nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,408
- 8,223
wacha imani kali weweKuingia kanisani mila ya imani gani!?
So ndo mila ambayo kaifuata
wacha imani kali weweKuingia kanisani mila ya imani gani!?
So ndo mila ambayo kaifuata
Ikoje imani kaliwacha imani kali wewe
km ulionayo weweIkoje imani kali
Ww mwongo, yawheh amesema usile nguruwe na Allah kasema hivyo hivyo. Yawheh hana mwana maana hana mke ila ana waja ambao aliwapenda kwa utiifu wao kila mmoja akamwita mwanawe wa pekee kwa nyakati zao walizokuwepo kadhalika Allah hana mwana. Yawheh alisema jino kwa jino ktk agano la kale kadhalika Allah anasema ni ruksa kulipiza kisasi lkn kusamehe ni bora zaidi. Allah anaabudiwa kwa lugha yoyote kadhalika, suala la kutumia kiarabu kusali si maagizo ya mwenyezi MUNGU bali waislamu wameadapt toka enzi na enzi. Si lazima ww ujue kiarabu ndio uende peponi ..........Allah sio Yahweh (Yehova). Wako tofauti sana.
Chache ni hizi;
1.Yahweh and mwana, allah hana mwana
2. Yahweh anasistiza samehe mara sabini (indefinetly), Alala Jino kwa Jino
3.Yahweh anaabudiwa kwa lugha yoyote, Allah ana lugha moja tu ya kiarabu
4. Mbinguni kwa Yahweh, hakuna kuoa wala kuolewa, Peponi kwa Allah kuna kuzawadiwa wanawake wenye macho kama vikombe
Unaweza ongeza
Among the wisest i have ever seen in muslim community.Sheikh Mussa ni very moderate, I like the guy
Tuwekee hapa na sisi tujiridhisheWewe mkuu inaonyesha ni mbishi sana
Ninayo video yake kuzungumza zaidi ya dk 5 katika kanisa la ufunuo
Hee mkuu allah c ndo yahwe au?
Assalam Alleykum,
Watu wa kitabu mnalizunguamziaje hili?
View attachment 364175
View attachment 364176
Sio kila dhehebu lina sanamuInaruhusiwa waislam kusali Kanisani au Synagogue ikiwa mji hauna msikiti au nafasi yoyote ya kusalia. Muhimu wasielekee sanamu yoyote
Manaswara ndio nani mkuuHawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfuate mila yao (Quran)
Acha hizo dini kila mtu ana yake na imani yake iko Moyoni mwake. Kule Milan mbona kuna mji mdogo waligoma kuwapa waislam eneo la kusalia na kujenga msikiti. Kuna pastor mmoja akawapa upenu pembezoni mwa kanisa wasalie pale kisha akahamasisha waislam wafanye party pale nje ya kanisa wawaalike wenyeji wa ule mji ili wajitambulishe na wajulikane. Mbona palepale kwenye ile party walichangia hela ya mjengo wa msikiti na kumuomba Meya awakatie ardhi ya msikiti na sasa wana msikiti wao.
Manaswara ndio nani mkuu
Kha! Kwahiyo mtume wenu alitumia mafumbo? Jamaa mbaguzi Sana duuuWakristo