Sheikh Ponda amezitoa wapi hizi takwimu?

Sheikh Ponda amezitoa wapi hizi takwimu?

Ni imbalance ya neurotransmitters especially serotonin na Dopamine. Pia kuna biopsychosocial hypothesis kuwa kama una ndugu mwenye ugonjwa basi nawe una chance ya kupata ugonjwa as well as kuwa na stress kwenye maisha kunaweza kuzivuruga hizo neurotransmitters! je ulikuwa na point gani baada ya maelezo haya?
Niliona hiyo lakini haitoi jibu la moja kwa moja kuhusu causes,
Basic knowledge about brain chemistry and its link to schizophrenia is expanding rapidly. Neurotransmitters, substances that allow communication between nerve cells, have long been thought to be involved in the development of schizophrenia. It is likely, although not yet certain, that the disorder is associated with some imbalance of the complex, interrelated chemical systems of the brain, perhaps involving the neurotransmitters dopamine and glutamate.
zaidi tunaambiwa hivi:
The causes of schizophrenia, like all mental disorders, are not completely understood or known at this time.
 
Njoo basi ujifunze aliyoyafundisha Issa Bin Mariam, Uislaam ni katika mafundisho ya Mtume Issa. Hebu jaribu kufunguwa Qur'an uone kuanzia alivyozaliwa, alivyofanya miujiza, mama yake, Nnakuhakikishia katika Qur'an utayakuta mengi ya mema ya Yesu na mama yake Bi Mariam Tazama:
Yamekosewa kwa vile muhamad alihadithiwa ukristu na watu wasio na ufahamu.Kasome kuhusu Jabir.BY the way yako wapi ya muhamad?Kwanini ufimfuate Nabii aliye superior kwa kila kitu chema zaidi ya muhamad aliyekiri kuwa hana uhakika wa mbingu
I'sa (Yesu) a.s., alitabiri atakuja Ah'mad s.a.w., 61:6;
acheni kufuru:rudi kasome Biblia.Halafu kasome maandiko ya kiislam uone jinsi muhamad alivyolilia kutambulika na kukubalika hata kwa wapagani wa mecca mliowapora pa kuabudia.Yesu alisema atakuja Roho mtakatifu na atafundisha kwa jina la yesu.LEO MNACHOMA MAKANISA NA KUWAUWA WAFUASI WAKE.NA MUHAMAD LIKUJA KWA JINA LAKE MWENYEWE(muhamad).

