Sheikh Ponda amezitoa wapi hizi takwimu?

Sheikh Ponda amezitoa wapi hizi takwimu?

Huo ndo ukomo wa ufahamu wako-nadhani hata kuelewa kwako ni kazi ngumu kwa padri wako. Jina? pole-nin namna linavyotamkwa na wenyeji wa eneo husika-yesu naweza kuitwa hata jina lingine kwa watu wengine -siyo ajabu hiyo. Halaf hii imetoka wapi katika somo hili? au una lako jambo?
 
wewe ni muislam au la? ikiwa la usitie chumvi kuwa hasikilizwi. Kwa taarifa yako kama umetumwa na bakwata-imekula kwako. Waislamu hawatahesabiwa labda wale wa bakwata-wengineo NOOOOOOOOOO. halafu tuone kama magereza hayo yatatosha
 
sasa ni mkiristu yupi aliyeweza kuongoza. Nyerere? Miaka 23 ya uongozi wake kafanya nini? Mkapa -kujimilikisha Kiwira? bua ni bua tu haligeuki kuwa kuni ya mkaa
 
Viongozi wa kiislamu wanatakiwa wawashauri waumini wao kupenda maendeleo na ushindani wa kiuchumi. Wakati waarabu (ambao ni waislamu) wanapenda maendeleo kwa kusoma, kuwekeza, kushirikiana na wenzao, hawa weusi kama mimi wanalilia wingi wa namba ili serikali iwape mkate kila siku na vyeo serikalini bila ya kujituma.

Hii hulka ya kujiona wanaonewa ni dalili za kutojituma na kukosa matumaini katika nchi ambayo imeongozwa na waislamu kwa miaka 20 ya miaka 50 ya uhuru wake. Kikwete alimweka Hawa Ghasia utumishi ili waislamu wengi waajiriwe matokeo yake hata upendeleo haukutosha hawako wengi qualified na hili ni tatizo la waislamu wenyewe na siyo JMT wala vatican, wala nchi za Magharibi.

Tanzania ni nchi huru waislamu wanatakiwa kuacha chuki na kushirikiana na wasiokua waislamu katika nyanja mbali mbali za kimaendeleo na vile vile kujifunza toka kwa wengine kama wanavyofanya waislamu wa arabuni, uturuki, indonesia n.k

Kuna mnigeria mmoja nilikua naongea nae na akaniambia kitu kizuri sana kuhusu suala la waislamu na wakristo hapa afrika kwa ujumla; alisema wakati Nigeria wakristo wanatumia bidii kutafuta maendeleo binafsi kwa kupata elimu nzuri, uhuru, kufanya kazi kwa bidii na kujituma, waislamu wanawaza siasa na filosofia ya kuifanya Nigeria kua nchi ya kiislamu huku wakisahau maendeleo yao wenyewe kwa kufikria kila mara kua wana jukumu la kuisafisha Nigeria na kuitawala kiislamu.

Najua sheikh Ponda hajafikia hatua ya kutaka "kuisafisha" tanzania ili itawalike kiislamu, nafikiri anachotaka kusema ni kua serikali iwape zaidi mkate mkubwa kwa kua wao ni wengi, sasa sheikh wangu mkate mkubwa bila kushirikiana, bila elimu, bila kua na akili ya kimaendeleo ya kuwekeza na kujiendeleza si utakua ni bure. Nigeria katika viongozi wake toka huru wamekua na viongozi wakuu wa kitaifa 13 kati ya wote hawa watatu tu ndiyo wamekua wakristo, lakini waislamu pamoja na mkate mkubwa wamebaki maskini huko Kano, kaduna, katsina kwa sababu za kutojiendeleza, na utajiri umebaki bado kusini kwa sababu hela haikai bure, hela inaenda kwenye uzalishaji na wazalishaji. Matajiri wote wakubwa Nigeria ni Waislamu, lakini hawakai Kaskazini kwao, wako kusini na hawawekezi kwao wanaweka hela kusini na Ulaya wakiwaacha watu wao maskini wa kutupwa.

Sheikh Ponda hata waislamu wakiwa 60% bado hii haijalishi lazima wanafunzi 6 kati ya 10 lazima wa elimu ya juu lazima wawe waislamu, au serikalini kati ya watumishi 10 lazima 6 wawe waislamu. duniani kote affirmative action inatumika kwa minority na siyo majority.


Mharakati,
 
Kama anajua waislamu ni 80% ni vipi anatoka povu na kuhamasisha waislamu waandmane........sia ajabu yeye familia yake itakuwa na udhuru siku ya maandamano...waangalieni sana hao wanaojiita masheikh na ma mufti
 
Mnaonaje kikiwekwa na kipengele cha kabila kwenye sensa ili tujue ni kabila gani lenye watu wengi na ni kwa kiasi gani wamefaidika na keki ya taifa hasa katika nyanja za elimu, siasa na uongozi wa juu wa nchi na wa taasisi nyingine za dola.

