Sheikh Ponda amezitoa wapi hizi takwimu?

Sheikh Ponda amezitoa wapi hizi takwimu?

Tatzo letu sisi waislamu hatuna HIERARCHY ya uongozi, matokeo yake kila sheikh anaweza kutoa tamko.. Mfano mzuri na hierarchy tunayopaswa kuiiga ni ya kanisa katoliki ambapo ni vigumu kauli ikatolewa na askofu pengo kama msimamo wa kanisa then akajitokeza padri kutoka tandika akampinga
 
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu imepanga kwenda mahakamani kuzuia zoezi la sensa na kupinga kauli iliyotolewa na Sheikh Mkuu wa Baraza la Waislamu (Bakwata), Mufti Issa Shaban Simba, kwamba Waislamu wamekubali kuhesabiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa jumuiya hizo, Sheikh Ponda Issa Ponda, alisema kauli ya Mufti Simba, inaashiria kwamba Bakwata limekiuka makubaliano yaliyofikiwa mjini Dodoma na jumuiya zote za waumini wa dini hiyo.

Alisema kauli hiyo haitakuwa na athari kubwa kwa msimamo wa Waislamu wengi ambao hawatashiriki zoezi la sensa.

"Waislamu tumepanga tarehe hiyo ya sensa kufanya maandamano ya amani nchi nzima kwani sensa inayokusudiwa haitakuwa na matokeo sahihi kwakuwa asilimia 80 ya Waislamu ambao ni zaidi ya nusu ya Watanzania hawatahesabiwa," alisema Shekh Ponda.

Hivi karibuni Mufti Simba, alitoa msimamo wa Bakwata, akiwataka Waislamu wote nchini kushiriki Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 26, mwaka huu.

Chanzo: Nipashe

Huyu Sheikh amezipata wapi hizo takwimu kwamba 80% ya Waislamu TZ ni zaidi ya nusu ya Watanzania wote? Halafu baada ya Sensa ya dini ikajulikana waumini wa dini fulani ndio majority italisaidiaje Taifa? Ninaamini kuwa wapo waislamu wengi Tanzania wasioyumbishwa na kauli na misimamo ya viongozi wao, lakini viongozi wa aina hii wana mchango gani kwenye ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla?

Watanzania wenzangu,duniani kote munakosikia hali si shwari kwa jina la islam[boko haram,al shabaab,al qaeda nk] wahusika wakuu ni hawa wanaojiita waislam wanavaa suruali fupi,ndevu kama fagio,wanawake wanavaa kininja,ktk swaum wao wanafunga mapema na idd wao ni wa kwanza kusali,kuvunja mabucha ya nguruwe ni wao,maandamano ya waislam mwembe chai walikuwa wao,ndio wao pia kwa kutojua mafundisho wanakataza vyakula visiuzwe ktk mwezi wa ramadhani ndo unakuta hotel na migahawa mingi imefungwa ktk mwezi huu wakati aya inasema wagonjwa na wasafiri wasifunge sa wale nini?kuna watoto pia,ndo kina shehe ponda hao,hawa kwa hapa tanzania bado wanapekecha pekecha wanatafuta mwanya wa kuleta vurugu,tena serikali iwatazame kwa macho mawili kabisa.kuhusu sensa hata mtukufu mtume muhammad s.a.w.aliifanya kwani aliwahi kuagiza apelekewe orodha ya idadi ya waislam toka maeneo mbali mbali,hivyo kwa muislam wa kweli hatopinga sensa ila kwa hawa al qaeda haitarajiwi waikubali.
 
u'r signature explain every thing.

kifupi ni hivi, YESU alituachia injili kupitia mafundisho yake, na baadaye akawaongoza watu mbalimbali kwa nyakati tofauti mafundisho yale yakawekwa kwenye maandishi. Hivyo, mafundisho yake si rahisi yapatikane katika msahafu, mafundisho yake yanapatikana tu katika BIBLIA.

In addition, huyo mnyaemwita Issa bin Mariam, ni nyie tu mnayemjua kuwa ni YESU lakini sisi(mimi) YESU simtambui kama ISA, kwani hakuna katika biblia yaani agano la kale na agano jipya ambapo ameitwa kwa jina hilo, jina hilo mnalifahamu waislam na kwa kuwa ni watu tofauti, mnalitumia kulichafua jina na kazi halisi ya YESU.