anaomba Meza ya vyakula, 5:114;
Halfu kwanini hujasoma vizuri walichoambiwa wale waliotaka maajabu ya hiyo meza.Ina wahusu na nyie msiomwamini Kristu.
hakufunza ibada potovu, 5:116-118;
Kwanini nani anafundisha upotofu?Km uliitaka Biblia iwe uthibitisho na utabiri kwa muhamad na Yesu hakuwafundisha upotofu kwanini humfuati sasa?Kurani yenyewe inakiri kuwa Injili ni neno la Mungu na haliwezi potoshwa.Wala Biblia haijawahi pitisha neno la shetani.Ila Quran kupitia ulimi wa Muhamad uliingiza hiyo mistari.
hakusulubiwa, 4:157; kapewa Injili, 5:46;
acha uongo, soma vizuri.Hapa limeulizwa swali baada ya wayahudi kusema kuwa hawakumuua.Hakusulubiwa na wayahudi.ILA KWA AKILI YAKO UNADHANI WANGEPATA WAPI MAMLAKA YA KUUA?Mrumi ndie alikuwa na uwezo wa kuua wao walimshitaki kwa mambo ya uongo/fitini na Biblia ipo sahihi kwa hilo.Mrumi ndio alikuwa mtawala ,wayahudi walikuwa watumwa.MNASOMA KWA ****** NINI?Wapi panasema hakufa?Swani ni nani alimuua.
kunyanyuliwa, 3:55-58; 4:157-159;
kuwa ni Ishara, 23:50; 43:61;
kuzaliwa kwake, 3:45-47; 19:22-33;
mfano wa Adam, 3:59;
Pia ni al-Masih, Ni neno la Mungu(Neno La Mungu linaumba kwa uwezo uliopo ndani yae-Na quran inasema aliumba na kufufua),Ni roho wa Mungu.Ni mfano kwa vile hakuwa na baba, na alianzisha agano jipya ktk ya Mungu na Binadamu.Ila hakuumbwa kwa udongo.adamu alioza ardhini.
Mtume kwa Waisraili, 3:49-51;
Nabii mwema, 6:85;
Kweli ni mwema,kwani yeye ni muhamad awe muovu?Kwani muhamad alikuja kwa ajili ya nani si qurayish?Mbaya alielezea yote kuwa ufalme ulikuja kwa nani ila utapewa nani?Na liweka wazi waabudue wa kweli ni katika roho na kweli.Nyie kaendeleeni kupoteza muda chooni, kuogopa mkojo wagusa na kusafisha matone ya mikojo ya maiti.
Ni nani sasa hadi aumbe?afufue?asamehe?ahukumu?(Soma Quran: inamwita Neno la Mungu, roho wa Mungu na inakiri kuwa neno la Mungu linaumba kwa uwezo lililo nalo)
si mwana wa Mungu, 9:30;
Ni wa nani?Unamjua babake?soma uzao wake kwa akili, hakutengezwa kwa udongo.Ila ni neno la Mungu/Quran tena inaita Seed/mbegu ya Mungu.Tumia akili.Kwanza waislam hawana mtoto wa Mama ila kwa Yesu mmetoa exception.Imekula kwenu
si zaidi kuliko Mtume, 4:171; 5:75; 43:59; 63:64;
Kwa vigezo gani?Soma vizuri wewe sifa zake, halafu jumlisha hizi.Ni straight line to Allah, alimshinda shetani, ila Muhamad alishindwa na shetani.Quran imekiri kuwa aliingiza mistari ya shetani.soma hadith mashetani yanavyowachezea waislam?Kuwakjolea masikioni, puani, kuingia uzao wenu , etc.
Ujumbe na miujiza, 5:110; 19:30-33;
Kazi na dawa, kila kila kwa mifano ili kuthibitisha kinafanyika.Si mahubiri yasioyotekelezeka.Hujaona kwa nini waislam ni failures.Wana vitu havitekelezeki.Wanapozidi fuata dini wanazidi kuwa wanyama na magaidi
ujumbe wake una mipaka yake, 13:38;
Tuonyeshe mipaka
wafwasi wake wana huruma na rehema, 57:27;
wanafunzi, 3:52-53; 5:111-115;
wanafunzi wake kuwa ni Wasaidizi wa Mwenyezi Mungu, 61:14;
wanafunzi wake wanajitangaza kuwa ni Waislamu, 5:111;
Mariamu, (mama wa Nabii Isa a.s.), kalinda uke wake, 21:91; 66:12;
mbona mnawauwa?ndio wakristu wenyewe.Mfuasi wake ni yule afuatayo mafundisho yake.MNATIA HURUMA nayo hamulewi

[Quotee]
kamleta mtoto kwa watu wake, 19:27-33;
katika kujifungua kwa uzazi, 19:23-26;
kuzaliwa kwake, 3:35-37;
Malaika kumwambia atamzaa Nabii Isa a.s., 3:42-51; 4:156; 19:16-21;

Sijui kwa nini sasa mnafanya kufuru kwa kila jambo.Mnaangamia kwa kutokuwa na maarifa.Mnachoma makanisa, mnauwa wakristu ila pamoja na mapungufu ya Quran yake yanayowachanganya waislam kiasi cha kuwashinda unganisha dots.bado inaweka wazi mwisho wenu:
1. Inaweka wazi kuhusu upekee wa Yesu na wafuasi wake.
2.Inaweka wazi Muhamad hana hakina ya pepo.
3.Inaweka wazi kuwa hata majinn yatawakana siku ya mwisho.
4.Etc.

Ila bado waislam wamekuwa wazito kupindukia.Au pengine ndio mmeukubali km vile majambazi na wachawi walivyokubali fani zao?Ila majambazi wanakiri ubaya wa matendo yao ndio maana wanayafanya sirini.