Kuna kabila moja kubwa ambalo limeonewa kwa kiasi kikubwa kwa sababu tu wao hawana muda sana na haya mambo ya siasa, elimu na uongozi wa juu wa nchi kwani wamejikita zaidi kwenye kuchunga ng'ombe zinazowafanya wahamehame kutafua malisho nchi nzima. Mbaya zaidi hata udini hawana sana na wengi wao ni waumini wa dini asilia.
 
wewe ni muislam au la? ikiwa la usitie chumvi kuwa hasikilizwi. Kwa taarifa yako kama umetumwa na bakwata-imekula kwako. Waislamu hawatahesabiwa labda wale wa bakwata-wengineo NOOOOOOOOOO. halafu tuone kama magereza hayo yatatosha

Jela hawaendi machizi bro! au?
 
Kwa vyovyote vile huyu kiongozi wa dini hafai, tena watu kama hawa ni wa kuangaliwa sana. tukishahesabiwa alafu ndio iweje huyu anatka kutubagua kwa dini zetu hana namna yeyote ile zaidi yakuja kutuletea machafuko.

Ajenda yote kwa ujumla haina mashiko. watu kama hawa kuna kitu wanalenga na nadhani kunakutumika kwa kuwa hawafanyi mambo ya maendeleo isipokuwa kuharibu.

Kwanini asizungumzie kujenga shule za kiislamu, vyuo na hospital vitu ambavyo vinalenga kuleta maendeleo badala yake anakazana na sensa kuhesabiwa watu kulingana na dini zao.
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu imepanga kwenda mahakamani kuzuia zoezi la sensa na kupinga kauli iliyotolewa na Sheikh Mkuu wa Baraza la Waislamu (Bakwata), Mufti Issa Shaban Simba, kwamba Waislamu wamekubali kuhesabiwa......
"Waislamu tumepanga tarehe hiyo ya sensa kufanya maandamano ya amani nchi nzima kwani sensa inayokusudiwa haitakuwa na matokeo sahihi kwakuwa asilimia 80 ya Waislamu ambao ni zaidi ya nusu ya Watanzania hawatahesabiwa," alisema Shekh Ponda......
 
Mnaonaje kikiwekwa na kipengele cha kabila kwenye sensa ili tujue ni kabila gani lenye watu wengi na ni kwa kiasi gani wamefaidika na keki ya taifa hasa katika nyanja za elimu, siasa na uongozi wa juu wa nchi na wa taasisi nyingine za dola.

Kuna kabila moja kubwa ambalo limeonewa kwa kiasi kikubwa kwa sababu tu wao hawana muda sana na haya mambo ya siasa, elimu na uongozi wa juu wa nchi kwani wamejikita zaidi kwenye kuchunga ng'ombe zinazowafanya wahamehame kutafua malisho nchi nzima. Mbaya zaidi hata udini hawana sana na wengi wao ni waumini wa dini asilia.
nimesikia jana BBC mtu mmoja akitoa maoni kuwa Saudi Arabia wakati wa Hijja hutoa nafasi kulingana na idadi ya watu (Waislamu in percentage?) wa nchi husika lakini inawawia vigumu kwa Tanzania maana takwimu ni za kubuni.

Hapa ndio nimeona kuwa hapa kuna tatizo, je, Vatican nao wakitaka takwimu za Wakatoriki wanaiuliza serikali? ...Anglican, Lutheran, TAG, nk. Na bado naona tatizo lingine linaweza kuibuka kuwa hao hao Waislamu watataka kujua kiasi cha Washia/Suni/Answar Suna na wengineo. Hapo bado hatujagusa hapo kwenye red maana wengi tunalalamika kuwa Kabila la Wachaga (sitafuni maneno) wanajipendelea/pendelewa bila kuangalia uhalisia wa mambo.

