MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,984
- 2,587
Kwani kanisa lilitoa wapi hizo takwimu kuwa wakiristo ni aslimia 52? Inawezrekana kuzipata huko kanisa liliko zipata, ili kuepusha utata huo ndo maana waislamu wanataka kipengele cha dini kiingizwe kwenye sensa ili takwimu sahihi zitolewa baada ya sensa hiyo, siyo vinginevyo. Nadhani umeelewa sasa ndg Ukoo Flani
mmeshindwa kujihesabu wenyewe huko kwenye masinagogi yenu?. Mfano halisi ukija kanisani ninakujumuika na wenzangu kuabudu kila siku ya ibada utapata takwimu ni watu wangapi walihudhuria. Hili zoezi dogo sana, kama mnaweza kuitisha maandamano nchi nzima mnashindwaje kujihesabu?