Izo Zama za Kutangaza Dini kwa kutumia Energy (nguvu) zishapitwa na wakati..hasitake kuwafanya waislam wote wajinga..Kama kweli Mshika Dini kwa asiendelee Mawaidha yenye kujenga Dini..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Utasemaje kuhusu kupitwa na wakati? Kwani huu ni Mwaka wa ngapi kwa mujibu wa kalenda ya kiislam?.
 
HAYA NI MAKADILIO YA KIMATAIFA KWA WATU WALIOSOMA RESEARCH WATANIELEWA. Si lazima Kumfuata Mtu na Kumuuliza..

WE TAKE SAMPLE

Sensa ya 1967

Takwimu ya dini nchini Tanzania kwa sasa haipatikani kwa sababu maswali kuhusu dini yaliondolewa na serikali katika sensa baada ya
mwaka 1967. Sensa ile ya tarehe 27 Agosti ilihesabu wafuasi wa dini za jadi kuwa 34.3%, Wakristo 33.5% na Waislamu 31.4%, mbali na wengineo 0.8%.[1]

BAADA YA HAPO

"World Christian Encyclopedia" (toleo la pili, Oxford 2001) imekadiria kwa mwaka 2000 Wakristo kuwa 50.4 % (Wakatoliki 24.7%, Waprotestanti mbalimbali 16.5%, Waanglikana 7.9%, wasio na madhehebu maalumu 3.5%, madhehebu huru 1.9%, madhehebu yasiyokubali imani ya msingi ya Wakristo wengine wote 0.1%, wenye kufuata madhehebu mawili kwa wakati mmoja 4.2%),
Waislamu 31.8%, wafuasi wa dini za jadi 16.1% na wengineo 1.8%.

Pia imetabiria kwa mwaka 2025 uwiano kuwa 56.1, 32.8, 8.9 na 2.1%, na kwamba kufikia mwaka 2050 Wakristo na Waislamu watakuwa karibu 65 na 35% kati ya wakazi wa nchi.

Taarifa ya "International Religious Freedom Report 2009" kutoka Marekani Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor
kwa mwaka 2009 unaotaja 62% ya Watanzania kuwa Wakristo, 35% Waislamu na 3% wafuasi wa dini nyingine.[4]
 
Mfano wako wa Israel na Palestina sio sahihi, Israeli wangeachwa peke yao wangeshatandikwa siku nyingi na Wapiganaji wa Kipalestina, ila kwa vile Israel inasimamishwa na mataifa ya Magharibi, USA, UK nk

are u sure kwamba israeli inasapotiwa na west country je?palestina haina marafki fuatlia ujue who are jews,ukjua ndo utoe comment.:A S-baby:
 
Hivi idadi kubwa ya waumini wa dini bila kuwa na uwezo kiakili inasaidia nini katika Dunia hii? Hivi idadi kubwa ya wapalestina imesaidiaje kuwaondoa katika makucha kandamizi na utwala wa waisraeli? Hivi bado hatuwaoni wamasai na wasukuma mtu mmoja avyoswaga kundi la makumi ya ng'ombe?
Ndugu zangu tuache ujinga wakujitambulisha na kutengana kwa kufuata dini za wakandamizaji na wanyanyasaji. Kila siku najiuliza itakuaje babu zetu wale walio hasiwa kwenye bandari za bara Arab wakiamka na kuwakuta wakina sheikh Ponda na misimamo Yao ya KUWATENGA ndugu zao waafrika weusi na kuwakumbatia waarabu na dini yao?

Kwenye red, ni dini gani mkuu? waarabu wako wakristo wengi tu, waislamu wengi tu, freemasons wengi tu, hapa ulikusudia dini ipi?
 
Vatican siyo nchi bali ni city ndani ya nchi ya Italy. Vatican ndo makao makuu ta Kanisa Katoliki. Haihitaji akili kubwa kujua kuwa Vatican ni kanisa ambalo lina kituo chake(balozi wa papa) hapa nchini which is well against the so called Katiba. Hamjui kuwa mambo yote ya vurugu haya ya migomo ya madaktari, mauaji ya watu wakiandamana kisheria yanaratibiwa na kanisa? hamjui? kama hamjui semeni niwapatie takwimu halisi za mambo yote haya(authentic data).
 
are u sure kwamba israeli inasapotiwa na west country je?palestina haina marafki fuatlia ujue who are jews,ukjua ndo utoe comment.:A S-baby:

Mkuu MgungaMiba yuko sahihi, hata wewe unafahamu hilo ila unataka kuleta ligi tu, Israel inapata suport kutoka kwa USA na west countries zingine, nani hajuwi kuwa wataalamu wengi jeshini na viwandani USA ni Wayahudi? kwenye ukweli kiri, huo ndo u great thinker wenyewe, tusiwe na ubishi wa kijiweni mbona liko wazi hilo mkuu?
 