Kwa kifupi mawazo yanayotokea yanaanza kuibua maswali zaidi ya nilivyotegemea hapo awali. Kuna haja ya kutumia busara maana mwishowe tutajikuta tunabishania mambo yasiyo na manufaa kwa nchi hii.
Haya yote yanatokana na uelewa wetu ulivyo, nadhani tunelikuwa na uelewa mkubwa na mustakabali mzuri wa nchi wala yasingeleta tatizo lolote. Tuilaumu historia ambayo haikututendea haki!

 
kwa vyovyote vile huyu kiongozi wa dini hafai, tena watu kama hawa ni wa kuangaliwa sana. tukishahesabiwa alafu ndio iweje huyu anatka kutubagua kwa dini zetu hana namna yeyote ile zaidi yakuja kutuletea machafuko. Ajenda yote kwa ujumla haina mashiko. watu kama hawa kuna kitu wanalenga na nadhani kunakutumika kwa kuwa hawafanyi mambo ya maendeleo isipokuwa kuharibu. kwanini asizungumzie kujenga shule za kiislamu, vyuo na hospital vitu ambavyo vinalenga kuleta maendeleo badala yake anakazana na sensa kuhesabiwa watu kulingana na dini zao.
nimesikia mtu mmoja anasema kuwa kuna mpango wa chini kwa chini kuwa (in case) sensa ikisema kuanzia 45% - 55% ni Waislamu, bila kujali maoni ya wengine inapitishwa Sharia law kama Al-Zawadi (Mali) au ilivyotokea Somalia kabla ya ilivyo sasa. Bado ni tetesi lakini

 
Taarifa hizo zipo kwenye tovuti ya tanzania Tourist Board kwenye kipengele cha Dini.
Hebu pitia hapa
Religion » Tanzania Tourist Board

Ambapo imebainisha hivi.
Christianity and Islam are the predominant religions of Tanzania. About 40-45% of the population practice Christianity, about 35-40% practice Islam. The rest of the population adhere to traditional beliefs, most of which centre around ancestor worship and nature-based animism. Most Christians live on the mainland, where missionary stations and schools reach deep into the continent. Islam is the major religion of the coastal areas but is also practiced further inland along the old caravan routes.
 
Hivi hawa wanaojiita viongozi wa waislam hawana "seniority" kwenye uongozi wao? Inakuwaje Shehe Mkuu wa Tanzania anatoa tamko halafu Shehe mwingine ambaye siyo mkuu anapingana naye hadharani. Anachosahau huyu Ponda ni kuwa kuna watu wangependa sana sensa ionyeshe makabila ya watu ili tujue kabila gani ni kubwa kuliko jingine na raslimali zigawanywe kwa kuzingatia ukabila.

Kama alifuatilia mjadala wa bunge jana kuna mbunge wa jimbo mojawapo la kanda ya ziwa alikuwa anahoji, pamoja na mambo mengine ya kijimbo, kuwa inakuwaje kanda ya ziwa pamoja na kuwa na raslimali nyingi haina mawaziri wa kutosha kwenye baraza jipya. Ninachosema hapa ni kuwa ukiruhusu sensa kwa misingi ya dini za watu hutakuwa na hoja ya msingi ya kuzuia sensa kwa misingi ya makabila ya watanzania. Kwa waafrika ukabila unawaunganisha watu kuliko udini na ni hatari sana kuchochea hilo kwa nchi yetu. Waafrika tunaamini zaidi katika ukabila kuliko udini na ndio maana siyo ajabu kumkuta mwafrika anaingia kwenye hizo dini za kigeni huku bado akendelea na imani zake za kijadi. Ukabila ni chanzo cha mauaji makubwa kwa majirani zetu - Kenya, Rwanda, Burundi, Conco n.k.
Sheikh wa TZ? sema Sheikh mkuu wa BAKWATA.Kumbuka BAKWATA iliundwa na Nyre mwaka 1968 baada kuivunja East Africa Muslim Welfere Society,jumuia ambayo ilikuwa imewaunganisha waislam pamoja na kuwaletea maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule ambazo baadae zilitaifishwa .
 
Sheikh wa TZ? sema Sheikh mkuu wa BAKWATA.Kumbuka BAKWATA iliundwa na Nyre mwaka 1968 baada kuivunja East Africa Muslim Welfere Society,jumuia ambayo ilikuwa imewaunganisha waislam pamoja na kuwaletea maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule ambazo baadae zilitaifishwa .

Kwa hiyo kwa mtazamo wako Sheikh Mkuu wa Bakwata siyo mwakilishi wa waislam wote Tanzania kwa sababu Bakwata iliundwa na Nyerere. Sasa tueleze huyu Sheikh Ponda ni mwakilishi wa waislam wapi? Je ni Shia, Sunni, Ahmadiya, Khawarij au Sufi?

Je una uhakika gani kuwa anachoongea kinawakilisha waislam wote Tanzania?
 