BY THE WAY UNAMWAMINI VIPI ALLAH NA MUHAMAD KAMA KTK QURAN WANASEMA ALLAH NI BORA KTK UONGO?QUOTE CHACHE:

Qur'an 3:54 Arabic: ومكروا ومكر الله والله خير الماكرين
Transliteration: Wamakaroo wamakara Allahu waAllahu khayru almakireena
Literal: And they cheated/deceived and God cheated/deceived, and God (is) the best (of) the cheaters/deceivers.[SUP][2][/SUP]
Qur'an Text/Transliteration 3:54

[h=3][edit] Qur'an 7:99[/h]Arabic:افامنوا مكر الله فلايامن مكر الله الا القوم الخاسرون
Transliteration: Afaaminoo makra Allahi **** ya/manu makra Allahi illa alqawmu alkhasiroona
Literal: Did they secure God's scheme/deceit ? So no(one) trusts God's scheme/deceit except the nation the losers.[SUP][3][/SUP]
Qur'an Text/Transliteration 7:99

[h=3][edit] Qur'an 8:30[/h]Arabic:واذ يمكر بك الذين كفروا ليثبتوك او يقتلوك او يخرجوك ويمكرون ويمكر الله والله خير الماكرين
Transliteration: Wa-ith yamkuru bika allatheena kafaroo liyuthbitooka aw yaqtulooka aw yukhrijooka wayamkuroona wayamkuru Allahu waAllahu khayru almakireena
Literal: And when those who disbelieved deceive/scheme at you to affix/affirm you, or kill you, or bring you out, and they scheme/deceive , and God deceives/schemes and God (is) best (of) the deceivers/schemers.[SUP][4][/SUP]
 
Yamekosewa kwa vile muhamad alihadithiwa ukristu na watu wasio na ufahamu.Kasome kuhusu Jabir.BY the way yako wapi ya muhamad?Kwanini ufimfuate Nabii aliye superior kwa kila kitu chema zaidi ya muhamad aliyekiri kuwa hana uhakika wa mbingu

Kwanza hata sikuelewi unasema nini yamekosewa? hebu funguka, halafu niendelee mbele.

Huyo Jabir unamtaja yuko kwenye Qur'an, biblia au Injili? unazuka tu na mtu asiyejulikana ni nani?

Unauliza ya Muhammad? Muhammad hana yake, hiyo Qur'an si ya Muhammad hiyo, hayo ni ya Allah na hayana shaka ndani yake.

Wewe badala ya kuongea ya Allah unaleta ya Jabiri, Jabiri Shikamkono?

Halafu huyo Nabii Unaemsema ni yupi? Hebu anmbie Nabii nani? Funguka kidogo, wacha kuogopa.

Mkorakamili? maana yake ni mwizi kamili au sio?
 
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu imepanga kwenda mahakamani kuzuia zoezi la sensa na kupinga kauli iliyotolewa na Sheikh Mkuu wa Baraza la Waislamu (Bakwata), Mufti Issa Shaban Simba, kwamba Waislamu wamekubali kuhesabiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa jumuiya hizo, Sheikh Ponda Issa Ponda, alisema kauli ya Mufti Simba, inaashiria kwamba Bakwata limekiuka makubaliano yaliyofikiwa mjini Dodoma na jumuiya zote za waumini wa dini hiyo.

Alisema kauli hiyo haitakuwa na athari kubwa kwa msimamo wa Waislamu wengi ambao hawatashiriki zoezi la sensa.

"Waislamu tumepanga tarehe hiyo ya sensa kufanya maandamano ya amani nchi nzima kwani sensa inayokusudiwa haitakuwa na matokeo sahihi kwakuwa asilimia 80 ya Waislamu ambao ni zaidi ya nusu ya Watanzania hawatahesabiwa," alisema Shekh Ponda.

Hivi karibuni Mufti Simba, alitoa msimamo wa Bakwata, akiwataka Waislamu wote nchini kushiriki Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 26, mwaka huu.

Chanzo: Nipashe

Huyu Sheikh amezipata wapi hizo takwimu kwamba 80% ya Waislamu TZ ni zaidi ya nusu ya Watanzania wote? Halafu baada ya Sensa ya dini ikajulikana waumini wa dini fulani ndio majority italisaidiaje Taifa? Ninaamini kuwa wapo waislamu wengi Tanzania wasioyumbishwa na kauli na misimamo ya viongozi wao, lakini viongozi wa aina hii wana mchango gani kwenye ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla?

Nina Imani na Bakwata; ina wasomi zaidi
 
wakristo hasa viongozi hawataki kujulikana kwa idadi hiyo kwa kuwa itaonesha namna gani wasivyofanya kazi wanayodai kuifanya kwa mabwana zao MAFIA WA VATICAN wakiongozwa na Don pope
 
wakristo hasa viongozi hawataki kujulikana kwa idadi hiyo kwa kuwa itaonesha namna gani wasivyofanya kazi wanayodai kuifanya kwa mabwana zao MAFIA WA VATICAN wakiongozwa na Don pope

Si wanajulikana na wapo makanisani daily au hata wapo wanaokunywa pombe kwa kwenda mbele kwa vile wanajua mbingu yao haitokuwa nazo.Kajifunze definition ya kutotaka julikana ..ili utueleze hawataki kujulikana vipi wakati hawajifichi huku wakijionyesha?