Hivi zomba bado hujui kwamba hiyo quran iliandikwa makusudi kupinga ukristo na bado uridhika na huyo muhamad na tabia zake za ajabu ajabu wanawake kibao mpaka kitoto cha miaka tisa alikiingilia funguka acha hiyo dini ya ajabu ajabu.
 
kama mlisoma kuna watu juzi juzi wamefutiwa uraia wote walikuwa waislamu inaonekana jamaa wameshaanda mamluki ili waonekane wapo wengi
 
Hivi zomba bado hujui kwamba hiyo quran iliandikwa makusudi kupinga ukristo na bado uridhika na huyo muhamad na tabia zake za ajabu ajabu wanawake kibao mpaka kitoto cha miaka tisa alikiingilia funguka acha hiyo dini ya ajabu ajabu.
Ama kweli mpumbavu hajifichi.
 
Nadhani viongozi wa dini ya kiisalamu wanaiabisha dini hii kwa kulia lia kila wakati na kushinikiza fujo dhidi ya dini nyingine. Viongozi wengi wa kiislamu wanaonekana kuwa wanapenda kuwa na mamlaka ya dola kwa kupitia nafasi zao katika dini. Wanapokosa mamlaka hayo basi wanaanza kulia lila kuwa wanaonewa na serikali hata pale ambapo serikali hiyo ni ya mwislamu mwingine ambaye anatenganisha dini na dola, kama ambavyo imekuwa katika nchi kadhaa za kiislamu. Sijui watu hawa huwa wanapataje nafasi za uongozi wa dini iwapo wanalojua zaidi ni kulalamika na kuhimiza fujo tu dhidi ya dini nyingine tu.
 
Amakweli kama ponda ndio mtetezi wa waislam tz basi kazi ipo.
 
u'r signature explain every thing.

kifupi ni hivi, YESU alituachia injili kupitia mafundisho yake, na baadaye akawaongoza watu mbalimbali kwa nyakati tofauti mafundisho yale yakawekwa kwenye maandishi. Hivyo, mafundisho yake si rahisi yapatikane katika msahafu, mafundisho yake yanapatikana tu katika BIBLIA.

In addition, huyo mnyaemwita Issa bin Mariam, ni nyie tu mnayemjua kuwa ni YESU lakini sisi(mimi) YESU simtambui kama ISA, kwani hakuna katika biblia yaani agano la kale na agano jipya ambapo ameitwa kwa jina hilo, jina hilo mnalifahamu waislam na kwa kuwa ni watu tofauti, mnalitumia kulichafua jina na kazi halisi ya YESU.
Waislam wengi wamedanganywa na wahubiri wao kwamba Issa Bin Marium ndiye Yesu. Inawezekana ni kweli kwani akina Yesu wapo wengi hata leo ukienda Ethiopia utakutana mitaani na akina Yesu wengi wengi wengi sana. Yesu ambaye kwetu sisi ndiyo chimbuko la imani na tumaini letu na mkombozi wetu anaitwa Yesu Christo yaani Jesus Christ. Huyu ndiye ambaye kila goti including la Mtume SAW litapigwa mbele yake siku ya siku itakapofika. Ni Yesu ambaye hata waliomtesa, waliomdhihaki na kumtolea kila aina ya kashfa walikuja kukiri mwishoni kuwa HAKIKA HUYU ALIKUWA MWANA WA MUNGU. Ni huyu Yesu ambaye alikufa na baada ya siku ya tatu alifufuka na mpaka leo yu hai. Ni huyu Yesu pekee ambaye hata majini na mapepo ya kila aina yanamwogopa na kumtii.

Yesu anayeitwa Issa Bin Marium ni wa waislam. Wanamjua wao na mimi sioni haja ya kubishana nao maana akina yesu wapo wengi sana sana sana sana.
 
Sheikh Ponda ana mapepo, anahitaji kuombewa kwa jina la Yesu.
 
hivi sheikh ponda anadhani kuna mwislamu atamsikiliza kweli? asubiri aone watakavyo hesabiwa ndio atajua hakuna anaye msikiliza. HUYU JAMAA NI BALAA TOKA AZALIWE NI KUJA NA AGENDA ZA AJABU TU MIAKA NENDA RUDI.
 