Hongera sheikh ponda...! hao makafir wanaopinga wasikuvunje moyo aluta continua lazma tupigane jihad kuikomboa nchi yetu,waislam ndo tumepigania uhuru wa tanganyika kafir mwalimu akatusalit...tutazkomboa nchi zetu inshaallah
Mara nyingi nimambiwa ya kuwa KAFIR ni mpingaji wa mambo ya dini na maamrisho ya Mwenyeyi Mungu.Sijui ndugu zangu KAFIR uliemuandika hapa ni yupi?
Waislamu hawakupigania UHURU peke zao na hii dhana ni afadhali iachwe kwanibado kuna watu wako hai ambao wanaweya kuulizwa na wakaeleza.
 
Hongera sheikh ponda...! hao makafir wanaopinga wasikuvunje moyo aluta continua lazma tupigane jihad kuikomboa nchi yetu,waislam ndo tumepigania uhuru wa tanganyika kafir mwalimu akatusalit...tutazkomboa nchi zetu inshaallah
Mara nyingi nimeambiwa ya kuwa KAFIR ni mpingaji wa mambo ya dini na maamrisho ya Mwenyeyi Mungu.Sijui ndugu zangu KAFIR uliemuandika hapa ni yupi?
Waislamu hawakupigania UHURU peke yao na hii dhana ni afadhali iachwe kwanibado kuna watu wako hai ambao wanaweza kuulizwa na wakaeleza.
Mwalimu alipunguya kiwango cha kutokujua kusoma na kuandika kwa kiwango kikubwa leo tuna watu wapo sekondari ambao hawajui kusoma na kuandika.
Nyerere alijitahidi mno katika vilivyokuwa vijiji vya ujamaa na uone Mwalimu alikuwa na nia gani.
 
Mi nafikiri wa-tz tubadilike na si kila mwenye dini aanze kuponda na kukandia harakati za mwenzake na tusifanye sisi wenye dini km mashabiki wa simba na yanga, maana ktk hii nchi cjawahi ona hawa masheikh wakahitaji kitu bila kuwekewa nahau hata km hakiwezi kudhuru upande mwengine lkn kuna watu lazma wasimame wapinge, naamini wanaongoza huu upinzani ndio wanasababisha vurugu< cdhani kutekelezewa haya matakwa km serikali itakuwa imekiuka katiba bali ni msaada kwa wananchi wenye dini ktk dini yao km inavyotambua wananchi wake ni waamini dini.
 
wakristo hasa viongozi hawataki kujulikana kwa idadi hiyo kwa kuwa itaonesha namna gani wasivyofanya kazi wanayodai kuifanya kwa mabwana zao MAFIA WA VATICAN wakiongozwa na Don pope

Sijui kama unaelewa kuwa wakristu hasa wakatoliki wanafanya sensa ya kujua waumini wao kila mwaka. Nilikuwa Mtwara miaka ya 2000 mwanzoni na kufanikiwa kupita pale Masasi. Kwa bahati nilikutana na Padri mmoja Mjerumani na akanipeleka kanisani kwake kuona anachafanya. Kwa mshangao alinionyesha kitabu cha kumbukumbu za wakristu wa kanisa lake tokea 1890. Mkristu alizaliwa lini, tarehe ya kubatizwa na kifo. Vilikuwa vitabu kadhaa ikimaanisha kumbukumbu zao zilikuwa intact. Hata siku hizi hufanya hivyo hivyo. Nadhani wao wana mfumo mzuri wa kujua waumini wao na hawahitaji sensa ya serikali. Tukianza kuweka mambo ya udini kwenye sensa tunapanda mbegu ya ubaguzi na chuki. Ukisoma historia ya mauaji ya Rwanda na hata Burundi, utagundua mbegu ya ubaguzi wa makabila iliyopandwa na Wabeljiji miaka ka 1940 ndio chanzo. Kwa kaiwada madhara ya mbegu ya chuki za kidini na kikabila huwa ina chanzo cha namna hii. Kwa maoni yangu, waislamu watafute njia ya kujua idadi ya waumini kupia mini-sensa na sio sensa yenye mtizamo wa kitaifa ni kiserikali. I believe they can do it easily na bila kuwa na mtizamo uliopo hivi sasa.
 
Yeyote mwenye akili timamu aniambie kutakua na tatizo gani kukiwepo hiko kipengele cha dini??
 
Mwenye "underground concern" utamjua tu kwa "kujikanyaga" kama anajua waumin wake ni 80% ya watanzania ina maana tayari ameshawafanyia sensa. Mi namshauri awapatie serikali hizo takwimu ili kupunguza gharama za zoezi hili. Hapa anatuonyesha ni 20% ya watanzania ndo hawajulikani, so tutapunguza gharama za zoezi hili kwa 80% ya bajeti ya sasa!!!!!

thats good news, hebu ofisi ya takwimu tumeni wajumbe fasta kwa huyu jamaa mmalize kazi
 
Back
Top Bottom