Hii dunia bila kuwa mafia mtaangamizwa na wafuasi wa dini mfu.Angalia huku deal za kishenzi (Iran, Libya, Pakistan etc), twiga kuibiwa, ugaidi, wasomi wajinga na kazi propaganda.Huku wanaeneza dini wasioijua wala kutambua maandiko yake, wanaoshinda kuangalia biashara za wenzao badala ya kupanga na kufanya zao
 
Mkorakamili naomba twende jukwaa la dini ukawape shule hawa wafuasi wa muhamadans.
 
Si wanajulikana na wapo makanisani daily au hata wapo wanaokunywa pombe kwa kwenda mbele kwa vile wanajua mbingu yao haitokuwa nazo.Kajifunze definition ya kutotaka julikana ..ili utueleze hawataki kujulikana vipi wakati hawajifichi huku wakijionyesha?

Hii dunia bila kuwa mafia mtaangamizwa na wafuasi wa dini mfu.Angalia huku deal za kishenzi (Iran, Libya, Pakistan etc), twiga kuibiwa, ugaidi, wasomi wajinga na kazi propaganda.Huku wanaeneza dini wasioijua wala kutambua maandiko yake, wanaoshinda kuangalia biashara za wenzao badala ya kupanga na kufanya zao

Now this is what we call great thinking. Hoja inapanguliwa kwa hoja sio kwa jazba. Mkuu i'm supporting your points. Na nimependa unavyojibu ki great thinker.
 
Njoo basi ujifunze aliyoyafundisha Issa Bin Mariam, Uislaam ni katika mafundisho ya Mtume Issa. Hebu jaribu kufunguwa Qur'an uone kuanzia alivyozaliwa, alivyofanya miujiza, mama yake, Nnakuhakikishia katika Qur'an utayakuta mengi ya mema ya Yesu na mama yake Bi Mariam Tazama:

I'sa (Yesu) a.s., alitabiri atakuja Ah'mad s.a.w., 61:6;

anaomba Meza ya vyakula, 5:114;
hakufunza ibada potovu, 5:116-118;
hakusulubiwa, 4:157; kapewa Injili, 5:46;
kunyanyuliwa, 3:55-58; 4:157-159;
kuwa ni Ishara, 23:50; 43:61;
kuzaliwa kwake, 3:45-47; 19:22-33;
mfano wa Adam, 3:59;
Mtume kwa Waisraili, 3:49-51;
Nabii mwema, 6:85;
si Mungu; 5:17, 5:75;
si mwana wa Mungu, 9:30;
si zaidi kuliko Mtume, 4:171; 5:75; 43:59; 63:64;
Ujumbe na miujiza, 5:110; 19:30-33;
ujumbe wake una mipaka yake, 13:38;
wafwasi wake wana huruma na rehema, 57:27;
wanafunzi, 3:52-53; 5:111-115;
wanafunzi wake kuwa ni Wasaidizi wa Mwenyezi Mungu, 61:14;
wanafunzi wake wanajitangaza kuwa ni Waislamu, 5:111;
Mariamu, (mama wa Nabii Isa a.s.), kalinda uke wake, 21:91; 66:12;

kamleta mtoto kwa watu wake, 19:27-33;
katika kujifungua kwa uzazi, 19:23-26;
kuzaliwa kwake, 3:35-37;
Malaika kumwambia atamzaa Nabii Isa a.s., 3:42-51; 4:156; 19:16-21;

u'r signature explain every thing.

kifupi ni hivi, YESU alituachia injili kupitia mafundisho yake, na baadaye akawaongoza watu mbalimbali kwa nyakati tofauti mafundisho yale yakawekwa kwenye maandishi. Hivyo, mafundisho yake si rahisi yapatikane katika msahafu, mafundisho yake yanapatikana tu katika BIBLIA.