Haya nyie wakristo mna akili nyingi zipi? Hizo za Ushoga makanisani. Askofu mkuu Anglicana Marekani Shoga , Padri Kimaro wa Mlimani, Askofu wa Moshi Vijijini. Hiyo ndoo akili!
Mkuu mbona masheikh wengi wanaliwa mtaani lakini hatuhusishi kuliwa kwao ndo mafundisho ya huyo mungu wenu mliembatiza jina la allah?
 
watanzania ,haya mambo yanaweza kuharibu umoja we2 wa kitaifa,cha msing 2ache itikadi hizo na 2fanikishe ilo zoezi
 
Haya nyie wakristo mna akili nyingi zipi? Hizo za Ushoga makanisani. Askofu mkuu Anglicana Marekani Shoga , Padri Kimaro wa Mlimani, Askofu wa Moshi Vijijini. Hiyo ndoo akili!
Kuna wakati ndugu yetu mmoja humu jf alifanya analysis ya Marais waislam na Marais Wakristo. Mwishowe akaconclude Waislan hawawezi kuongoza.
Waislam wakaja juu eti ni makosa kuhusisha dini ya mtu na udhaifu wake.
Hapa na wewe unafanya hicho hicho.......
 
Hivi hawa wanaojiita viongozi wa waislam hawana "seniority" kwenye uongozi wao? Inakuwaje Shehe Mkuu wa Tanzania anatoa tamko halafu Shehe mwingine ambaye siyo mkuu anapingana naye hadharani. Anachosahau huyu Ponda ni kuwa kuna watu wangependa sana sensa ionyeshe makabila ya watu ili tujue kabila gani ni kubwa kuliko jingine na raslimali zigawanywe kwa kuzingatia ukabila.

Kama alifuatilia mjadala wa bunge jana kuna mbunge wa jimbo mojawapo la kanda ya ziwa alikuwa anahoji, pamoja na mambo mengine ya kijimbo, kuwa inakuwaje kanda ya ziwa pamoja na kuwa na raslimali nyingi haina mawaziri wa kutosha kwenye baraza jipya. Ninachosema hapa ni kuwa ukiruhusu sensa kwa misingi ya dini za watu hutakuwa na hoja ya msingi ya kuzuia sensa kwa misingi ya makabila ya watanzania. Kwa waafrika ukabila unawaunganisha watu kuliko udini na ni hatari sana kuchochea hilo kwa nchi yetu. Waafrika tunaamini zaidi katika ukabila kuliko udini na ndio maana siyo ajabu kumkuta mwafrika anaingia kwenye hizo dini za kigeni huku bado akendelea na imani zake za kijadi. Ukabila ni chanzo cha mauaji makubwa kwa majirani zetu - Kenya, Rwanda, Burundi, Conco n.k.
Well said.
Kila mara nimekuwa nikijitambulisha ya kuwa mimi ni Muislamu.
Ponda ni opportunistic na anadhoofisha Uislamu badala ya kuuimarisha.Anapanda mbegu mbaya katika vijana wa kiiskamu na ningependa ajitokeze atueleze ni mradi au kitu anachokisimamia katika kuendeleza uislamu.
All the time yeye na kupingana na serikali ambayo Raisi ni muislamu,Makamu ni muislamu ânsahindwa nini kuitumia nafasi hiyo?
 
Hongera sheikh ponda...! hao makafir wanaopinga wasikuvunje moyo aluta continua lazma tupigane jihad kuikomboa nchi yetu,waislam ndo tumepigania uhuru wa tanganyika kafir mwalimu akatusalit...tutazkomboa nchi zetu inshaallah
 
Mfano wako wa Israel na Palestina sio sahihi, Israeli wangeachwa peke yao wangeshatandikwa siku nyingi na Wapiganaji wa Kipalestina, ila kwa vile Israel inasimamishwa na mataifa ya Magharibi, USA, UK nk
Wa Israel hawawezi kuachwa na USA, kwa sababu ukiangalia kiundani utaona Wamarekani wanao-run USA wana asili ya Israel, waisrael kutokana na udogo wa ardhi yao walisambaa nchi za magharibi hadi Adolf Hitler aliamua aanze kuwapunguza.
 
Kwani kanisa lilitoa wapi hizo takwimu kuwa wakiristo ni aslimia 52? Inawezrekana kuzipata huko kanisa liliko zipata, ili kuepusha utata huo ndo maana waislamu wanataka kipengele cha dini kiingizwe kwenye sensa ili takwimu sahihi zitolewa baada ya sensa hiyo, siyo vinginevyo. Nadhani umeelewa sasa ndg Ukoo Flani
 
nao hao Bakwata kwa miaka yote hiyo licha ya kupokea zaka wamefanya nini kwa maslahi ya waislam zaidi ya usaliti? Yaani bado unahitaji kuoneshwa kuwa Bakwata haitufai? Mbona liko wazi bwana Saidi? Uanhitaji kuondolewa shuka ili uone mchana wa saa 8? badilika
 
Back
Top Bottom