AFRIKAN GUY
Senior Member
- Jun 26, 2015
- 102
- 110
Katika Moja ya kazi zangu za muda mrefu ni kutengeneza maudhui ya YouTube. Miaka ya hivi karibuni nilianza kuvutiwa na mihadhara ya kiislamu, Kwa hivyo nikaanza kufanya YouTube content za kiislamu.
Kiukweli nilia navutiwa sana na style ya sheikh Walid Omar. Na baadhi ya masheikh kama mziwanda, mufti zubeir nae ana story telling skills za hatar, mizaha ya sheikh jongo iliniacha mdomo wazi na kujiuliza kama mizaha hio ni mahala pale ama...sauti na melody ya sheikh Abbas ilinifanya niendelee kumsikiliza na kusahau kama inabidi nimalize editing.
Kiufupi Kwa muda mfupi sana nikawajua masheikh wengi sana.
Sasa kilipofika Kipindi cha uchaguzi, 2024. Nilikua naona wazi kabsa ni upande gani baadhi ya masheikh wameegemea. Na wengine walisema waz waz bila woga ni upande gan Wapo.
Lakini sheikh Ambae sikuwah kujua Kwa dhahiri upande wake ni sheikh Walid alhad Omar, na wengine kadhaa. Lkn sheikh Walid Ndio ilikua interest YANGU, Kwa jinsi alivyokua akiipindua pindua mada ya uchaguz bila kuigusa. Bila kuegemea upande wowote ule.
Sheikh Walid Omar alikua makini kabisa katika kuitembea ardhi ya siasa. Tofauti na wengine, ambao walikua wazi kabisa
Sheikh Walid alhad Omar na sheikh Abbas Ramadhan Abbas nu vitu viwili tofauti.