Last edited by a moderator:
mi napendekeza waweke huo udini wao, ili tufuatilie nyendo zao. nimechoka na kelele zao. kuna mmoja alitoa ufafanuzi kuwa, eneo la kiseke mwanza, maeneo ya huduma za jamii, wakati wakristo wametengewa zaidi ya hekata 1,000 kufanya shughuli za kijamii kujenga makanisa na mambo memngine yanayowahusu, waislamu wametengewa hekata 100 tu. sina hakika na takwimu hizi, lakini akasisitiza, kilichosababisha utofauti wa ukubwa wa maeneo, ni kwa kuwa serikali ina takwimu za idadi ya watu kwa kuzingatia dini zao kitu ambacho hakijawahi kufanyiwa kazi tanzania.

mimi nilimjibu nikamweleza kuwa, waislamu kuna madhehebu makubwa manne, wakati wakristo utahesabu madhehebu hadi utachoka. kiukweli sijui idadi ya madhehebu kwani yaliyopo si chini ya 50 kwa yale ninayoyafahamu. kwa hiyo iwapo kila dhehebu litaomba kiwanja huko kiseke, hata hizo hekata 1,000/ hazitatosha, lakini waislam kwa idadi ya madhehebu yao, wana uhakika wa kupata kila dhehebu hekta 25, ambalo ni eneo kubwa mno.

sasa kama wanahisi wananyanyaswa katika kugawa rasilimali za taifa, tuhesabiwe kwa dini zetu ili tuone mwishoni itakuwaje

Mkuu unachanganya DHEHEBU NA DINI, wakristo wana madhehebu zaidi ya 50 sawa, lakini ni dini moja hiyo, wote muelekeo wao ni mmoja. Kwa mujibu wa maelezo yako ni kwamba waislamu wana madhehebu 4 (ambayo si kweli), na hii ni dini nyingine, so raslimali hapo Mwanza zimegawiwa kwa kufuata dini siyo madhehebu na wamefanya hivyo kwa kufuata takwimu zilizotolewa na kanisa, serikali wakazitumia ndiyo point ya Sheikh Ponda hapo, kwanini basi kisiingizwe kipengele hiki kwenye sensa itakayofanywa na serikali ili takwimu sahihi zipatikane? Kwanini serikali imechagua kutumia za kanisa badala ya za waislamu anazozitoa sheikh Ponda (yaani waislamu > 50% ya watanzania wote)? WHY? Kama si vema kuchukuwa za upande mmoja basi kiingizwe kipengele kwenye sensa ya serikali ambayo ndiyo itakuwa neutral source.
Enough to say.
 
HAYA NI MAKADILIO YA KIMATAIFA KWA WATU WALIOSOMA RESEARCH WATANIELEWA. Si lazima Kumfuata Mtu na Kumuuliza..

WE TAKE SAMPLE

Sensa ya 1967

Takwimu ya dini nchini Tanzania kwa sasa haipatikani kwa sababu maswali kuhusu dini yaliondolewa na serikali katika sensa baada ya
mwaka 1967. Sensa ile ya tarehe 27 Agosti ilihesabu wafuasi wa dini za jadi kuwa 34.3%, Wakristo 33.5% na Waislamu 31.4%, mbali na wengineo 0.8%.[1]

BAADA YA HAPO

"World Christian Encyclopedia" (toleo la pili, Oxford 2001) imekadiria kwa mwaka 2000 Wakristo kuwa 50.4 % (Wakatoliki 24.7%, Waprotestanti mbalimbali 16.5%, Waanglikana 7.9%, wasio na madhehebu maalumu 3.5%, madhehebu huru 1.9%, madhehebu yasiyokubali imani ya msingi ya Wakristo wengine wote 0.1%, wenye kufuata madhehebu mawili kwa wakati mmoja 4.2%),
Waislamu 31.8%, wafuasi wa dini za jadi 16.1% na wengineo 1.8%.

Pia imetabiria kwa mwaka 2025 uwiano kuwa 56.1, 32.8, 8.9 na 2.1%, na kwamba kufikia mwaka 2050 Wakristo na Waislamu watakuwa karibu 65 na 35% kati ya wakazi wa nchi.