In addition, huyo mnyaemwita Issa bin Mariam, ni nyie tu mnayemjua kuwa ni YESU lakini sisi(mimi) YESU simtambui kama ISA, kwani hakuna katika biblia yaani agano la kale na agano jipya ambapo ameitwa kwa jina hilo, jina hilo mnalifahamu waislam na kwa kuwa ni watu tofauti, mnalitumia kulichafua jina na kazi halisi ya YESU.
 
mi napendekeza waweke huo udini wao, ili tufuatilie nyendo zao. nimechoka na kelele zao. kuna mmoja alitoa ufafanuzi kuwa, eneo la kiseke mwanza, maeneo ya huduma za jamii, wakati wakristo wametengewa zaidi ya hekata 1,000 kufanya shughuli za kijamii kujenga makanisa na mambo memngine yanayowahusu, waislamu wametengewa hekata 100 tu. sina hakika na takwimu hizi, lakini akasisitiza, kilichosababisha utofauti wa ukubwa wa maeneo, ni kwa kuwa serikali ina takwimu za idadi ya watu kwa kuzingatia dini zao kitu ambacho hakijawahi kufanyiwa kazi tanzania.

mimi nilimjibu nikamweleza kuwa, waislamu kuna madhehebu makubwa manne, wakati wakristo utahesabu madhehebu hadi utachoka. kiukweli sijui idadi ya madhehebu kwani yaliyopo si chini ya 50 kwa yale ninayoyafahamu. kwa hiyo iwapo kila dhehebu litaomba kiwanja huko kiseke, hata hizo hekata 1,000/ hazitatosha, lakini waislam kwa idadi ya madhehebu yao, wana uhakika wa kupata kila dhehebu hekta 25, ambalo ni eneo kubwa mno.

sasa kama wanahisi wananyanyaswa katika kugawa rasilimali za taifa, tuhesabiwe kwa dini zetu ili tuone mwishoni itakuwaje

Hapo umenena. Nyie wakristo mna madhehebu mengi hivyo una maanisha mpo wengi kushinda waislamu sio? Acheni hizo.
 
Haya nyie wakristo mna akili nyingi zipi? Hizo za Ushoga makanisani. Askofu mkuu Anglicana Marekani Shoga , Padri Kimaro wa Mlimani, Askofu wa Moshi Vijijini. Hiyo ndoo akili!
 
Haya nyie wakristo mna akili nyingi zipi? Hizo za Ushoga makanisani. Askofu mkuu Anglicana Marekani Shoga , Padri Kimaro wa Mlimani, Askofu wa Moshi Vijijini. Hiyo ndoo akili!

Poor you! Unayedhani ushoga unatambulishwa na dini ya mhusika. Inawezekana kabisa hujui kuwa kuna mashoga Iran (The ISLAMIC Republic of Iran).
 
cha muhimu ni kuwaacha tu waendelee kulalama, wakati wakiendelea kupoteza muda, sisi tunazidi kutafuta pesa, kujenga mashule na kusomesha watoto wetu.....kalaga baho kung'ang'ania vitu ambavyo havina faida.
 
Mimi sioni tatizo kujua idadi ya dini na waumini wake hapa nchini mbona nchi zingine takwimu kama hizi zipo wazi kuna nini Tanzania?

Aliyekwambi nchi inaendeshwa kwa kuiga nani? Kweli wewe Mzinga wa nyuki
 
Haya nyie wakristo mna akili nyingi zipi? Hizo za Ushoga makanisani. Askofu mkuu Anglicana Marekani Shoga , Padri Kimaro wa Mlimani, Askofu wa Moshi Vijijini. Hiyo ndoo akili!

Walimu wa madrasa ndo wanaongoza kwa kula***ti watoto wa madrasa.
NB:
Majina yaongozayo kwa ushoga tz ni,Unt Musa,Unt Issa...wengi waislam
 
Kwanin huyo Shekh hakamatwi mpaka leo.!? Yupo juu ya sheria..!? Haki itendeke mapema zaid, serikali isiendeleze Udhaifu hasa kwa wa2 kama hao. Hiv Rais angekuwa mkristo si ndo ingekuwa balaa.!? Waislam mkataen huyo jamaa, anawavuruga kwa maslah yake binafsi, Inakuaje anampinga mpaka shekh mkuu.!? Ina maana Shekh mkuu haon umuhim wa hicho kipingere cha dini.!? Kujua idad ya wananch kidin ni jambo zur kwa namna flan, lakn hii sio sehem yake, hasa tunapotaka idad kwa ajir ya maendeleo tu.
 
Takwimu anazo tatizo lake nini ameshajua wapo 50%and above...malizia na msemo wa mwanasheria mkuu...
 
Back
Top Bottom