Taarifa ya "International Religious Freedom Report 2009" kutoka Marekani Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor
kwa mwaka 2009 unaotaja 62% ya Watanzania kuwa Wakristo, 35% Waislamu na 3% wafuasi wa dini nyingine.[4]

Yaani tangu 1967 hadi kufikia 2000 waislamu waliongezeka kwa 0.4%? walichukuliwa na mafuriko ya el-nino na hawakuzaliwa wengine? Does it make sense? inaingia akilini kweli?
Takwimu ziandaliwe na kanisa unategemea matokeo yaweje? Hapa huhitaji kusoma research kufahamu hili, ni akili timamu tu inatosha mkuu, hebu fikiria me ndo naongea maneno hayo we unasikiliza itakuingia akilini?.Ndo maana hiki kipengele kiingizwe kenye sensa ili tuung'oe huu mzizi wa fitina kwa takwimu za kupanga, unaleta utabiri hapa! Abslolutely rubbish.
 
nyie mnaongea ila hamna hata rejea sheh issa katoa evidences kibao,walitaja mpaka vifungu vya u.n na o.a.u au hamkusikiliza wala kutizama bali mlihadisiwa,maana ata hiyo faida ya kuingizwa kipengele cha dini pia alikiongelea sasa sijui tatizo nini kwenu,tusiwe wapofu wa fikra,jaribu kufungua milango ya mawazo na lipe uzito jambo kabla hujaliona jepesi.si kila lisemwalo ni duni ila muda mwingine fikra zetu wapokeaji ndio huwa duni.......fikiri kwanza kisha jenga hoja yenye rejea
 
mkuu israel ni taifa teule la mungu na hakuna awaye yeyote wa kulishinda taifa hili kwani mungu alisema taifa lelote litakarolibariki taifa la israel basi nalo litabarikiwa na taifa lolote litakaloilaani israel basi nalo litalaaniwa ndio maana wenzetu wa mataifa ya magharibi walishalitambua hilo mapema ndio maana wamebarikiwa, ila sasa mmebakia nyie wenzangu na mie mnaoiponda israel na kuishabikia oman, iraq, afghanstan, somalia ndio maana laana na matatizo yamewajaa na sasa mnabakia kulumbana ninyi kwa ninyi.

alfu lela ulela!
 
Sasa Sheikh Ponda kama anajua waislam ni 80% ya watanzania wote, hivi kuna sababu gani ya kutaka kipengere cha dini kiwepo kwenye hizo karatasi za sensa?

Mi binafsi ningependa Waislam wote wogemee hiyo sensa then serikali iendelee na utalatibu wake after that tutajua tu waislam wako wangapi even though hatutajua wakristo pia wako wangapi kwasababu nchi hii ina dini nyingi including wapagani!

Wa face book utawajuwa tu, uelewa mdogo wanawaza verse tu, umeshindwa completely kuelewa kiswahili rahisi tu hapo, kasema 80% ni waislamu? Hasara!
 
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu imepanga kwenda mahakamani kuzuia zoezi la sensa na kupinga kauli iliyotolewa na Sheikh Mkuu wa Baraza la Waislamu (Bakwata), Mufti Issa Shaban Simba, kwamba Waislamu wamekubali kuhesabiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa jumuiya hizo, Sheikh Ponda Issa Ponda, alisema kauli ya Mufti Simba, inaashiria kwamba Bakwata limekiuka makubaliano yaliyofikiwa mjini Dodoma na jumuiya zote za waumini wa dini hiyo.

Alisema kauli hiyo haitakuwa na athari kubwa kwa msimamo wa Waislamu wengi ambao hawatashiriki zoezi la sensa.

"Waislamu tumepanga tarehe hiyo ya sensa kufanya maandamano ya amani nchi nzima kwani sensa inayokusudiwa haitakuwa na matokeo sahihi kwakuwa asilimia 80 ya Waislamu ambao ni zaidi ya nusu ya Watanzania hawatahesabiwa," alisema Shekh Ponda.

Hivi karibuni Mufti Simba, alitoa msimamo wa Bakwata, akiwataka Waislamu wote nchini kushiriki Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 26, mwaka huu.

Chanzo: Nipashe

Huyu Sheikh amezipata wapi hizo takwimu kwamba 80% ya Waislamu TZ ni zaidi ya nusu ya Watanzania wote? Halafu baada ya Sensa ya dini ikajulikana waumini wa dini fulani ndio majority italisaidiaje Taifa? Ninaamini kuwa wapo waislamu wengi Tanzania wasioyumbishwa na kauli na misimamo ya viongozi wao, lakini viongozi wa aina hii wana mchango gani kwenye ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla?

Kutamka hadharani takwimu za aina hiyo ni jibu tosha kwamba Issa Ponda ni mwananchi wa calibre gani usisumbue kichwa chako mwache aendelee kuishi nchi ya kusadikika kwa hayati shaaban Robert.
 
Hivi shetani ana akili kuliko mungu? Haujui shatani atakundanganya ili utekeleze maovu anayotaka?Jini hawezi kuwa above god hata siku moja! Ni mawazo finyu.

huyo uliyemtaja mwanzoni na kuuliza kuwa ana akili nyingi kuliko Mungu ndiye anayewaongoza hao jamaa katika kila kitu kwenye maisha yao ndo maana hata muda mwingine mtu unaweza kushangaa hivi vitu wanavyokomalia vina msingi gani?
 
Back
Top Bottom